Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Unapoamua kuolewa ni jambo jema. Ila kuna mambo lazima uyajue mapema na ya sikupe pressure ya kuahirisha ndoa au kukataa tamaa. Kuna usemi usemao wanaume mama yao mmoja, huu usikusumbue kabisa. Si lazima awe malaaya, mlevi, mpigaji nk
Kila Mmoja ana hulka zake. Vitu vya kuangalia, anajua kumake love- kusex, anakusikiliza, anajali. Kama anazo sifa kuu tatu inatosha sana na ni mwanzo mzuri. Ila kama sifa hizi tatu hana wewe jiandae kuteseka na ndoa
Kuna baadhi ya wanaume wanatatizo la kutojua kumake love or kusex. Na hii hukufanya hamu yako ya mapenzi isitimie. Madhara yake ni hasira, kutojiamini na kukupelekea kukumbuka wapenzi wa zamani au kutafuta wapya. Pia utamdharau sana mumeo
Kama hakusikilizi basi utahisi kudharauliwa siku zote na kujiona mnyonge. Ni vizuri ukaona unasikilizwwa kwwenyye michango yako ya kifamilia na upenzi. Pia kama anakusikiliza kwa kila kitu na kisha hakujali pia itakuumiza. Ni vizuri akajali kwa kukuonyesha upenzi. Haya ndio mapeenzi ya dhati
weekend njema
Smile ............you got it all wrong baby........la kwanza ni utii, la pili usafi na la tatu ni mapishi....................ahata ujue kukikata kiuno vipi kama ni mjeuri bado itakula kwako.......................kama siyo msafi basi utaona cha mtema kuni....................................kama mapishi hujui au unaKASIMU kwa binti wa kazi basi ni vyema ukaKASIMU na kitanda piA...........
Last edited by a moderator: