Jinsi ya kumtunza :"" pdidy""

Jamani huyu dada mbona mchoyo kizuri kula na jirani, si ndio ujirani mwema labda kama dozi home imepungua.
 
Jam,ani kuna dada kaniuliza ananiambia mumewe anagongwa nimsaidiaje??

Nahisi atakuwa marehemu tayari, hadi leo bado mzima pamoja na kugongwa? Maana akigongwa na gari mifupa inavunjika, akigongwa na nyoka, sumu, sumu.
 
Akamtafute mwingine hata akawe mama mdogo haitakuwa mbaya! Kwani yule aliyeko naye tayari ni mzigo full. NAKUPA POLE! Nimepita tuuuuuuuuu!!
 
Dini inasema kuoana na sio kuishi kinyumba bila ya ndoa. kuna hekima kubwa dini kuamrisha watu waoane na kama hawakuoana, hio ni fitna kwenye ardhi.
 
Naamini hata kabla ya dini za sasa baadhi yetu tulizonazo, ambazo zinalaani kitendo cha kuishi pamoja kwa majaribio kabla ya ndoa rasmi, mila za makabila yetu pia hazikuwa na mpango kama huo.

Ni busara ya asili kuoana bila kujaribiana.
 
Mwambie mumeo wasiwasi wako ili mlikomeshe jambo hilo. Vinginevyo huyo dada anaweza kumlisha limbwata ukapoteza mume.
 
Mambo ya kawaida sana siku hizi haya, inawezekana una heri wewe unayefahamu au ni heri unsingefahamu, lakini ukweli unabaki pale pale, kwa sababu nyingi tofauti wanaume wengi wenye ndoa aidha ni wafilaji au mashoga (top or down) nimekaa na haya makundi wakati wa Kureview HIV and AIDS Policy, wengi tu walisema ni waume za watu.....Tafuta Best Friend wake, Mnasihi, Clergy au hata ndugu wa karibu...HADHARI ni kwamba uwe na ushahidi wa kutosha yasije yakakutokea puani.........:smile-big:
 
Jam,ani kuna dada kaniuliza ananiambia mumewe anagongwa nimsaidiaje??



Pdidy sijui kama nimeelewa statement; huyo dada anakuuliza wewe? au anakupa taarifa? kama kakupa taarifa kwa kumsaidi huyo dada kwanza kabisa mwambie ahakikishe wewe ndo wa mwisho kukutaarifu, maana sijui kawambia wangapi na watu hua wanafurahia sana kusambaza ishu kama hii mtaani. Akae akijua watu wakijua ukweli hata yeye pia atadharika. Na yeye kama mke alitakiwa akae aongee na huyo mume wake na amuulize - Ni kweli wanaume wengi wakali but akidhubutu kumuuliza hilo swala kama kweli lazima atalowa, mengine yatafuata tokana na response.
 
Jamani acheni utani mtu atanpotafuta suluhu ya shida yake. Sasa wewe dada unaleta mada wakati wewe siyo mlengwa tukikuuliza maswali utaweza kujibu? Ni mumeo umeamua kuiweka ki hivi? 1. Hiyo tabia imeanza lini? Baada ya kuoana au? 2. Anaweza kukuhudumia wewe wakati nae anahudumiwa?

Ki upeo wangu nahisi mume wa rafiikio alifanyiwa hayo mambo akiwa mdogo sana, ambayo yamemplekea kuendelea hata ukubwani. Sasa basi wewe ndiyo mtu wa karibu wa kumsaidia, tafuta wana saikololia wamfanyie usail wajue undani wa hicho kitu, natumai ataacha tu. Ila na wewe fanya maombi kwa nguvu, mwenyezi Mungu ni mwaminifu atamtoa huko alikopotelea.

yangu ndiyo hayo.
 
mmmhhh jamani jamani Pdady
we na haya ma thread yako ya ajabu..
mmhh hivi wadhani kama ni kweli utapata msaada hapa
kwa jinsi unavyoandika kama mtu ana hara vile..

Embu andika kieleweke
hata sentensi mbili tu waweza wakilisha vema zaidi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom