Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis)

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
HYPNOSIS
Katika makala hii nitakueleza kwa uchache kuhusu Hypnosis nikiwa na maana kupangua na kuhama kutoka sehemu moja ya fikra kwenda nyingine.
Kwa Kuanza;
Hypnosis ni rejea Inayohusu au Inayohusiana na Kudatisha na kuvuta maono kwa hali ya juu zaidi ambayo mara nyingi hutumika kwa kifaa au picha inayojirudia Rudia Mfano:

Bounce Watch au picha moja iliyoganda huku ikiwa na effects ambazo zikichanganyika na uwezo wako wa kuona basi hudatisha ubongo na kuweka animation.

FAIDA ZA HYPNOSIS:
Kila kitu au jambo kabla mtu kuanza hutaka kwanza kuangalia faida zake. na faida ya kuhypnotize ubongo ni kama ifuatavyo:


  1. Inamsaidia Muhusika Kufikia Kutamani Yale Asiyoweza Kuyafanya Na Akayafanya Na Akafanikiwa Vema Zaidi Ya Vile Alivyotegemea..
  2. Inamsaidia Muhusika Kuweza Kuondokwa Na Msongo Wa Mawazo,Wasiwasi Na Maumivu
  3. KupunguzaMaumivu: Husaidia Kuondoa Maumivu Ya Kansa, Kufungua Njia Za Haja Kubwa NaMaungio Yake, Hupoza Maungio (Joints) Na Maumivu Yoyote Ya Kichwa Hupozwa Na Hypnosis
  4. Kuondoa Majoto Mwilini: Husaidia Kuondoa Homa Za Sitambui Kama Kuhisi Baridi Kwenye Joto Joto Kwenye Baridi Au Kutaka Joto KWenye Baridi Na baridi Kwenye Joto..
  5. Husaidia Kubadili TABIA: Kikojozi,Mlevi,WavutaSigara,Mwenye Kukosa Usingizi, Uoga, Wizi Uasherati,uzinzi,upagani,uchawi..
  6. Husaidia Kuacha Yote Hayo Na Kuwa Mtu Mwengine Na Tofauti Alivyokuwa Mwanzo..

Hypnotism puts you into a state of focused concentration, during which youre vaguely aware of your surroundings you just dont care about them. There are different stages of hypnosis, some deeper than others. But when youre in any of them, your imagination is open to suggestion.

The suggestions made to you while youre hypnotized are part of hypnotherapy. This term, sometimes used interchangeably with hypnotism, simply describes the stuff that is suggested to you while youre hypnotized to help make you better after the session is over. Often the suggestions are images picturing your arm going numb, picturing yourself relaxed rather than orders to stop hurting.


Good candidates for hypnosis

If youre trying to lose weight, stop smoking, control substanceabuse, or overcome a phobia, hypnosis may be worth a try. And if youre unhappywith your current treatment for warts or other skin conditions, asthma, nausea,irritable bowel syndrome, fibromyalgia, migraines, or other forms of pain,discuss the possibility of hypnotherapy with your M.D.

Hypnosis can work for almost anyone, though some people have aneasier time than others. If youre lucky, youll be one of the few people(about 5 to 10 percent of the population) who is highly susceptible to hypnoticsuggestion.

Some of these folks reputedly can be hypnotized (with no otheranesthesia) before surgery and feel no pain. But even if youre not in thisgroup, chances are high that hypnosis can help you: About 60 to 79 percent ofpeople are moderately susceptible, and the remaining 25 to 30 percent areminimally susceptible.

Children and young adults are often good candidates forhypnosis, perhaps because theyre so open to suggestion and have activeimaginations.

If you dont trust your therapist, or dont believe thathypnotism can work for you, it probably wont. Hypnotism can only work ifyoure willing for it to work and you have a clear idea about what you want itto do for you.


HATARI ZAKE:
Kama Tunavyojua Hakuna Chenye Faida Kisipo Na KIkwazo Hii Pia Ipo Japo hatari Zake Ni Nadra Lakini Yaweza Kukutokea Haya:

1: Kuumwa Kichwa
2:Kusinzia
3:Kizunguzungu
4:Wasiwasi au Tabu
5:Kutengeneza Kumbukumbu Ya Uongo

Pia Hii Haitakikani Kufanywa Kwa Watu Ambao Hawako Sawa Kiakiri Yaani Wagonjwa Wa Akili Hadi Ruhusa Itolewe Na Wazazi Au Wanaomlea Mtu Huyo Ndio Afanyiwe Katika Kurejesha AkiliYake Ni Hatari Kwao Kwa Maana Pale Alipo Tayari Kama Yupo On Hypnosis Mode Sawa Na Moto Kuzimia Petrol Atakuwa Kichaa Times Two

