jinsi ya kumfanya mwanamke adumu katika ndoa

Kuna ma player wengi tu ambao performance zao ni zero...wewe hulikuwa hausikilizi story za kina dada nini? Kuna kijana tulikuwa tunasoma nae college baba yake alikuwa milionea...alikuwa anabadili mabinti ili hali ana kibamia...

Mabwenini alikuwa ni gumzo, lakini ni player.

Hao ni wachache kati ya walio wengi ...
 
HP hapo umefika mbali, nani wa kukubali mwizi, mzembe, na malaya...kwani hao wenye sifa mbaya ndio good performer?

Kwanza tunavutiwa na muonekano; baadae tabia kwa ujumla...tukifika kitandani akawa zero una m- write off.

Sasa ya nini kung'ang'ana na mtu ambaye una mashaka kibao na kujipa moyo ...lakini ana pesa...lakini mzuri...lakini ana upendo...we are all trying to look for a perfect partner...si partner 'lakini'

Sasa usinambie ni define 'perfect' kwani ni relative term

nyumba kubwa , umeninukuu vibaya, nilisema "wahuni wengi wana sifa hizo zilizotajwa na mtoa mada na siyo wote". By the way inamaanisha uko tayari kumkubali mwanaume mzembe, mvivu, mwizi, malaya nk kwa sababu ya kuwa compatible naye kitandani? Hasa ktk ulimwengu hatari namna hii tulionao? Lol!
 
Hapo penye bold naona sasa tuko pamoja! Nilichotaka kusema ni hicho kwamba ndoa ni zaidi ya vile 3 vilivyotajwa kama kigezo. Pamoja na compatibility ya kitandani, lakini tabia na mengineyo niliyoyaainisha ni ya msingi sana kuifanya ndoa iwe kama ndoa! Ungesoma vzr tangu mwanzo nilichoandikia nafikiri ungenielewa mapema zaidi.
 
HP hapo umefika mbali, nani wa kukubali mwizi, mzembe, na malaya...kwani hao wenye sifa mbaya ndio good performer?

Kwanza tunavutiwa na muonekano; baadae tabia kwa ujumla...tukifika kitandani akawa zero una m- write off.

Sasa ya nini kung'ang'ana na mtu ambaye una mashaka kibao na kujipa moyo ...lakini ana pesa...lakini mzuri...lakini ana upendo...we are all trying to look for a perfect partner...si partner 'lakini'

Sasa usinambie ni define 'perfect' kwani ni relative term

Uliwa write off wangapi kabla hujampata mwenyewe?
 
nyumba kubwa , umeninukuu vibaya, nilisema "wahuni wengi wana sifa hizo zilizotajwa na mtoa mada na siyo wote". By the way inamaanisha uko tayari kumkubali mwanaume mzembe, mvivu, mwizi, malaya nk kwa sababu ya kuwa compatible naye kitandani? Hasa ktk ulimwengu hatari namna hii tulionao? Lol!
kwani mtu hawezi kukupenda akawa na sifa hizo?
 
HP hapo umefika mbali, nani wa kukubali mwizi, mzembe, na malaya...kwani hao wenye sifa mbaya ndio good performer?

Kwanza tunavutiwa na muonekano; baadae tabia kwa ujumla...tukifika kitandani akawa zero una m- write off.

Sasa ya nini kung'ang'ana na mtu ambaye una mashaka kibao na kujipa moyo ...lakini ana pesa...lakini mzuri...lakini ana upendo...we are all trying to look for a perfect partner...si partner 'lakini'

Sasa usinambie ni define 'perfect' kwani ni relative term
shosti The Boss anakutaka undani huku!mi nishamchimba mkwara lakini!
 
Macho yangu yana darubini...hivyo sikuwa nabugi stepu sana...na uzuri sijawahi maishani ku date mchumba...nilikuwa naingia kwenye urafiki bila kuwaza mambo ya ndoa ndio maana writing off was kama namsukuma mlevi vile.

Nili mwrite off mmoja tu na mpaka kesho haamini maana ilikuwa kama mzaa. performance yake ilikuwa nzuri lakini nilimkuta kasimama na mdada...tena ninaye mjua afu wote wakashtuka...from that day ikawa mwisho....eti akawa anasema nilikuwa namtafutia sababu...nkamwambia utajiju...sina mwingine lakini sikutaki kwa kuwa siwezi kupata mwingine nikiwa na wewe...niondolee kiwingu.

Ujana raha sana...hapo nilikuwa ndio kwanza na join undergraduate...nikawa single for like a year..ndio nikapata my mr. right ambaye ilikuwa ngumu kuamini kuwa nipo nipo tu...mi nilikuwa mgumu...boyfriend hakuwa lazima kwenye maisha yangu...i was too busy for that.

Mimi nikiona mtu analizwa na boyfriend sielewi..sijawahi kuwa crazy in love na boyfriend mie...akileta za kuleta nilikuwa natupa kule.

Ila mume ndio anauma...sijuhi ndio real love hii.

Kakimbia sasa wewe waweza jibu pia
umesha write off wangapi?
 
Wakati mwingine ukweli una uzito zaidi ya nyumba,ni wachache wanaomudu kuubeba!
 
Duh.................Sijui kama haya mambo yana-fomula kama tunavyosema hapa.........sijui though,inawezekana kwani kila aliyechangia hapa anauzoefu na mazingira yake aliyopitia au kuyaona
 
Kwa mujibu wa Smile, hakuna nafasi ya kujifunza haya mambo??

Hata hivyo, mie na Bibi tulianza kama njuka na sasa tunajua kila tunalolifanya!!

Babu DC!!
 
HorsePower sikusikia wito wako kabla, na nilipenda kuwa msomaji zaidi kwenye Uzi huu kwa sababu kuna vitu vingi viko kimitazamo tu. Kuna vichache ni fact ngoja nijaribu.

Why does one get married? Sex drive, needs to start a family au? either way sex lazima iwe involved (kama hakuna tatizo la kimaumbile)!

Now tukija kwenye how much sex is enough sex; hapo inategemea mtu na mtu au couple na couple sidhani kama tunaweza bishana hapa. Tukubaliane tu kwamba enough sex ni muhimu.

Ndoa (mahusiano) yanakamilishwa na sex peke yake; l strongly disagree, there is more to ndoa zaidi ya sex; na finance ni muhimili muhimu katika family. Hivyo we got to work lkn with a balance. Don't spend too much energy in looking for money kwani baadaye utatumia too much money kudeal na afya yako both physically na psychologically.

Wanawake na kutoridhishwa sexually, hii haina tofauti na wanaume kutoridhishwa sexually na pia si kigezo pekee kinachofanya wanawake au wanaume watoke nje ya ndoa. Kunakutothaminiwa, kudharauliwa, kutokidhiwa mahitaji, kukumbwa na visiawishi na kuamua tu; hizo pia ni baadhi ya sababu zinazofanya both men & women kutoka/kusaliti/kukimbia ndoa zao.

Mwisho nafikiri ni muhimu kujua nini unachotaka kwenye mahusiano wewe binafsi na kujua mwenzio anataka nini; halafu muone kama mnaweza kumeet some of the important expectations ninyi waTATU (Mungu included)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom