Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

sasa mkuu, kama hujawahi unauhakika upi na suala la uenyeji? unauhakika upi kama hawa wanaofanya hawaongozwi na mungu? unauhakika upi kama utakutana na roho chafu.
#mwisho ni kwamba kama ikitokea kwako utakuwa na uhakika gani kama utakuwa unaongozwa na mungu?... natumaini utanielezea vizuri ndugu!
Mkuu kama ulikuwa hujui au hayo majamaa zenu hayawaambii kila sehemu kuna mtawala wa eneo hilo in physical na spiritual world.Huwezi pita sehemu au kuingia ukiwa umevunja utaratibu wa pale utaingia matatizoni.Mimi sikuzuii kufanya hayo mambo ya astral projection nacho jaribu ni kukushauri,ila kama haumwamini Mungu (Yehova) nifahamamishe nitajua pa kuanzi kukusaidia.Lakini kwa maelezo yangu kama kuna mungu unamwamini huyo si kama ninayemwamini mimi.
Ningependa nijifunze kutoka kwako kama kuna mungu anawaongoza niambie anaitwa nani na taja baadhi ya watumishi wake wa mwazoni kwa maana ya mitume na manabii au majina yoyote.
Uhakika kama ikinitokea nitajua kwani roho iliyomo ndani yangu itanishuhudia kwamba nachofanya kinatokana na Mungu au ni yule adui ambaye tunajua ni baba wa uongo.
Shetani ni mwongo siku zote sasa anatambua mnajifanya wazinduzi ametumia agent wake kuwapa hiyo elimu,sikatai kwamba unaweza kwenda nje ya mwili inawezekana na hata wachawi wanafanya.Na kama ulikuwa hujui wachawi siku zote wanajiona wako juu ya binadamu wa kawaida kwa kuwa wao wanaweza kufanya mambo mengine kama kuruka usiku.Hii AP mnaonjeshwa mkizoea mtafundishwa na mengine.kitu ambacho wanadamu mnashindwa kujua Mungu kuna nguvu ndani yetu imewekwa,wengi waliofanya hii AP mwanzoni wanasema waliingiwa na woga,huo woga unatoka wapi?Walivyozidi kung'anga'nia woga umewatoka.Mungu humwonya mtu kwanza kabla ya kumwadhibu.Mwenye masikio na asikie.
Niko nafuatilia issue ya jicho la tatu,nayo inaonekana uongo kama mtu anaweza kuona kwa jicho la tatu mbona hii ingekuwa ni habari njema kwa vipofu.
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.
Kuna vitu hamvisemi,Rakim mwanzoni alisema with AP huwezi kuchukua vitu sasa anasema ataleta thread ya kuchukua pesa na kuziweka chini ya mtu.Dini zote kuu zinazuia wizi,kuchukua kitu bila ruksa ni wizi sasa kama utaweza chukua pesa zisizo zako huo ni wizi na ni Shiriki kwa lugha ya Quran.
Aidha mnatumiwa hamjijui au mnajua,endeleeni mtazidi kupandishwa vyeo katika huo ufalme kwani mnapeleka roho nyingi za watu .
Mwili ni sehemu ambapo Mungu aliweka nafsi na roho ziishi humo,sasa mnapotoka nje ya mwili hizo nafsi zenu zinakuwa katika mwili upi kama mwili mliopewa na Mungu mnauacha.Fuatilia katika hili kwanza mwili unaokuwa nao ni upi?Mtu anapokufa nafsi aidha inakuwa kuzimu ikisubiria hukumu ya mwisho au Paradiso ikisubilia kwenda mbinguni.
Sasa nafsi zenu zikitoka katika mwili ,zinakuwa wapi?Shetani anauwezo wa kukuonyesha sehemu ikafanana na Manzese au Sinza unayoijua wewe nawe ukadhani umeenda kutembea.
Shetani ana uwezo wa kuvaa sura ya mtu na kutimiza malengo yake,kuwa makini mkuu.Kama AP ingekuwa ni kitu kimegunduliwa basi tungekikuta kwenye elimu zetu na tungefundishwa mnajipa moyo ni elimu ilivyofichwa .
 