Lakini Pia Katika Kupoteza Kumbukumbu Waweza Kuingiza Kumbukumbu Ya Maisha Ambayo Hayakuhusu Kwenye Ubongo Wako Yani Unakuwa Unakumbuka Uliwahi Kufanya Kitu Fulani Lakini Hukufanya.
Hizo Ndio Hatari Za Hypnosis

Jinsi YaKufanya Hypnosis:
Kuna Aina Mbili Za Kufanya Hypnosis Ambazo Ni:
1: Kufanya Mwenyewe
2:Kufanyishwa Na Hypothelapist/kumfanyia Mwenzio

Hapa Nitaielezea YA Kufanya Mwenyewe Kwa Uchache:

JINSI YAKUFANYA HPNOSIS MWENYEWE Bila MADHARA:
Huhitaji Kujiandaa Vyovyote Kama Unaenda KUfanya Hypnosis Labda tu kuvaa Nguo Zitakazo Kuweka Comfortable Na Kukufanya Ujihisi Relaxed..

SASA FUATAHATUA KWA HATUA:

Hatua Ya Kwanza:
Utulivu Unahitajika Kama Vile Unavyofanya Meditation..

Hatua Ya Kwanza Ni Kutuliza Mwili.. Kaa Kwenye Mkao Wowote, na jaribu kukwepa movement zozote zisizohitajika kwenye mwili wako.. jaribu kudhania kwamba kila sehemu ya mwili wako imetulia kutokea kwenye nywele roots, macho, pua, mdomo,lips za mdomo,shingo halafu unahamia kwenye mkono wa kulia,unaenda kushoto, halafu kifuani muscles za tumbo mpaka mguu wa kulia mguu wa kushoto anza na paja la kulia kisha la kushoto ndio mguu halafu kwa njia hii unakuwa umetulizanisha muscles za mwili mzima..

2: Hatua YaPili Ni Hatua YA Kujituliza Kiakili Kwanza, Unatakiwa Ujiweke KAtika Hali Ya MAwazo Mengi Mawazo Mengi Na Hofu Uitandaze Katika Fikra YAko.. Sasa Baada Ya HApo Unatakiwa Uanze Kusafisha Mawazo Na Hofu Zote Kutoka Katika fikra YAko Kuna Njia Nyingi Za Kuondoa LAkini Hapa NAkupa Hii Moja RAhisi

Unaweza Weka Bakuli Uliojaza MAji Mbele YAko NA Kuanza Kubeba Hofu Na Mawazo Yote
(Elimu,Kazi,Mambo YA Familia N.k) Na Kuyatumbukiza Moja Baada Ya Jingine KatikaNjia Hii Sooner Or Later Fikra Yako Itaingia Katika Fikra Ya Pili Ya Kufikiri (Fikra Tupu Ya Kufikiri)

Ambayo Ni Bila Hofu Wala Woga Yani You Go Complete IntoUnconscious state mara zote kumbuka kuomba fikra yako mwanzo kwamba baada yamuda (Huu Muda Utaamua Mwenyewe) Kwamba Utaamka Katika Hii Hali Ya Unconscious Mind Mfano Nitakaa Humo Kwa Dk 15 au 20 baada ya hapo niamke kwenye (hypnosis sleep)

Pindi Tu Utakapofikia hii sehemu unatakiwa uwe kwenye hali ya amani Sasa Waweza Ianza Sehemu Ya Self Hypnosis Kama Ifuatavyo.

3: Hatua YaTATU:

Weka Mkono Wako Mbele Yako Sasa Jiambie Kwamba Mkono Wangu Upate Mwanga Na Mwanga YAseme Maneno Haya Hadi Yafike Kwenye Ubongo Au Fikra Yako Hadi Pale Utakapoona Mkono wako Umeanza Kuwaka Taa/Mwanga Na Unaanza Kuelea Hewani Mbele Yako NaKusababisha Mng'ao hata kama upo gizani Hutaamini Yani

4:utakapofikia hiyo sehemu sasa sema tena mkono wangu uwe mzito zaidi na zaidiili uweze kushuka Chini? Ukiweza na hivyo sasa unaweza kuanza kuamrisha zingine ngumu wewe tu sasa na maamuzi yako lakini kumbuka muda uliojitegea kama ni alarm kama ni kukadiria ukifika tu muda huo unatoka automatically kwenye hiyo hali

5: Sasa Jiambie NI Wakati wa Kutoka Kwenye Hali Hii Basi Utajikuta Umeshatoka Tayari..

