Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,497
5,533
Habari za wakati huu;
Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection.

Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi unapoenda kwenye ofisi ya serikali unaweza kujikuta unapoteza muda kwa sababu huna connection ya kutosha.Hata katika taasisi binafsi unaweza kujikuta unakosa fursa kwa sababu huna connection.Leo nataka tujadili kwa kina namna ya kutengeneza connections.

Mimi nimekuwa nikifanya shughuli za kibiashara kwa zaidi ya miaka 15.Sijiweki katika kundi la wafanya biashara wakubwa wala matajiri lakini the fact kwamba nimesurvive katika Biashara kwa muda wa miaka 15 tena kwa kutumia business model ile ile ni uthibitisho kwamba Business model yangu iko sawa.Business model yangu ni Simple kiasi kwamba ninaweza kuendelea na shughuli nyingine za kiuchumi ikiwamo ajira,shughuli za kifamilia na kijamii bila kuathiri biashara yangu kwa ukubwa au udogo.Nilianza kutengeneza Network yangu ya Biashara nikiwa mchanga kabisa katika Biashara.Kipindi hicho ilikuwa ni adventure ila kadiri nilivokuwa kibiashara niligundua kuwa nilikuwa nafanya kitu kikubwa sana.

Nitawapa Mfano mdogo sana.Juzi kati nilikutana na mwanafunzi mpya wa Chuo kikuu huria cha Tanzania OUT.Aliniomba msaada juu ya mfumo wa e-learning wanaoutumia OUT unaitwa Moodle nilishangaa kwani mimi nilikuwa nimeanza kusambaza hili wazo kwenye vyuo vikuu kama miak 12+ iliyopita na nilianza na OUT wenyewe.Kipindi hicho walikuwa wanapromote sana Mfumo wa MIT OPEN COURSEWARE.Nakumbuka nilifika vyuo vingi sana nikitaka kuwasaidia kuimplement huo mfumo.Kila nilipoenda walitoa sababu nyingi ikiwamo utayari wa wanafunzi,uwezo wa wakufunzi,wanafunzi kudesa ukosefu wa fedha n.k. Hawakuwa tayari waliogopa kwenda na wakati.Binafsi nilijisikia faraja kuona kwamba sasa OPEN UNIVERSITY wameanza kutumia mfumo wa MOODLE.Nilitamani wangejaribi kipindi kile kwani baada ya kuingia katika ule mfumo wao wa sasa niligundua kwamba bado hawautumii effectivelly.Lakini lengo la mjadala huu sio kujadili OUT ila nataka niwape mfano wa hustles za kujenga Connections.

Katika pita pita zangu nyingi nilikutana na watu wengi wenye viwango tafauti vya elimu,vyeo,kipato n.k.Nilijifunza mengi na kufahamiana na wengi na mpaka leo nimejifunza mengi juu ya kutengeneza Network kiasi kwamba ninapokutana na mtu najua na kuamua kama ni mtu anayefaa kuwa katika network yangu.Katika kujenga mtandao wngu huwa nakuwa na makundi matatu ya watu ambao huwa ninawaweka watu.Kundi la kwanza ni la watu wenye UKWASI(Matajiri).Kundi la PILI ni watu wenye VYEO(Mabosi) Kundi la tatu ni la watu wenye Connections.Kundi la muhimu kwangu ni la watu wenye Connection regardless of kama ni matajiri au wana VYEO.Iwapo wewe ni tajiri mwenye Cheo na Connection basi nakuweka kundi la TATU.

Kundi la tatu ni la watu muihimu sana ambao huwa napenda kuhakikisha kuwa naheshimiana nao na kwamba sifanyi jambo lolote la kuharibu mahusiano yangu na wao.Hili ni kundi ambalo linaweza kukutoa kimaisha na ukiwa nao vizuri unaweza kujikuta unafanikiwa kimaisha kwa kipindi kifupi sana.Ni kundi la watu ambao kwao .Thamani yao ni kubwa ukijua kuwatumia.Wakiwa na PESA basi wanakuwa Wakarimu,Wakiwa na vyeo ni wakarimu na wakiwa na Connection ni wakarimu.Ukienda kwao hukosi ushauri mzuri,support ya kifedha/kibiashara na fursa.Ni wa tu ambao unapaswa kuhakikisha unawatafuta kwa bidii kubwa.

