Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Daa hili zoezi linahitaji uvumilivu na nidhamu ya halo ya juu!!
Nimefatilia huu Uzi kwa miezi kadhaa sasa, nilijifunza meditation na kufikia hatua flani ambapo nilihisi sipo, yaani sikuhisi kama Nina mwili wangu!! Nikaishia hapo, ukweli ni kwamba nilijisikia vizur sana siku ile hasa kimawazo nilikuwa calm! Nilijihisi tofauti kabisa na usingizi ulikuwa bomba. Nilianza zoezi SAA 4, ghafla nimekuja kushtuka ilikuwa SAA 7!
Pia nilijaribu hatua ya pili yaani OBE, sikuona ugumu wowte, kwa sabab hatua ya kwanza niliifanya Mara kadhaa; lakini bado sijafanikiwa kutoka!
Nimefanikiwa kufikia ganzi, lakini kuna siku nikiwa nimelala chali nilijaribu na kufika hatua ambayo niliparalise then nikahisi mwili umeshrink na kuwa mwepesi kama unyoya nikahisi naelea kama 20cm above, woga ukaniingia, ikabidi nijisalimishe mwilini.
Nilifanya zoez hili kila week, ilitegemea na mood niliyonayo kwa siku hiyo. Kuna positive outcomes nimeona kwangu, ni vema kama hujui uulize kuliko kukejeli.

Naamini IPO siku nitatoka out na Ku enjoy na wadau humu! Mleta Uzi endelea kutupa ujuzi, wanafunzi tupo wengi tunafatilia.
Big up!!!!!
 
kuwa jasiri baba utaweza tu ,mimi mwenyew mwanzoni iliniwia vigumu lakini sikukata tamaa hatimae nikaweza
 
nataka mwishoni mwa mwezi huu, nijaribu kwenda night club yenye totoz za kutosha alaf nijaribu kuzamia na kwenda kunywa bia za bure kama nitaweza
 
Aaaah! Nyi wadau mnaosema mmewez hii kitu mnanipanikish kinoma, yaaan m nshajarb mara kibao but unfortunately naishia kwny paralysis tu na one day mpk nilivibrate lkn nikashindwa kutoka. Kwakwel I wish to Do something big which can change my life ... Aaarrrg ntawez tu.
 
Vuta Jani kidogo ufanye tena alafu ulete mrejesho
 
Aaaah! Nyi wadau mnaosema mmewez hii kitu mnanipanikish kinoma, yaaan m nshajarb mara kibao but unfortunately naishia kwny paralysis tu na one day mpk nilivibrate lkn nikashindwa kutoka. Kwakwel I wish to Do something big which can change my life ... Aaarrrg ntawez tu.
kumbuka kuvisualize mwili wa pili kila unapopata vibration

Rakims
 
Vip kuhusu ushaur wa kutumia jani kama ndugu yang apo juu alivoshauri, unaongeza nini apo mkuu ?
Sina Elimu Ya Hiyo Kitu Labda Nikuulize Vipi Ukitumia Jani Wakati Wa Kwenda Ibadani Ya Imani Yako?

Rakims
 
Back
Top Bottom