What does the Bible say about a sixth sense / third eye?"

A sixth sense can also be described as ESP, or extra-sensory perception. Extra-sensory perception is the means by which we acquire information through any sense other than the five basic senses (sight, smell, taste, touch, and hearing) or other well-documented scientific physiological senses. Depending on one's culture and beliefs, a sixth sense can be attributed to anything from the spiritual to the technological.

Parapsychology addresses certain types of ESP—such as those possessed by psychics and mediums—including clairvoyance, telekinesis, and communication with the dead. The Bible makes it clear that these types of experiences should be avoided. We should not exercise any sort of spiritual abilities outside the realm of what the Bible deems acceptable, nor should we consult with anyone who does so.

If such a thing as a sixth sense or third eye truly exists, it is not of God. Those who claim to practice such abilities are either deceivers, self-deceived, and/or under the power of demonic forces. Leviticus 19:31 says, "Do not rely on mediums and psychics, for you will be defiled by them. I, the Lord, am your God." Consulting spiritists is foolish and angers the Lord (2 Chronicles 33:6). Acting as a medium or psychic was punishable by death in the Old Testament (Leviticus 20:27).

The Bible tells us that the Holy Spirit of God has been given to each of us who has received salvation through faith in Christ (Romans 8:9-11). This Spirit will be our guide and teacher of all truth (John 16:13). For Christians, all spiritual leading and communication should come from God, through prayer and revelation from His Word. The only “sixth sense" we need is the Holy Spirit; everything else is counterfeit. But if we allow the Spirit to fill and control us (Ephesians 5:18), we will not be led astray by deceiving spirits
 
Islam's perspective on 'astral projection'
What is the Islamic perspective on 'Astral Projection'? a) Is it permissible to learn and practice it? b) Could the Night Journey of Prophet (peace be upon him) be explained by this (that is, it was not a physical journey but a journey of the soul only)?

Answer

All perfect praise be to Allaah, the Lord of the Worlds. I testify that there is none worthy of worship except Allaah, and that Muhammad
icon--1.gif
, is His Slave and Messenger.

Astral projection, as described by those who are involved in it, is a process that is based on the assumption that there is an "astral body" for the human being other than the physical body. Astral projection denotes that the astral body leaves the physical body and separates from it in specific and delicate conditions, the most important of which is when the person reaches a stage between consciousness and unconsciousness.

However, there is no evidence for what they say; Allaah Says (what means): {And do not pursue that of which you have no knowledge. Indeed, the hearing, the sight and the heart about all those [one] will be questioned.}[Quran 17:36]

Dr. Wahbah Az-Zuhayli was asked about it, as per his website, and he answered: “These are superstitious means even if it sometimes leads to some correct results. It is forbidden to rely on it or practise it – whether by imagination or by action – as the source of the unseen is Allaah Alone and whoever relies on these superstitions disbelieves in Allaah and disbelieves in the revelation as confirmed in the authentic Ahaadeeth of the Prophet
icon--1.gif
about soothsayers, magicians and fortune-tellers.”

Since this knowledge is like magic and fortune-telling, then it is not permissible to learn it; the Kuwaiti Fiqh Encyclopaedia says about knowledge and its rulings: “Learning (acquiring knowledge) may be forbidden, like learning sorcery, drawing lines on sand, magic, fortune-telling and soothsaying.”

On the other hand, according to the correct opinion of the scholars, Israa’ (the night journey of the Prophet
icon--1.gif
from Makkah to Jerusalem) took place with both the soul and body. Some scholars said that it took place with the soul only
. In any case, it has nothing to do with this imaginary knowledge at all, but rather it was a miracle from Allaah.

Source

Rakim are you a christian or a muslim?Vitabu vyote hivi vimezui ,je wewe unafanya elimu hii kwa mwongozo wa nani?
Wale wafuata upepo endeleeni mkafanye yale manayofundishwa hapa JF kwa sababu inawezekana mnaamini kila kitu kilichopo JF kinafaa kufanya au kufuata kwa sababu tu panaitwa "The Home of Great Thinker" wengine siyo.
Biblia inasema msipo shetani nafasi sasa wewe jipeleke tu kwenye astral projection,kama kuna any Christian doing this or planning to do it, whether you are a committed christian or an average christian I urge you in the name of Jesus stop doing it.
 
