Jinsi ya kuwadhibiti majini hawa wanne na kuwatumia kupitia pete

Usipo kuwa na Mungu au shetani dunia hii huwezi kuwa na maisha yenyewe ukwasi wa kutosha.

Wote Wana masharti yao ama afuate masharti yao ule raha au ukatae uangamie. Matajiri wote wanafanya biashara kwanza rohoni baadaye mwilini

A neutral person hawezi win kamweeeèeeeeeeè.
Very true according to experience, unakuwa mwanadamu mwema lkn walimwengu wanakubadilisha
 
Kwa hiyo mkishindwana mnaachana kiroho safi au ndo yatakuwa majanga mkuu, na mkikubaliana unamfuga kama kuku au anakutumikiaje?
Mkuu kuwa makini kuna shuhuda za watu wamepoteza watoto na ,waume na wake zao kwa sababu ya hivi vitu vinakuja chini ya mwamvuli wa "pete za bahati".Kuna mambo ya ulimwengu usio onekana naona wengi wanaingia lakini hawayajui madhara yake,take it from me "it is a big loss in a long run".Hawa wanaoleta hizi mada nikiwauliza waseme nguvu zao wanapata kutoka kwa Mungu au kutoka gizani(kwa shetani) hawajibu.
Muda unanibana lakini nitaandaa thread kuhusu hizi pete za bahati,watu wanapoteza nafsi zao kwa kupewa vitu vinavyoonekana kwa macho kama majumba,magari etc.
Technique inayotumiwa sasa,jamaa wanakuja na mada wanaelezea jinsi wachawi wanavyologa au kuleta matatizo au majini,mwishoni wanatoa namba za simu kwamba wanaweza kukusaidia.
 
Duuuh, business everywhere
 
Lapis Lazuli;This is a stone o particular history in Egypt and in India. Many plaques were inscribed on lapis lazuli cylinders,giving high esoteric knowledge. Lapis lazuli was known as one of the sacred stones,one of the stones used in the performance of the Higher Mysteries. It was sacred because of its beauty,but in the medical sense it was stated to avert miscarriage and abortion.
Sapphire;Many people confuse sapphires,the turquoise ,and lapis lazuli,but whichever name you give it,the rematks referred to under lapis lazuli will apply in the case of the sapphire and the turquoise.
 
Mzizi mkavu me naomba kuuliza kuhusu majini.
A.Je jini mmoja anaweza kujigawa zaidi ya mara moja?yaani awe yupo dar na arusha at the same time?
B.Je ni kweli mtu anaweza kukutupia jini zuri au baya?Na kuhusu wachawi je wanatumia majini katika shughuli zao za ujenzi wa taifa?au wanatumia njia mbadala bila majini?
C.Je kuna majini ya kike na kiume?kama yapo je yanafanya mapenzi km binadam na yanazaa?
 
Agate;......^protection against poisonous insects such as spiders.
Brown agate radiates a vibration which gives a person self-confidence,'Dutch courage',gives him victory over his enemies or success with his lady friends.
In the medical field it has ben proved that if a person wears a brown agate next to his skin preferably over his sternum,that is,hanging around his neck over his breast bone,it increases his intelligence and helps to allay fever and madness.
 
Amber;If you have trouble with your kidneys or your liver,or if you are troubled with constipation,take some powdered amber,grind it so it is like flour,then mix it with honey and a little water. Then swallow the muck,but only if you are within reach of the appropriate conveniences ofcivilization,because this is a remedy which really works,as you will find out. The only difficulty is-amber is rather expensive.
 
Back
Top Bottom