Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Chief mkwawa,katika surfing yako ya online umewahi kukutana na web service inayo convert youtube videos to a mobile friendly version kama 3GP au MP4 kwa hizi small devices na kumwezesha mtu kudownload i think kwa devices kama hizi ndio itakuwa solution nzuri[/QUOTE]

Kwa wanaotumia Android kuna TubeMate hii ina uwezo wa coconvert videos kutoka format yoyote kwenda kwenye MP4 wakati wa kudownload.

Pia unaweza kuconvert video yoyote kutoka youtube na kuifanya MP3 kwa kufilter sauti tu na kuidrop video...
inapatikana Android market ( PlayStore)

Ushauri wa bure. Kama unataka kuinjoyi hivi vitu achana na Nokia, sijui blakbery ama iphone... Go for Android ... has a lot of developers na free super Apps.
goodluck..
 
Chief mkwawa,katika surfing yako ya online umewahi kukutana na web service inayo convert youtube videos to a mobile friendly version kama 3GP au MP4 kwa hizi small devices na kumwezesha mtu kudownload i think kwa devices kama hizi ndio itakuwa solution nzuri

Kwa wanaotumia Android kuna TubeMate hii ina uwezo wa coconvert videos kutoka format yoyote kwenda kwenye MP4 wakati wa kudownload.

Pia unaweza kuconvert video yoyote kutoka youtube na kuifanya MP3 kwa kufilter sauti tu na kuidrop video...
inapatikana Android market ( PlayStore)
Ushauri wa bure..

kama unataka kuinjoyi hivi vitu achana na Nokia, sijui blakbery ama iphone... Go for Android ... has a lot of developers na free super Apps.
.

goodluck..[/QUOTE]

Mkuu usifanye comparison zisizo na maana nokia c1 ni feature phone isiyozidi elf 70 we unafananisha na simu za malaki kibao.

Symbian ina apps kama hizo za kumwaga tu. There is no way android iipite symbian kwa productive
 
mkuu humu zipo njia nyingi tu za kudownload youtube nafkiri kwa ugeni wako umeshindwa kusearch

1. Njia ya kwanza ni kwa kuchange adress ya youtube mfano adress ilikua hivi

m.yutubu.komu

change iwe

ssyutubu.komu

then click ok utapelekwa page ya kudownloadia

2. Njia ya 2 ni kutembelea website zinazograb video za youtube utapata same video toka youtube sema zina uwezo wa kudownloadika website maarufu ni

Tubidy Mobile Video Search Engine

na

Vuclip | Videos | Video Clips |

3. Njia ya 3 ni kutumia apps.

Kwa s40 zipo zipo apps but simu yako ndogo dont expect that

chief mkwawa vipi kwa x2-01 apps za kudownload ukiacha hzo njia ulizotoa hapo juu
 
chief mkwawa vipi kwa x2-01 apps za kudownload ukiacha hzo njia ulizotoa hapo juu

Mkuu apps za s40 hazina guarantee try ur luck ovi, search google zipo za kumwaga sema ndo hivo mara zinaandika out of memory au app error.
 
Vipi members wenzangu, nilikuwa nauliza jinsi ya kudownload video YouTube au app inayofaa kudownload video YouTube???
 
kama unatumia Mozira fire fox search google "downloader helper for mozila fire fox" kisha bonyeza "add ions" kisha bonyeza "insall" bonyeza "restart mozila/browser" itajirestart arafu utakuta kama vigoroli vyenye rangi vimeungana vimejiattach kwenye tool bar ya hiyo mozila/browser soo anza kusearch video yoyote kisha malizia na neno you tube itakuja ila kwa juu upande wa kushoto kwenye hiyo video vitatokeza hivyo vigorori vyenye rangi peleka kasa uvibonyeze itaanza kudownload fanya hivyo hivyo kwa kila video unayoitaka i mean unasearch kisha unabonyeza hivyo vigorori na inaanza kudownload kama kawaida.
 
FUNGUA VIDEO UNAYOTAKA KISHA IKIWA INALOAD ILI IPLAY... NENDA PALE KWENYE LINK JUU PALIPOANDIKWA WWW.YOUTUBE.COM/Hgsgh262447

BADILI HIYO WWW NA REPLACE KWA KUWEKA SS

YAANI SSYOUTUBE.COM/HDHJ1553322

UTAPATA LINK ZA KUDOWNLOAD.. GOOD LUCK
 
Pia unaweza instal idm wakati ukichek video yenyewe itatokea kwa juu kukuambia download video ukibonyeza itakupa link zenye version tofauti tofauti.au tumia youtube downloader
Kukopy kwa cd burn
 
Hellow friends.., pliz instuct me on how to download videos from the youtube on my computer.. THANKS !
 
Kama wewe unajifanya mzungu, kaombe msaada uingereza kwa wazungu wenzako, sisi hapa bongo hiyo lugha yako hatuijui kabisaaaa. Mijitu mingine bwana, kha! Kiingereza chenyewe kibovu kama nini!
 
Kama wewe unajifanya mzungu, kaombe msaada uingereza kwa wazungu wenzako, sisi hapa bongo hiyo lugha yako hatuijui kabisaaaa. Mijitu mingine bwana, kha! Kiingereza chenyewe kibovu kama nini!

toa msaada kama uwezo unao, lugha isiwe sababu ya kikwazo.... hapa jf form yake ulijisali kwa kiswahili wewe?
 
Back
Top Bottom