Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Nimelazimika kulog in....
mkuu Rakims haya maarifa yanatisha na kusisimua at the same time,
Naungana na Pasco kuutahadharisha uma wa JF kujiuliza why wanataka kufanya AP,
Huyu Rakims inaonekana ni jambo ameli master over a long period of time,we mtu unasoma thread moja unaanza kuji project, JIPANGE,WHY U WANA DO IT,
Nmesoma word by word whole thread ila nmepata ukakasi tu pale hela ilipoanza kudaiwa,naona principle ya 'no free lunch' inaapply ,sasa mnaofundishwa kama hujalipa u may miss some basics afu ukapotea huko ulimwengu wa roho,
Last but not least,
Nikifanya astral projection naweza kuwatembelea hata watu nisiowajua??
Mfano mi badiebey naweza mtembelea memba wa JF ambae sijawahi muona in real life?au ni lazma niwe namfahamu kwanza?
 
Last edited by a moderator:

Mtu Ambaye Humfahamu Na Hufahamu Anapoishi Ni Ngumu Kumtembelea Maana hutaweza kuteleport kwenda alipo.. thoughts ndio zinaweza kuongoza astral body mkuu hivyo you wont reach them ila instead unaweza kutana na watu wengi tu wapo astral planet Wapo Utawaona Wanajijua Na Wapo Utawaona Hawaelewi Wawefikaje Hawa Hu Appear And Disappear Kurudi Kwenye Miili Yao Maana Ni Bahati Mbaya Wametoka...

"Rakims"
 
Yaani hapa nina shauku ya kujua lakini ndio ivo tena. Mimi nikifanya astral huwa dakika ya Kwanza tu naishia usingizini alafu naota mandoto mfululizo hadi asubuhi :rolleyes:
 
Vipi Haiwez Kua Shida Au Kuleta Madhara Wakat Wa Kurud?Nakama Mtu Akija Kukush2a Kitandan Wakat Haupo Kiroho Itakuaje?

utarudi kwa kasi na utaskia kupitia astral body na kutambua mtu anakuita.. hata ukigoma utarudi tu kwenye mwili wako ni sawa na mtu alielala usingizi...

"Rakims"
 
mkuu huwa nawaza sana kuhusu hii astral travel,, hivi ukiamua kufa kwa style hii itashindikana kweli? maana ukitoka katika mwili huu ambao upo ktk physical plane ukaenda huko unako kujua ukapendezwa na huko ukiamua usirudi kwa mapenzi yako inaweza kushindikana kweli??
 
So unadhani ni jambo ambalo lipo katika uhalisia or its just a sense? Zaidi ina kuwa umeudanfanya mwili na akili na hapo ni kama ni mawazo tu ndo yanasafili kama unapo kuwa ndotoni ebu imagin umelala unaota ndoto nzuri haijaisha ghafla unaamshwa na ndoto ndo inakatikia hapo kwa vyovyote astral ni kama mtu anapokuwa ndotoni so inawezekana wote tunaingia astral bila kujua ila swala la kurudi au kutorudi sijui kama ni tendo la hiari au la koz kuota si tendo la hiary its hapening automatically, basi kama astral ni la hiary sijui ndo maana muusika anasema haitakiwi mtu aguse mwili wako hata kidogo
 
haitawezekana kwa maana kukatika kwa silver cord ni kwa mapenzi yake Aliekuumba.. You Wont Kill Yourself It Also A Sin...

"Rakims"
 
So unadhani ni jambo ambalo lipo katika uhalisia or its just a sense? Zaidi ina kuwa umeudanfanya mwili na akili na hapo ni kama ni mawazo tu ndo yanasafili kama unapo kuwa ndotoni ebu imagin umelala unaota ndoto nzuri haijaisha ghafla unaamshwa na ndoto ndo inakatikia hapo kwa vyovyote astral ni kama mtu anapokuwa ndotoni so inawezekana wote tunaingia astral bila kujua ila swala la kurudi au kutorudi sijui kama ni tendo la hiari au la koz kuota si tendo la hiary its hapening automatically, basi kama astral ni la hiary sijui ndo maana muusika anasema haitakiwi mtu aguse mwili wako hata kidogo

Kuna Aina Nyingi Za Astral Projection Wale Wanaofanya Bila Kujijua Unakuta Mtu Analala Lakini Kama Yupo Macho Halafu Anazungukia Nyumba Yake Mazingira Na Sauti Za Muda Huu Anazielewa Hii Ndio Auto A.P...

"Rakims"
 
Tehe kwa misingi ya swali lako ati kama umefanya astral then ukachagua kwenda kama ni mbinguni au peponi then ukate shauri la kubaki huko huko du swali zuri sana
 
me mpaka nimepandsha homa coz jana nlikua najaribu hii kitu nkahsi kama mwili wangu unamong'onyoka duh alaf ckuwa na nguvu kabisa hadi pumzi nilizicmamisha kuckilizia mwili unavyobomoka nkashtuliwa na simu babe mzuri alikuwa anapiga.
nahtaji maelezo vizuri ili nifanikishe mkuu
help
 
Mkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenzi, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.

Masharti ni haya.

  1. Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa fungua, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha tuu na kuchange position hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
  2. Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ndio bora zaidi, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, safari jumla!.
  3. Hizi ni highest stages za maditation ambazo haziruhusiwa kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari!.
  4. Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening the "third eye!"
  5. Hizi ndizo the first stages za wachawi!.

Wito wangu mimi, kama hujui unataka nini, utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do!. Mtu asikudanganye its is not fun!. Too much knowledge is harmful please don't try!.

Pasco
samahani kaka Pasco naomba please ntafute hapa kaka 0789 246 849
 
Back
Top Bottom