Jinsi Ya Kulink Credit Card ya CRDB na Paypal?

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
Habari zenu wana jamii.. i hope weekend imeanza vyema? Nilikuwa na maswali kadhaa juu la hilo jambo na wenye uelewa au

walioshafanya hii kitu.. nilikuwa najua nahaitaji kufanya nini na inacost kujiunga na ni shilingi ngap?.. Pia nikienda ofisi zao wao ndo

watanionganishia na paypal.. na kila ntakapo nunua kitu online kuna malipo mengine yatakatwa katika account yangu na CRDB.. vile

vile service zao zikoje ni nzuri na kuridhisha hizo service za benki na paypal?

Thanks, Nawasilisha...
 
kaka kajaze barua ya crdb ya internet paypal ipo trusted link then utakatwa hela kidogo then itarudishwa.
 
kaka kajaze barua ya crdb ya internet paypal ipo trusted link then utakatwa hela kidogo then itarudishwa.
Mkuu samahani kdogo iyo barua naijaza wapi? Au ninatakiwa niende CRDB na wao wataniunganisha? Na inakatwa how much. Na service za CRDB Kwenye paypal ni nzuri?
 
Mkuu samahani kdogo iyo barua naijaza wapi? Au ninatakiwa niende CRDB na wao wataniunganisha? Na inakatwa how much. Na service za CRDB Kwenye paypal ni nzuri?

yani ishu ipo hivi kadi yako ya crdb imelockiwa kufanya transaction za internet kukuepusha na wizi ili kuitumia inabidi ukajaze barua kwenye tawi lolote la crdb then wanaifungua (kwa mda) halafu wewe unalink na card yako online wanakata kama dola 1.24 (chini ya 3000)
 
Chief I did that...filling the internet banking form and given the pass word etc .. I still can't pay for down loads from amazon and apple stores. I just got frustrated and left it there.
 
Chief I did that...filling the internet banking form and given the pass word etc .. I still can't pay for down loads from amazon and apple stores. I just got frustrated and left it there.

brother wewe umefanya njia ambayo sio safe ona njia hii ilivo.
Paypal ni bank ya online inafanya transaction kureplace account yako ya bank so unalink paypal na bank then unakua na acount 2. Paypal ipo safe maana ni ngumu kuchakachulika compare na card ya benk. So kama we unavotaka kununua amazon utatumia paypal na sio bank
 
kufafanua zaidi ngoja nitoe malezo ya dhumuni la paypal.

paypal iliazishwa ili kuminda mteja. Amazon au Ebay kuna wauzaji wengi wengine matapeli. Sasa wewe ukinunua kitu moja kwa moja bank detail zako(VISA) zikaenda kwe muuzaji amabaye humjui au amabaye ni tapeli ina maana kama si mwamiifu anaweza kutumia detail za kadi yako kufanya transaction nyingine amabyo hujui. so paypal inachofanya ni kama kuweka mask(kwenye bank details) kati ya muuzaji na mnunuaji.

Usalama huo kasi ikuwa unakuwepo sababu hata ikitokea dhuluma basi paypal wanakuwa na bank detail za mteja na wanakuwa bank detail za muuzaji. So kwa Paypal ni rahisi hata kurecover kama bahati mbaya muuzaji amekuwa tapaeli . Kwa wauzaji nao inakuwa rahisi kuaimini malipo kupitia paypal kuwa wameuza kitu kwa mteja halisi mwenyeaccunt halali na sio matapei wa "kinegeria"

So ukiona unashindwa kununua kitu ni sababu unapotaka kununua hawakubali visa card au master card bali wanataka tranasaction ya visa card na master card ipitie kwa mtu kati ambaye ni paypal. Na ukiona unaweza kunua kitu bila paypal basi well and good but kama sio waaminifu unaweza kulizwa kirahisi. Ndio maana wengine wanafungua account special kwa jili ya kununulia vitu online. Hata kama hutumii paypal inakuwa na vijisenti vichache tu.

.....PayPal hides your financial details so you don't have to share them online. We also protect your purchases so just in case there's a problem, you can get your money back...............
Soma zaidi

Jaribu kufungua ccount ya paypal hapa wenye tovuti ya paypal nenda kwenye sign up now

Fungua account katika paypal, then utaenda sehemu unayotakiwa kujaza credit card details, once umezijaza hizo details paypal watacharge around 1.39 km sikosei but it will be refunded within 24 hrs of card verification, paypal wakisha charge iyo hela watatuma code katika bank statemnt yako within 2-3 days, utaenda bank na kumuomba akuangalizie iyo code ilotumwa kisha utaingia paypal uta login na utabofya link yenye kusema verify credit card, then utatia zile code zilizotumwa katika bank statement, after that you are good to go!
 
Ahsanteni sana kwa maelezo na ufafanuzi wenu nimeelewa sasa how this works na nitafuta hiyo procedures big up sana kwa walio changia :poa
 
bongo bongo tu mana kujiunga na internet banking CRDB wananikalisha wiki mbili nzima. huduma kama hizi hazitakiwi kuchukua muda mref hiv
 
Nilishawahi kufungua paypal account kwa Crdb's visacard na kujaza form ya e-card banking ila kupata verification code ni usumbufu. Nikaenda paypalforum, wakaniambia code inatumwa kwenye email address yako na sio kwenye bank statement. Kwenye inbox yangu, hakuna code waliyontumia.
Swali, kuna yoyote mwenye akaunti paypal na ipo active? Je verification code alipataje?
 
wengi tu wanazo active mkuu
 
Chief I did that...filling the internet banking form and given the pass word etc .. I still can't pay for down loads from amazon and apple stores. I just got frustrated and left it there.

We mkuda Kuna tofauti kati ya internet banking na kuiwezesha kadi yako kufanya manunuzi online, nenda tawi la crdb uwaombe wakupe form ya kuomba kuiwezesha kadi yako kuchafanya online purchase.
 
theres difference between credit and debit cards. crdb hawana credit cards so far.
 
theres difference between credit and debit cards. crdb hawana credit cards so far.

Hilo tatizo nilikumbana nalo pale Exim Bank, wakanimbia hawana credit cards ila wanazo debit cards ambazo huwezi kununua online isipokuwa kwa njia maalumu.
 
Back
Top Bottom