Watu wenye connection sio watu wa kupoteza.Sasa niwaeleza baadhi ya mbinu za muhimu za kujenga connection.
  1. Usiwe mtu wa kutaka kupokea tu na sio kutoa.Yaani hutoi hata ushauri,hata stori za umbea,hata ofa ya kinywaji,hata mwaliko wa sikukuu,hata pole,hata pongezi.Hakuna mtu maskini kiasi kwamba hana chochote cha kutoa hata Comment nzuri insta au facebook.au hata hapa JF.Kuwa mtoaji kwani ni njia moja ya kujenga connection.Kwa mfano mimi huwa naweka post za aina tofauti hapa jukwaani ambazo naamini kwamba kuna watu huwa zinawahamasisha na kuna wengine hata huanzisha mawasiliano nami na wengine tumekuwa marafiki mpaka tukaonana na wengine tukafanya biashara.Nilichofanya mimi ni kutumia muda wangu mdgo kuandika andiko na kulipost kisha aliyeweza kujifunza akajifunza na mimi network yangu ikaongezeka kidogo.
  2. Fikra chanya,Usiwe mtu anayeamni kila kitu hakiwezekani,usiwe mwepesi wa kukosoa hata usivoelewa,usiwe mwepesi wakuona madhaifu,usidharau usiyemjua,Usikubali First impression ikufunge fikra.Kuna watu wana sura ngumu,kuna watu hawajui kuvaa wakapendeza,kuna watu hawajui kiingereza kizuri,kuna watu hawana shape nzuri,kuna watu wanamadhaifu mengi tu ili amini usiamini,Kipimo cha uwezo wako ni jinsi unavowachukulia wale unao waona kuwa ni dhaifu kuliko wewe.Kama ambavyo waswahili usidharau mtu kwani hujui nani atakusitiri kaburini basi jifunze kuwa positive.Mpe mtu nafasi hata kama moyoni unaona hastahili,kama hastahili ataondoka tu.
  3. Jiamini,unapojiamini unavuta watu.Confidence attracts people towards you.GOOD and BAD kisha wewe utachagua yupi wa kumkeep closer na yupi wa kuwmeka mbali.
  4. Jua kile unachotaka.Wengi huwa tunakwama kutumia nconnection zetu vizuri kwa sababu hatujui kile kitu tunataka.Tunajikuta tunatumia vibaya connections zetu kwa sababu hatujaweka malengo na mkakati sahihi wa kutumia connections zetu.Unajenga connections za ajira lakini huongezi skills wala experience.Unajenga connection za kisiasa ila hauko current katika mambo ya siasa,Unajenga connection za kibiashara hata kusajili tu jina la biashara hujafanya.Swali la kujiuliza ni Je unajua nini unachotaka?
  5. Jitahidi kujifunza na kuwa current kwani maarifa na taarifa yanaongeza uwezo wako wa kujiamini
  6. Tembelea maeneo ambayo unaamini kwamba connections zako utazipata mfano kama unaowatafuta wako katika nyumba za ibada be active there,kama ni kwenye Bar na Clubs kubwa then Be active there na kama ni kwenye Clubs kama Toastmasters,Rotary na other Volunteer clubs be active there.Jitahidi sana ili ujenge mtandao sahihi kwa wakti sahihi.
Kuna faida nyingi sana za kuwa na mtandao mpana na kuna mbinu nyingi za kujenga mtandao mkubwa lakini sio lazima uwe connected na kila mtu.Some connections are not worthy your time so ni bora ujifunze kuchagua na kuchuja.Karibu tujadili mbinu na namna bora za kutengeneza mtandao wa kibiashara kwa faida na tija yako.
 
+255628998538 whatsap yangu
 
Nitafute
 
Simply best analysis lakini nashangaa Uzi hauna enough engagement.
 
Connection ndio kila kitu , yani ndio wateja , ndio biashara , ndio maisha ....mfano kuna kijana nilimpa darasa la kufanya home delivery products , nikamuuliza baadhi ya maswali , nikamwambia nipe mfumo wa mawasiliano yako na status yako kwao , akaniambia nami nikamtajia products tatu za home delivery malipo baadae , ktk hizo tatu products mbili akazikubali sababu moja ni kwamba ipo available na anaaccess ya kuipata.

Nikamuuliza pia kama anagroups za kutosha , akasema anazo , nikamshauri unda group kwanza lakini ktk jina la hilo groups hakikisha unaweka neno home delivery with your own cost hii ni kwa kuwavutia na kujenga credibility kwa wateja wako.

Baada ya siku moja akaja na hilo GROUP likiwa na members 84 , tayari kaweka jina na profile photo ambayo ipo very attaractive. Baada ya hapo nikamshauri kuwa kwasababu product ni malipo baadae nakushauri ifanye hii biashara kila jumamosi ikiwezekana na jumapili kwasababu asilimia kubwa ya siku za weekend familia nyingi zinakuwa na menu ambayo ni amazing yaani variaties za kutosha.

akakubali , tukaanza kuandika contents na dhumuni la group hilo , lakini before alikuwa ameisha watonya mmoja mmoja inbox na walikubali kabisa kwa mikono miwili , basi baada ya kutuma ule ujumbe walipokea kwa amani na tukatoa checklist ya bei zote na siku ya kusambaza bidhaa, sambamba na ushauri huo pia nilimsaidia kumkonect na jamaa na marafiki zangu wa ofisini ambao nao walipokea vizuri tuuuu na wanaendelea.

Baada ya hapo nikamuacha sasa aendelee na kazi yake , nisema tuu yule kijana ananishukuru mpaka wa leo na napata free delivery karibia kila siku anayosambaza mzigo , mpaka namwambia hapana mi leo sijatuma oda ananiambia mi nakupa wewe kama asante ya kunishauri.

alianza kusambaza kutumia usafiri wa bodaboda sasa naona anatumia pikipiki ya matairi 3 , mana oda zimekuwa nyingi na mtindo sasa anasema umebadilika kuna baadhi ya wateja wanataka wapelekewe siku ya ijumaa mana kuanzia jumamosi waanze kutafuna.....
Maisha ni connection , lugha nzuri , unyenyekevu , kushukuru na uvumilivu.

KARIBU : 0657247238
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom