Jinsi ya kupata marafiki wa kizungu

homeboy41

Member
Oct 20, 2020
8
16
Habari,

Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao hadi huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali.

Inatakiwa ufanyeje Ili uwapate hao watu au uipate hiyo connection.

Naomba kujuzwa
 
hivi ni kwa nini wazungu wengi wanapenda sana ku volunteers sana kuliko sisi , nimewashuhudia sana.
kufunga safari kutoka Ulaya kuja hata kufagia au kutoa huduma yoyote ya kibinadamu kwa wahitaji ni jambo jepesi sana kwao.
Wanarefresh baada ya kazi za muda mrefu,wengi hawana wategemezi ivyo pesa zao wanaona watumie kujifunza vitu vipya na kufurahia maisha
 
Habari.
Naomba kuuliza asee hivi ni jinsi Gani watu hufanya Hadi wanakuwa na marafiki wazungu ambao Hadi Huwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mambo, kama kutumia zawadi mbalimbali.
Inatakiwa ufanyeje Ili uwapate hao watu au uipate hiyo connection.
Naomba kujuzwa
Jihadhari na marinda yako mkuu... hakuna cha bure
 
Wapo wengi tu

Mimi nimesoma shule ya dini tulukuwa tunapata tour ya wanafunzi wa kizungu shuleni group

Hawa ndio walionifungulia njia kwa kweli

Niliwasoma nikawachagua marafiki wawili nikajipendekeza kwao kwa mambo kadhaa

Kwanza nilikuwa natoroka naenda mtaani kuwatafutia vitu vidogo vidogo na kuwapa zawadi kila weekend

Wakati wa kuondoka wakaniomba email hapo nipo kidato cha tatu

Nikatoroka nikaingia mjini haraka haraka nikaundiwa email

Siku ya kuwafanyia sherehe ya kuwaaga rafiki yangu wa kiume alniachia vitu kibao na binti wa kizungu alugeuka girlfriend wangu

Kikubwa wenzetu wanataka watu wa kweli

Walipoondoka baada ya miezi mitatu nikapokea zawadi kwa adress ya shule

Kutoka hapo tukawa km ndugu ndio walionifanya nikanyage europe
Ni wazingu wachache wenye urafiki usio na shaka kwa mtu mweusi..
 
Back
Top Bottom