Kumbuka Mara Zote Kwamba Fikra kwa muda huo inapokea chochote ambacho unasema hata kama utataka ikuonyeshe tukio lililopita uliosahau utalikumbuka mwanzo hadi mwishohuta poteza hata sekunde sasa kuwa makini na ufanye salama.. Katika Hili Wakuu Hata Kama Ulikuw a Huamini Mwenyezi Mungu Yupo Utaamini Hata Kama Ukijiaminisha Shetani Hata Kuweza Kamwe Hata Kuweza.. Hata Ukisema Kuanzia Leo Mimi Tabia Zangu Mbaya Naacha Utaacha,

Hata kama Ukisema Kuanzia Leo Mimi Mlokole Utaokoka Hata Kama Ukisema Kuanzia Leo Mimi Ni Muumin Yani Muislamu Dhati Basi Utakuwa Hii Ni PSYCHOLOGY Haina Utani Hapo.. If You Want To Do Something Do It Now. Because NO Body Knows Tomorrow.

Note:
usijilazimishe kufanya ambacho ni kinyume na asili au mpaka wa dini yako wewetumia tu kujiponya na wenzio hofu na woga misongo ya mawazo na uhaba wa maisha ili kufanya watu waishi kwa amani duniani.....

Lakini Kama Hujafaulu Kufanya Hili NIpo Hapa Niambie Umefanyaje Hujafikia Usivunjike Moyo Twende Taratibu Utafika TU Na Jitahidi Usiweke Machaguo Magumu Ambayo Yatakuletea Vikwazo Na Kutoka Kwenye Hali Hii Kabla Hujafikia Lolote Anza Taratibu Tu And Practice Make Perfect


Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims

hypno_spin.gif
 
Hiyo ni kwa watu wote? Au ni baadhi tu ya watu kama Astral Projection?

Anhaa Swali Zuri Ni Kwa Watu Wote Kasoro Wale Wagonjwa Wa Akili Lakini Pia Sio Watu Wote Huweza Kufanya Effect Hizo Wengine Huishia Tu Kuingia State Hiyo Na Wasifanye Chochote Wao Yataka Muda Kupractice Pia Usimu Hypnozed mwenzio kama wewe hujawahi kufanya... yashauriwa uijue wewe ndio umfanyie mwenzio maana utafahamu anapitia kitu gani...


"Rakims"
 
Anhaa Swali Zuri Ni Kwa Watu Wote Kasoro Wale Wagonjwa Wa Akili Lakini Pia Sio Watu Wote Huweza Kufanya Effect Hizo Wengine Huishia Tu Kuingia State Hiyo Na Wasifanye Chochote Wao Yataka Muda Kupractice Pia Usimu Hypnozed mwenzio kama wewe hujawahi kufanya... yashauriwa uijue wewe ndio umfanyie mwenzio maana utafahamu anapitia kitu gani...


"Rakims"

ahsante mkuu..
Ngoja nijaribu sasaivi, kisha ntarudisha feedback
 
Anhaa Swali Zuri Ni Kwa Watu Wote Kasoro Wale Wagonjwa Wa Akili Lakini Pia Sio Watu Wote Huweza Kufanya Effect Hizo Wengine Huishia Tu Kuingia State Hiyo Na Wasifanye Chochote Wao Yataka Muda Kupractice Pia Usimu Hypnozed mwenzio kama wewe hujawahi kufanya... yashauriwa uijue wewe ndio umfanyie mwenzio maana utafahamu anapitia kitu gani...


"Rakims"

Mkuu, nimejaribu hakuleta matokeo yoyote..

Na kuna wakati nkashindwa kuelewa, wakati naendelea na process, nifumbe macho au nifumbue? Manake tangu mwanzo nlifumba macho, lakini ile stage ya kuuangalia mkono nikafumbua.. Bado sijaelewa kwenye hii
 
Mkuu, nimejaribu hakuleta matokeo yoyote..

Na kuna wakati nkashindwa kuelewa, wakati naendelea na process, nifumbe macho au nifumbue? Manake tangu mwanzo nlifumba macho, lakini ile stage ya kuuangalia mkono nikafumbua.. Bado sijaelewa kwenye hii

Tulia Mkuu Fuata Hizo Hatua Amini Unaweza Utaweza Na Ukifanya Vema Utafikia TU.. Mwanga Hafifu Au murua Uwepo Yani Kikubwa Ni Utulivu tu...

kufumba na kufumbua macho umeenda vizuri isipokuwa kuvisualize hizo sehemu za mwili kuwa relaxed nadhani ndio unapokosea.....!!

usifanye kwa haraka fanya taratibu mfano ikivisualize pua au jicho hakikisha unalihisi limetulia kabisaa...

"Rakims"
 
Nice.

Lakini Hypnosis ni ngumu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya meditation, pia ni useless kama unaweza kufanya meditation vyema. Meditation ndio Medication ya kwanza kwa faida zote, anayefanya meditation vyema haitaji hypnosis kupata faida hizo kwani meditation inafanya faida kubwa zaidi ya hizo.
 
na wale ambao hufanya hivyo often je?mfano mtu yupo kitandani anawaza only good things
ni sawa na hayo?
 