"Itafuteni elimu ijapokua nchi za mbali" (utulubul ilmu walau biswiin)

"Shika sana elimu "

" Habari ya kuambiwa changanya na yako".
 
Duh! hizi elimu nyengine shughuli kwelikweli..!
sipati picha ukikutana na mdeni wako kasi utakayorudi nayo hadi utaingia kwenye mwili wa mtu mwengine..!!
Da nimecheka peke yangu...et uingie kwenye mwili wa mwingine! mbaya zaidi unaingia kwenye mwili wa mdeni wako hahaaa!
 
Nilikuwa nikiwaza siku zote kuhusiana na hizi hisia za usingizi kumbe wataalam washazifahamu.

Yaan mie huwa najikuta na paa angani na kuruka juu bila wasi wasi lkn wengine hawawezi kabisa.
 
Kumbuka ulimwengu mnaojaribu kuuelezea hapa si ulimwengu wa kifizikia...

Je sasa hizo safari uzisemazo hatma (destination) yake ni kutaka kwenda wapi?

Pia ukimsoma vizuri Pasco kaeleza kuwa hata mwili wako binafsi unakuwa huna mamlaka nao tena bila shaka hata nafsi...

Je kwa wakati huo ni mamlaka ipi inayokuwa ikiongoza nafsi yako?
Huwa ni kama njozi ama maono. Wengine wapo ayaonayo katika hali hiyo yanatokea katika real world hapo ndo ataitwa mwonaji.
 
Nitakujibu Lakini Next Time Uwe Unasoma Quotes Zilizopita Hii Nikishajibu Hata Mtu Akiuangalia Au Kuukaribia Wewe Zile senses unaskia na kuhisi hata akikusemesha unaelewa na kuskia hata kama uko mwezini... Wanaotumia Darkness Power Mfano Wanga Ndio Hawasikii Wala Kuhisi Maana Pale Huacha Something Instead of body Na Kuvisha Umbeli lake...

Rakims
Asante mkuu naona hapo umenijibu kwa niaba ya wengi maana wengi hapo palikuwa panawachanganya.
 
Islam's perspective on 'astral projection'
What is the Islamic perspective on 'Astral Projection'? a) Is it permissible to learn and practice it? b) Could the Night Journey of Prophet (peace be upon him) be explained by this (that is, it was not a physical journey but a journey of the soul only)?

Answer

All perfect praise be to Allaah, the Lord of the Worlds. I testify that there is none worthy of worship except Allaah, and that Muhammad
icon--1.gif
, is His Slave and Messenger.

Astral projection, as described by those who are involved in it, is a process that is based on the assumption that there is an "astral body" for the human being other than the physical body. Astral projection denotes that the astral body leaves the physical body and separates from it in specific and delicate conditions, the most important of which is when the person reaches a stage between consciousness and unconsciousness.

However, there is no evidence for what they say; Allaah Says (what means): {And do not pursue that of which you have no knowledge. Indeed, the hearing, the sight and the heart about all those [one] will be questioned.}[Quran 17:36]

Dr. Wahbah Az-Zuhayli was asked about it, as per his website, and he answered: “These are superstitious means even if it sometimes leads to some correct results. It is forbidden to rely on it or practise it – whether by imagination or by action – as the source of the unseen is Allaah Alone and whoever relies on these superstitions disbelieves in Allaah and disbelieves in the revelation as confirmed in the authentic Ahaadeeth of the Prophet
icon--1.gif
about soothsayers, magicians and fortune-tellers.”

Since this knowledge is like magic and fortune-telling, then it is not permissible to learn it; the Kuwaiti Fiqh Encyclopaedia says about knowledge and its rulings: “Learning (acquiring knowledge) may be forbidden, like learning sorcery, drawing lines on sand, magic, fortune-telling and soothsaying.”

On the other hand, according to the correct opinion of the scholars, Israa’ (the night journey of the Prophet
icon--1.gif
from Makkah to Jerusalem) took place with both the soul and body. Some scholars said that it took place with the soul only
. In any case, it has nothing to do with this imaginary knowledge at all, but rather it was a miracle from Allaah.

