Jinsi ya kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa

jaman raha ya penz umpata akupendae kwel yote mengine mbona hayatasumbua! Pil uckutane na ndum la kuwil kwan lazima comparison zioneshe dosar kat yenu..!
 
Ebanae Uskariri sana kwani wanawake wanatofautiana kwa hzo arausal zones.sio ww ksa mpenz wako ukmtach sehem flani anastimulate ndo utuambie ss je kama ss hawako hvyo,kingine kamanda hujatuonesha ni sehemu ngap huska ziguswe umesema tu achezewe kvp sasa? amekuwa ball?
plz specify briefly and accordingly,ok!!.

Usijal imeandikwa itaendelea
 
Upendo kwanzaa kama mwanamke hakupendi hata ubinuke sarakasi kwenye k yake hutamridhisha ng'ooo
Ndio maana tunashauriwa tutunze bikraa ili tukiolewaa tusiwe na pa kulinganishaa

Mkuu ulivyosema sawa lakini hapo kwenye red akilini mwako si unajua tu kuna dushe za size tofauti?
 
Eeeehhh,..ama kweli ukubwa RrrraAhaaa...na kuwa mwanmke raha zaid...'priciate all guys mnaojitahd kuwa'please warembo wenu,huwa tunafurahi
Umenena vema,natamani wadada/wamama siku moja nao wawawekee wenzao namna ya kuwafurahisha wapenzi wao.
na pia kama mwenzi wake anamaliza mapema afanyeje ili kazi iendelee.
 
tendo la mapenzi inabidi minimum uchukue lisaa limoja! from romance to actual intercourse na 10 mins kumalizia. Kama mnaharaka. Kama ni mke wako kabisa lazima once a week ufanye ile marathon service inayo anzaga kuanzia kutoka out usiku wa ijumaa hava a good time mkirudi saa 7 au 8 ni mna doo hadi 11 unaamka tena saa 1 hivi, unaendelea nae hadi 2 na nusu unapumzika kidogo unamletea breakfast kwa kitanda, then saa 4 au 5 hivi unapiga ingine ya kusimamia kucha. Baada ya hapo unaondoka na kuendelea na shughuli zingine. Hehehe! Lazima utumiwe msgs siku nzima na ukirudi hio juma1 jioni mnapumzika tu na story za hapa na pale!
Kumridhisha mwanamke ni psychological approach as much as the physical act!

Dah!!! I never imagined that such men do exist!!! She must be a lucky one to have you as her husband and i hope she appreciate it! Big up brother!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom