Jinsi ya kutengeza Cartoons za watoto

MaMals

Member
Oct 31, 2013
46
7
Habari wajf, nimetathimi sana na nimefikiria kujaribu kutengeza katuni za watoto katika mazingira halisi ya Kitanzania. Nimetunga hadithi kadhaa za watoto ambazo nadhani zitafaa zaidi endapo zitatengenezewa filamu za katuni. Mwenye uelewa wowote kuhusu masuala kitechnologia anijuze, (cha msingi ni quality animation)
wasalaam
 
zipo software ambazo zinatumika kutengeneza katoons, kama vile toonsbom,3d max,maya andobe after efects etc.kama unapenda jifunza fika Dar tek DIT
DIT Home
 
Habari wajf, nimetathimi sana na nimefikiria kujaribu kutengeza katuni za watoto katika mazingira halisi ya Kitanzania. Nimetunga hadithi kadhaa za watoto ambazo nadhani zitafaa zaidi endapo zitatengenezewa filamu za katuni. Mwenye uelewa wowote kuhusu masuala kitechnologia anijuze, (cha msingi ni quality animation)
wasalaam

Kama you want to teach yo self i suggest uanze na 2D animation which is not that difficult to master (provided una talent kiasi flani ya kuchora na ua creative a bit)! SOFTWARE: Adobe Flash, ni best 2D animation software (cracks zipo)!! I like it alot very easy to learn and master. Chini hapo ni How the software looks, hiki ni ki short animation that i'm currently working on!! :D :D

ANIMATION.png
 
Kama unataka animation basi 3d max ndio solution. Kuna torrents kibao we pakua kisha utapata tutorials zake za uhakika @ lynda.com kwa msaada zaidi ni PM
 
cartoon kwa bongo ni technology mpya coz hata baadhi ya channel bongo wanarusha cartoon za ng'ambo. km unakuja na hyo ni good
 
why Would you recommend TB if i may ask

actualy i dont coz simply im not into 2d but my wife does, i simply asked her opinion and Tb is her favourite bt if u ask abt 3d, the list is endless. Bt why do u prefer 2d where as u can achieve better results in 3d
 
Oh, i've never worked with toon boom but will give it a shot in the near future, and see whats all the fuss about, cuz to me Flash rocks. About your question, i'm not sure if you ever tried maneuvering around a 3D software but ol i can say is it takes Enormous amount of time to not only mold but animate anything regardless how simple it might be.Given i dont do this as a job or anything its just something i love doing in free times i cant do 3D, atleast for now! Way too much effort required, ila 2D gives good results too you know
 
i agree, flash rocks, so i have heard. To do 3d, it does not only require effort bt also time. Bt hey technology grows, so must we
 
principle za animation are the same ,pia 3d animation softwares pia unaweza tumia kutengenezea 2d animations.my suggestion tumia 3D blender ipo poa sana utafanya 2D na 3D pia.
 
Achana na hao wanaokutuma ufanye dhambi, "kupakua", sasa wewe kazi zako hapo baadae si utataka upate matunda yake, i.e. uweze kulipwa kwa kazi yako? Sasa fanya kupakua software za watu, na ukisha jifunza na kuanza kutengeneza na kuweka sokoni, usije lia kuwa watu wanapakua tu......

Think outside the box, nyie wote mnaokimbilia kutoa suggestions za wizi, au ndivyo tulivyo sisi wa-Tanzania?
On thinking outside the box, software nyingi hata hizi za animation utakuta wanazo copies zinaitwa PLE (Personal Learning Editions), na kama hamna, pia unaweza kupata 30 Day's grace period, unajaribu, ukiipenda unanunua, au unaweza kujiongezea muda kwa ku-reinstall operating system in multiple environments n.k.

orodha zaidi.

Houdini: sidefx.com (PLE)
modo: MODO | The next generation of 3D content creation | The Foundry (15-30Days, extendable just give them a call)

Free 3D Software
Blender: Blender.org

Free 2D Software
Synfig: synfig.org
Tupi: Tupí | Open 2D Magic

Pia angalia software zinazokusaidia za storyboard. storyboard jinsi utakavyoitengeneza hiyo animation yako. Nadhani kama huna muda wa kutosha, basi wewe kuwa director, lazima storyboard uijue, na wengine wanaweza kukusaidia kwenye actual animation from the storyboard templates.

All the best, happy 2D/3D journey.

As noted, I hate theft of other folks hard work. I will gladly pay for ones' hard work not just to support them but because it is right! Udokozi dokozi hautaijenga jamii yetu.
 
kwa mimi nimecheza na blender nkaitupa nkaamia Toon Boom.. hapa nacheza na 2D sasa
 
Brother i like what you said and all, ila before anything nikuulize kitu! I'm sure unatumia Office in your system pamoja na some downloaders in there IDM sijui, and lots more other softwares! Oh also hio OS yako pia unayotumia! Je umenunua hata moja? Na je unajua price zake? Embu nijibu mkuu and lead by example, kama NO is the answer then futa kauli zako! Hapa sio swala la watanzania kua wizi wala nini, the softwares are damn expensive na unless unafanya kaz professionally, hell no im paying that amount of money for it!
 
Good Guy,
Huwa sichoki kuisema hii kauli yangu, wizi wowote ule, kwa kisingizio kuwa sisi au mimi bado yamepitwa na wakati.
Machine yangu personal nimenunua ikiwa na operating system pre-installed, software uchwara ambazo zilikuwa tu za kunivutia na hapo baadae iwe mimi natoa mihela kupata full version. Sikufanya hivyo, bali nilitafuta alternative solutions ambazo ni opensource.
Natumia open-office as an alternative to MS Office. Ila kila mwaka gharama zangu za software ni ndefu tu kwani kazi za watu nazidhamini, nazilipia ndio na wao waendelee kuzi-support na kuzi-develop with new features.

OK Hizi commercial software ni bei mbaya, je ukihamisha fikra kama hizi kwenye mambo mengine itakuwaje? Mimi sina uwezo wa kununua gari, sina nia ya kununua gari, je katika pita pita zangu nikiona gari imeegeshwa niipakue tu, kwani sina uwezo wa kuimiliki. Au kwa sababu software sio physical entity unadhani kuwa huo sio wizi?

Artists wetu, kwenye filamu na pia muziki wanalia, wapo hoi, kwa sababu tunapenda sana, tena sana na kuisifia nyimbo au filamu zao, lakini kununua ola, tunasubiri copy... sasa nani anafaidika?

Kama hatuna uwezo, basi tuujenge uwezo wa kumiliki hivi vitu.
 
3d max studio pro kutoka autodesk= $3,400/= na 3d max studio{ torrent} =$000/= hata kama unazo....
 
we una software zipi kwenye pc yako. Huwezi kuniambia zote ni open source
 
Back
Top Bottom