Source

Rakim are you a christian or a muslim?Vitabu vyote hivi vimezui ,je wewe unafanya elimu hii kwa mwongozo wa nani?
Wale wafuata upepo endeleeni mkafanye yale manayofundishwa hapa JF kwa sababu inawezekana mnaamini kila kitu kilichopo JF kinafaa kufanya au kufuata kwa sababu tu panaitwa "The Home of Great Thinker" wengine siyo.
Biblia inasema msipo shetani nafasi sasa wewe jipeleke tu kwenye astral projection,kama kuna any Christian doing this or planning to do it, whether you are a committed christian or an average christian I urge you in the name of Jesus stop doing it.
I am A Muslim, And Remember That "All Said A Lot In The Quran But For Us Human It Always Ends Up With One Of The Two Choices Immah Shakuurah Immah Kafuurah (either you thank him or you thank him not) If You Do This Ilmu With Hikmah Its All About Keeping Strong In Your Belief But Everything You Want To Try And Your Nafsi And Your Limit Ilmu Deny It.. Leave That Thing As How It Is But If You See It Not A Problem And All You See Is Ilmu Al Hikmah Do It With Hikma I Hope You Got Me.....

All In All You Have To Do Things For A Reason,

And How You Do It Its Up To YOU...

Either Ushukuru Au Ukufuru

Rakims
 
Wakati Unapotaka Kurudi Unaweza Kujicharge Kwa Kutoka Nje Ya Dunia Kuelekea Jua Au Mwezi

Rakims
 
I have known this for Quite a time now,sema mazingira niliyopo si Rafiki kwa mm kuweza kufanya Astral projection,naona Meditation ya kawaida itanifaa ktk kipindi hki..
Mpk hapo nitakapoona kuna umuhimu na mazingira yanashawishi kufanya hvyo,Nitafanya hyo kitu..
Maana watu washasafiri mpk Giza ktk pyramids za Misri,nani asiyependa kutalii maeneo hayo japo ni KIFIKRA/KIROHO??..
As always,Right people Do Right things at the Right time anD place...
 
Ni kama mtu unapolala,mwanzo huwa unakua na utambuzi kwamba upo ktk fikra zako za kawaida kabla usingizi haujakuchukua,Ila kuna wakati ambao huwa hujui upo ktk ulimwengu huu wa kimwili au wa kiroho,Pengine mtu ambaye anakua Macho ktk wakati huo anaweza kuona jinsi unavyojigeuza au Hata kuongea kwa sauti,ila Pindi utakapoamka na kurejea ktk fahamu zako!!Ukiambiwa ulikua ukifanya jambo hili na lile Waweza baki Ukijishangaa/Ukamshangaa muelezaji!!.Hapa namaanisha kwamba hata ktk Astral projection kujua upo ktk ulimwengu gani exactly ni kama ILLUSION tu,ni kitu cha KUFIKIRIKA pengine kisichokua na Dhana halisi ya kimwili
 
nikishafanikiwa kutoka kwenye mwili wangu nina kuwa nipo nchi nyingine au nipo palepale?na nitarudi vp?
 
Luna MTU kanidhulumu hela zangu nyingi, polisi ameshindikana, na anagoma kunirudishia, ivi siwezi kumfuata kiroho nikamdai kama ivi? I wish nifike nimkabe, nimwambie nataka hela zangu ndani ya Sikh saba othewise nakuua!
 
Aaaah mkuu unaweza kwenda kwenye jua ukiwa katika hiyo state
Haufiki Ila Unavyozidi Kusogea kwenye Jua Kuna Vitu Kama Nyota Ndefu Hivi Zinakuzunguka Na Unajihisi Kama Charge Flani Hivi Ambayo Inakukaa Mwilini Kwa Muda Wa Siku Kama Saba Wengine Tatu Unakuwa Mtu Hajasema Kitu Unajua Anataka Kusema Nini Anaficha Nini sauti za watu wasiokuona yani unakuwa kama unaonja pschic power tofauti tofauti randomly kwa muda wa siku saba

Rakims
 
Back
Top Bottom