Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

ushindwe mwanga mkubwa weww,inamaana mabinti wameisha mpaka ufuate madumwana hayo.mada chafuu peleka kwenu jizi kabisa hili.lengo lake ni kutafuta wateja nimeligundua haya hayachelewi kukuambie ukatafute mkono wa alibino
 
Mhhh,haya makubwa!!Hangaika yote hiyo ya nini Mkuu.. Fanya kazi wewe,wacha mambo ya dunia,Kumbuka wewe ni mtu wa kufa tuu,hata ufanyaje,lazima ufe tuu.. Ukilijua hili,basi huna haja ya kuhangaika kiasi hicho.. Humu Jamii hamna wanasaikolojia wampe ushauri huyu ndugu yetu?
hujagundua kuwa huyu ni mganga na anatafuta wateja humu eti kupendwa kazini, kupendwa kimapenzi
 
"tejay, post: 16156296, member: 345736"]Alooo iyo ya majin isiwepo tafadhar[/QUOTE]
Kwanini tey j?
 
Sisi sote hatujambo pia maridady tunashkuru kwa hilo sio.

Well, nimefurahi kuskia kutoka kwako coz naamini michango tunayoitoa kwa jamii huwa inafika mbali na inasaidia wengi pia tunaongeza connection ya marafiki na jamaa kwa ujumla na tunafarijika kwa hilo pia.

Ntafurahi kuskia jambo ulilonalo buddy ntaku-check kwa mail yako au hata PM ikiwezekana tuongee vizuri ndugu yangu. Shukran.

Karibu sana bro.
 
yesu wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

SHINDWENI....:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
Achen unafik jaman...sasa unakemea nn jaman...kwanza imekuaje hadi umekuja kusoma humu na kuifungua hii thread...ndo mana kukawa na headig means kua unaposoma headings ukiona haikufai haina haja ya kuifungua la sivyo kungekua hakuna haja ya kua na vichwa vya habari. Duuh. Uelewa mdogo.
 
Achen unafik jaman...sasa unakemea nn jaman...kwanza imekuaje hadi umekuja kusoma humu na kuifungua hii thread...ndo mana kukawa na headig means kua unaposoma headings ukiona haikufai haina haja ya kuifungua la sivyo kungekua hakuna haja ya kua na vichwa vya habari. Duuh. Uelewa mdogo.

Ni bora ulivyomuelewesha mkuu.

Cc Jestina
 
opic: Naombeni ushauri wenu sababu nahisi kifo
kinaninyemelea cc mcheza karete
M18 23:22 Today
habar jmn,
Mimi ni mvulana 28yrs, issue ni hii, ninamchumba wngu
ambaye nimeshalipa gharama ya mahali km robo 3 ila
cku hz nipo karbu sna na hyo mchumba wngu, cku moja
alikuwa ananithimulia maisha yke,kitu kilichonitisha
amesema yy kuanzia 2014 anaishi na Jini subiani
naikipita cku hajaswali bac ucku yule jini anamtokea na
anasex nae,kubwa zaidi hyo jini ndiye aliyemtoa bikra
cz akisex nae asbh anakuta mbegu ukeni na miezi
michache iliyopita Jini alikuwa anambembeleza Amuoe
ila bint amekataa, sasa hii kitu mi inanitsha sna cz
nahic km hyu jini ata nimaliza mimi cz atajua ndo
sababu ya yy kukataliwa. ushauri wenu cz niliplan
tufunge ndoa mwz 3 mwkani

Tafuta Biblia ya Katoliki usome kitabu cha Tobiti.....ninahakika utapata jibu kwa msaada wa Roho Mtakatifu...usikate tamaa. Mwenye Enzi Mungu ni mwaminfu kwa viumbe vyake..ubarikiwe
 
Wew na uyo mpenzi wako ,chakufanya uokoke kiiman na mpende sana kuudhuria makanisa,mikutano ..apo Mwenye ezi MUNGU atawasaidia mtafunga ndoa yenu salama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom