Jinsi ya kupata marafiki wa kizungu

Habari.
Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya Hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao Hadi Huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali.
Inatakiwa ufanyeje Ili uwapate hao watu au uipate hiyo connection.
Naomba kujuzwa
"kama kutumia zawadi", hebu fafanua hili, kati ya wewe na yeye nani hajui namna ya kutumia zawadi.
 
wazungu koko
Chimbo ziko nyingi tu,Mimi binafsihiyo sijawahi kutumia ila kuna nyingine ambayo naitumia kwa ajili ya kuchangamsha akili maana humo kuna mijadala ya aina mbalimbali inafanyika kama space fulani na wenyewe wameithibiti hakuna ujinga . Na wengi ni wenyewe kupitia calls (voice/video) nimewatambua .
 
Wakiomo wa Kiomboi, umakini unahitajika zaidi.
Hiyo sijawahi kuingia ila nasikia tu kuwa nzur, ila Kuna site Wazungu wa kibaigwa hawawezi kuvamia kila mtu yupo real kwa sababu wenyewe wapo makini hata mtu ukiigiza unaumbuka sababu sio dating nikiwa ajili ya mijadala mbalimbali na ukionekana una mambo kinyume na utaratibu account yako inafutwa..
 
hivi ni kwa nini wazungu wengi wanapenda sana ku volunteers sana kuliko sisi , nimewashuhudia sana.
kufunga safari kutoka Ulaya kuja hata kufagia au kutoa huduma yoyote ya kibinadamu kwa wahitaji ni jambo jepesi sana kwao.
Kila anachofanya wanaongeza kwenye wasifu (curiculum vitae) na inawasaidia wanapolenga mambo makubwa mbele ya safari

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Majibu ya hmu nmekoma asee.
Kama Kazi nafanya sana tu Kwa Mwaka mmoja sikosi ten milions.
Haya yangu kubwa Kuna kit flani nilitaka kupata ata mmoja tu.
Majibu yamekuja kutokana na vile umeuliza swali lako Mkuu. Sio vibaya kuwa na urafiki na watu wa mataifa mengine ila sasa umeuliza kimhemko sana hadi imetia shaka.

Ila ukitaka kutengeneza huo urafiki, sogea mahali wahusika wapo kwa wingi. Alafu usiwe na shobo nao. Kingine epuka kutaka urafiki kwa kukutana bara barani huwa haudumu na wengi wanaukwepa.

Tembelea sana coffee bars na hoteli za kitalii pia matukio yanayowahusisha mfano Kili Marathon hii nenda tena wahi kabisa pale Moshi, week before anza kujichanganya nao.

Urafiki wa maana ni gharama. Lazima uwe na pesa au kitu chakuwanufaisha hao marafiki.
 
Mkuu utoa ufafanuzi Mzuri. Kwani na wewe una marafiki wakizungu?
 
Back
Top Bottom