Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,403
- 5,497
ukitaka kuamini fanya halafu uishie pale kwenye ganzi ndio utaamini u can o cant
"Rakims"
Hahahaaa kaka shkamoo,leo umenipa elimu nimejikuta nacheka mwenyewe maana hali hiyo hunipata ila nikishtuka na kujiona cwezi geuka wala nn huanza kupambana na kufadhaika kua ni majinamizi kumbe ningejua mapema ningevuta pumzi na kuelekea zangu BOT!