Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Yani ile umemaliza kuyasema hayo maneno na kujishika pasi la uso, unastukia upo ulimwengu mwingine. Hapo ndio utajuta kwanini hukuulizia tafsiri ya hayo maneno.

MSISEME HAMKUAMBIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza, kuna wakati nawaza au huja fikra kuwa nimepata kazi au dili fulani ambayo hujiona nimetatua mambo kibaoooo halafu hujisikia nafsi yangu imepata nafuu na kutulia ilhali kiuhalisia mambo magumu kinoma..... Nini maana yake kuwa na hisia kama hizo?

Hii ni hali tu ya kujipa matumaini psychological unakuwa unafaraja kwamba ni kitu priceless unachokihusudu na utakipata tu, it not a big deal mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Rakims inamaana ukibahatika kushinda hiyo 2-3m baada ya hapo utatakiwa ku renew spell au ni kwamba unakua unashinda kiasi kisichozidi hicho in a daily basis??
 
Rejea maelezo jinsi ulivyofanya,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmechukua bakuli nikaweka shilingi nyingi nyingi za zamani then nikatia rose water after that nikaingiza mkono ndani ya bakuli huku nikiwa nmeshika shilingi na kuanza kuspel MORA PONITA PAISIE JOYE"×200 baada ya hapo nikatoa mkono na kushika paji la uso kisha nikaenda kulala
 
Bakuli la kigai cheupe na shilingi zinatakiwa ziwe 100,200,500 ziwe elfu 12 na rose water recomanded kale kadogo, best time usiku, ukiwa peke yako na utulize mawazo na akili bila woga wala fikra zingine mkuu, fanya hivyo you will donate 100 bucks for me too

Rakims
 
Poa mkuu bakuli la kigai mean la Udongo?
 
Back
Top Bottom