Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Ubinafsi huo sasa.....wew mbona hukuleta ili jambo pm uliamua kuliweka hapa kila mtu ajue kwanini nawao wanashindwa kuleta matokeo hapa wanakupelekea huko pm.......selfish is here i feel it
wanakuja P.M mkuu, hawaleti feedbak hadharani fanya wewe ulete hapa
 
Ubinafsi huo sasa.....wew mbona hukuleta ili jambo pm uliamua kuliweka hapa kila mtu ajue kwanini nawao wanashindwa kuleta matokeo hapa wanakupelekea huko pm.......selfish is here i feel it
maybe you tell them mkuu,
 
Bakuli la kigai cheupe na shilingi zinatakiwa ziwe 100,200,500 ziwe elfu 12 na rose water recomanded kale kadogo, best time usiku, ukiwa peke yako na utulize mawazo na akili bila woga wala fikra zingine mkuu, fanya hivyo you will donate 100 bucks for me too

Rakims
Kaka sasa me nipo SA natumia rand nifanyaje hapo kwenye kiasi!
 
Siku rakim atajitokeza kujibu maswali ya wadau mnishitue niko hapa sebuleni nagonga nyag
 
Kaka sasa me nipo SA natumia rand nifanyaje hapo kwenye kiasi!
Zikiwa coin kwa idadi ya witiri unatumia coin zozote lakini most powerful ni coin za kijerumani zile za zamani kama kuna mtu atapata basi hiyo ukiwa nayo tu umemaliza

Rakims
 
Back
Top Bottom