Jinsi ya kumpata mpenzi bila kugharamika

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Najua wengi wenu amjui jinsi ya kumpata mpenzi mpaka mgaramike. Wengi wenu nyinyi kwa mara ya kwanza umekutana na mdada kitu cha kwanza unajionyesha kwa jinsi gani unao uwezo wa kifedha.

Unafanya hivyo kwa sababu hauna "impessive skill" akili ya kumteka. Kijana nakuambia, pasipo kutumia pesa uta mteka mpenzi na kufanya naye mambo yetu yalee karibu siku zote bila kugharamika.

List chini ni vitu ambavyo nakufunda uvifanyie kazi

1 - akili ya mazungumzo/ inahusisha sana sauti ya kimahabati. Ukiongea kama chiriku shauri yako. Tulia, panga point changanya na sauti ya mvuto utaniambia.

2-Uwezo wa kumfanya mdada acheke mara kwa mara. Siyo unaongea na manzi unakuwa kama hakimu anasoma hukumu, tunga stori za uwongo na kweli. Nyingi ziwe za uwongo. Hawa viumbe Mungu alivyo waumba, uwongo ndio ukweli kwao.

3-Uwe mbunifu, hapa sasa kwenye mambo yetu yalee. Kila siku akutane na mambo mapya. Mapenzi ni uchafu ukifanya uchafu wote walahi tena utakuja niambia Kwamtoro kweli wewe noma.

Ukiweka ulimi pale akikisha antena yake imesimama wima, asipo omba Poo!! Usibanduke mpaka yeye agome kabisa.

Kikieleweka akikisha unajituma vizuri kunako 6X6. kipimo chako kizuri ni yeye kupata usingizi wa kutosha baada ya tendo. Hapo big up, umefuzu kiwango.

4-Jiweke simple kabisa, afahamu wewe maisha yako ya kuunga unga. Ila akikisha unakuwa msafi wa mwili na mavazi pamoja na sehemu unayo lala.

5-Jifanye auna wivu kabisa, akizungua mzingue mara mbili. Hawa viumbe kwa kutest ndio wenyewe. Anaweza kukuambia me & u is over, wewe piga kimya tu. Siku ya kwanza itapita, kesho yake huyoo. Mwambie mimi nilikubaliana na maamuzi yako.

Siku nyingine akirudia njoo unisute kwamtoro. Ukijifanya Baby why why, atakubwaga ki kweli kweli unajiona hivi hivi.

Tatizo lenu vijana amjiamini nyinyi wenyewe mnahonga mpaka sasa inafikia hawa ma manzi awajitumi kujitafutia riziki kwa kazi za mikono yao pamoja na akili walizo pewa na Mungu.

Embu mabuzi tukate kamba tuwaone. Mambo ya LOVE & CARE yamepitwa na wakati. Sasa libakie LOVE tu.

 
Hii nimeipenda, kuna watu humu wanatoa hadi maandiko ya vitabu vitakatifu eti mwanamke ni wa kulelewa tu na kuwa bila hela no honey! subutu yenu
 
Kwa wadada wa kizazi hiki, pesa mbele kama tai. Wengi tena wanakuwa very honest, "do you have cash?"
 
izo kabobo tu. kwa maisha ya karne hii, bila uchawi wa kizungu (pesa)... mademu wazuri utaishia kuwaita 'shemeji' tu.
 
Kwa wadada wa kizazi hiki, pesa mbele kama tai. Wengi tena wanakuwa very honest, "do you have cash?"

Ukiona kila demu anakutangulizia pesa ujue hauuziki..Wajanja tunawapanga sana awa viumbe na atuwaonyeshi pesa wala nini unyamwezi tu
 
Hapo #4 ndio umetoka nje ya mada kabisa....
sijui ulitaka kumaanisha "vitu vya kumfanya binti asing'oke"

Zaidi ya yote, ukiwa na kaVerossa kamwe hauta-undergo all those phases.
 
...usitumie pesa kamafimbo,mambo ya mapenzi utaka maelewano hapo ndo pesa huwa na thani...
 
Ukiona kila demu anakutangulizia pesa ujue hauuziki..Wajanja tunawapanga sana awa viumbe na atuwaonyeshi pesa wala nini unyamwezi tu

Mapenzi ya Kweli yalikuwaga zamani bana. Now days, no money no honey...! Km hukubali mtest demu wako akupe pesa km week hivi uone km atakupigia simu tena.
 
Hapo #4 ndio umetoka nje ya mada kabisa....
sijui ulitaka kumaanisha "vitu vya kumfanya binti asing'oke"

Zaidi ya yote, ukiwa na kaVerossa kamwe hauta-undergo all those phases.
Nakuunga mkono mkuu.ukitembelea umekaa aka mkoko u don't need those blah blah bana
 
Back
Top Bottom