Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis)

MREJESHO
Kupitia ule msemo wa Practise makes perfect, nimejikuta nikifulu kwa asilimia kadhaa za A.P

japokuwa ile hatua ya mwanzo inaogopesha kwa hasasa kama akina sisi ambao ni begginers lakini kwa upande wangu nikasema lazima niweze.

Nimejaribu hii kitu kwa kama siku tano ivi bila mafanikio ila leo nimejaribu ikakubali!

Ila nimeishia kwenye stage ya kuparalyze,

kuna vitu viwili ambavyo nahisi ndivyo vilivyonifanya nishindwe kuendelea,
1. Mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio kupita kawaida

2.kila nilipojaribu kuinuka na ile astral body nilishindwa nianzeje... Ila nilikuwa nahisi kama roho inatoka ivi...

Kunawakati mwingine nilikuwa nahisi huu mwili sio wangu kabisa, na nikawa najiskia kabisa jins ninavohema (kama kuna mtu pembeni )

nilikaa kwenye hali hiyo kama kwa muda wa sekunde arobaini ivi, kisha niakaamka...

Kingine, nilipoamka nikajikuta kama nguvu zimeniishia ivi...

NI HAYO TU...

Labda wakuu wenye ujuzi na haya mambo wanaweza wakachangia kitu..
 
nimejibu upande wa pili..

"Rakims"
 
Vema, Hapo Watakiwa Uendelee Practice Ili Ufikie Goal...

Ukifikia State Ya Kuparalysis mara nyingi huwa ni Pale Mtu Anapofail Kuamka Na Astral Body Ndio Anajikuta Katika Mwili Wake Wa Awali Hivyo Ukiamka Unakuta Tayari Gani Ilishaachiwa Sasa Hadi Ufanye recover mwili ndio ile hali ya kawaida irejee....

unachotakiwa kufanya ni pale tu ukiona mwili wako umeanza kuupoteza sense hapo ndio unapojaribu kuvisualize miguu ikikubali kutoka unafuatia Mikono Nayo Ikikubali Kutoka Basi Unainuka Moja kwa moja kwa kuvisualize kuwa unaelea angani kama 90cm halafu ukishahisi umelevitate unafumbua macho na kuangalia ulipoacha mwili wako...

sasa hapo kuna mawili:

1: either umeamka kama lucid dream

2: or umeamka as OBE

Sasa Utajuaje Kama Umeamka As AP Au LD Hapo Ndipo Utakapo Angalia Je? silver cord ipo kama silver cord ipo utaona kama upinde wa mvua unakuunganisha wewe na mwili uliouacha Basi Hapo Ujijue Upo Kwenye Astral Body...

usipoiona silver cord jaribu kuthibitisha kama unaota lucid dream sogea sehemu yenye taa na uwashe haitawaka na kama ni lucid dream basi hata mwili wako hutauona sasa hapo unaweza kuenjoy pia ulimwengu wa ndoto vile unavyotaka pia........

ahsante sana kaka
 
Haya Umefika Muda Wa Kurudi Darasani Chap Chap PM namba Yako Nikuingize Whatsapp Group Ya Meditation...

"Rakims"
 
Je, haiwezi kukatika hiyo cord inayounganisha mwili halisi na mwili wa kiroho? I mean kama naweza kuamua kuikata makusudi au kwa bahati mbaya itakatika au ni mpaka ikatwe na mtu mwingine tofauti na mimi?
 
Wakuikata hii ni mwenyezi mungu peke yako sio ww wala mwingine yeyote...

"Rakims"
 
Back
Top Bottom