Nice.

Lakini Hypnosis ni ngumu kwa mtu ambaye hajawahi kufanya meditation, pia ni useless kama unaweza kufanya meditation vyema. Meditation ndio Medication ya kwanza kwa faida zote, anayefanya meditation vyema haitaji hypnosis kupata faida hizo kwani meditation inafanya faida kubwa zaidi ya hizo.

Ahsante: meditation ina tofauti kidogo na hii maana hii inalenga moja kwa moja na unaifata wewe sio kama meditation kwamba vinakufata wewe.....!!!


"Rakims"
 
na wale ambao hufanya hivyo often je?mfano mtu yupo kitandani anawaza only good things
ni sawa na hayo?

vipi hivi vinabebwa na mind na kuongozwa pale yupo thoughtless kitandani kuwaza good things havikai moja kwa moja lakini ukiwa state ya thoughtless unaingiza kitu hapo....


"Rakims"
 
Ahsante: meditation ina tofauti kidogo na hii maana hii inalenga moja kwa moja na unaifata wewe sio kama meditation kwamba vinakufata wewe.....!!!


"Rakims"

Ni tofauti kidogo lakini katika meditation kuna aina ya meditation yenye uwezo sawa na Hypnosis. But nilichopenda kushauri ni kuwa meditation ndio njia bora kwa watu kuanza kujifunza. Ni vigumu kumfanya mtu aielewe Hypnosis kama hajui meditation, because anaweza kujitengenezea Hypnosis experience na kuamini upo katika step sahihi kumbe anajidanganya katika Illusion you created. Ukiweza kumaster meditation utajua hali ya uhalisia ya Mind na hutaweza kujitengenezea Fake Hypnosis. Fake Hypnosis can be created na wengi wanasemaga wame-experience Hypnosis kumbe Their Mind and Ego created it na kuwapa Illusion.
 
Ni tofauti kidogo lakini katika meditation kuna aina ya meditation yenye uwezo sawa na Hypnosis. But nilichopenda kushauri ni kuwa meditation ndio njia bora kwa watu kuanza kujifunza. Ni vigumu kumfanya mtu aielewe Hypnosis kama hajui meditation, because anaweza kujitengenezea Hypnosis experience na kuamini upo katika step sahihi kumbe anajidanganya katika Illusion you created. Ukiweza kumaster meditation utajua hali ya uhalisia ya Mind na hutaweza kujitengenezea Fake Hypnosis. Fake Hypnosis can be created na wengi wanasemaga wame-experience Hypnosis kumbe Their Mind and Ego created it na kuwapa Illusion.

Ndio Maana Nipo Hapa Kuwa Guide Ili Wasiende Tofauti.. Kumaster Meditation Ni Kitu Kingine Na Si Rahisi Kama Tunavyoongea Mimi Na Wewe Na Kama Unaifahamu Vema Meditation Nadhani Utajua Nazungumza Kitu Gani?
Kujua Kufanya Meditation Na Kuzipata Effect Zake Faida Zake Kuwa In Positive Mind Sio Kumaster Meditation Kuna Watu Wanamaliza Hata 1 Year Kwenye Meditation Lakini Hakuna Hata Lowest effect waliopata.. vitu kama Hypnosis,lucid dreams,astral projection n.k Ni Branches Tu Ndogo Za Brain Power Ambazo Ndio Mtu Anatakiwa Aanzie Ili Afikie Hatua Ya Ku Dare Trying Meditation... Wengine Pindi Wanapoanza Meditation Husema Wameona Majitu Ya Kutisha Unajua Kwa Nini!? Kwa Sababu Wametaka Kuanza Shule Darasa La Saba Kuja La Kwanza Na Si La Kwanza Kwenda La Saba....

Sikatai Kuwa Kuanza Na Meditation Ni Bora Zaidi Lakini Hizo Bora Zaidi Ya Kwanza Ni Kujitambua Usiseme Umelala Tu Unaamka Unaanza Meditation Wewe Sheria Ya Nani Hiyo!?

"Rakims"
 
Na je, kipindi cha kusema mkono waka mwanga.. Huwa unasema kwa kimoyomoyo au kwa sauti?

Sauti Ya Chini Ambayo Haikeli Ili Iweze Kurudiwa Ubongoni.. Pia Sio Unasema Waka Mwanga Tu JE Ukiwaka Mkali Zaidi Ya Ulivyotaka Si Kero!? sema waka mwanga halafu imagine mwanga hule unavyoutaka utokee...


"Rakims"
 
Umakini ktk pumzi unahitajika au?

sio sana umakini hapa ni kwenye kutuliza parts za mwili zitulie sio useme umetuliza mkono halafu bado unachezesha au useme umetuliza macho wakati bado unakapua....

"Rakims"
 
Back
Top Bottom