Jinsi ya kumpata mpenzi bila kugharamika

Kwa wadada wa kizazi hiki, pesa mbele kama tai. Wengi tena wanakuwa very honest, "do you have cash?"

Yan wanawake wa type hyo ndio wanadharaulika sanaaa. Si ajabu ndio hao wanagonga 40 hawajaolewa. Mwanamke wa hivyo hela ntampa ndio ila baada ya game hzo dharau ntakazo mpa, atajuta maisha yake yote. Nahisi ataacha na tabia hzo ya kuomba omba hela.
 
Yaani wewe ujue hao unawafata wa form two!! Hizo pigo ukampelekee msichana ameshamaliza form six ameshapitiwa na wanaume karibia 40 ndio ujidai wewe unajua 6x6 uanjishangaa nay kwanza wako very carefully akijua hapa zipo hakuijii haraka mwanzoni Kama Hana shida na pesa, mwenzio hapo anaweza akawa hata na laki mbili liyotoka nayo kwa Xwake kudadeki mwezi wa kwanza Hana shida mtatoka mtaenda seem na kilaji atanunua baada aliona umekolea ndio anaanza kukutoa utajikuta hio engine kiuno yako unaitumia na hela unatoa! Wasichana wasikuhizi sio mbulula jidanganye!
 
Ukiona kila demu anakutangulizia pesa ujue hauuziki..Wajanja tunawapanga sana awa viumbe na atuwaonyeshi pesa wala nini unyamwezi tu

ha ha ha..! Kweli wapo lakini wachache Sana, wengi saundi hawazisikii..
 
Yan wanawake wa type hyo ndio wanadharaulika sanaaa. Si ajabu ndio hao wanagonga 40 hawajaolewa. Mwanamke wa hivyo hela ntampa ndio ila baada ya game hzo dharau ntakazo mpa, atajuta maisha yake yote. Nahisi ataacha na tabia hzo ya kuomba omba hela.

..mie nitakula kwa mkopo, nikitoka hapo hanisikii tena..!! Bado sijafikia kununua uc.hi mie..
 
Wengine wameenda mpaka kukopa kwenye tasisi zinazotoa mikopo ili tu wapate kuwafurahisha wapenzi wao.
 
Back
Top Bottom