Jinsi ya kujua jinsia ya computer yako!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Hellow JF

Kama kawaida sijakosea kichwa cha Habari...Computer yako ina Gender yake pia.

So ni wakati mwingine wa kufahamu kama computer yako ni JIKE au Dume!!!

If it is a Lady then Treat it with Respect... Mi yangu ni Dume Nimefurahi sana.

JINSI YA KUGUNDUA.


Haina haja ya kuchungulia Nyeti zake wala kuwa mtaalamu wa kugonga codes za HTML...

fanya Hivi

1) First thing to do is opening the "notepad" section. Well, if you dont know how to find it, just click "Start" -> "All programs" -> "Accessories" -> "notepad

2) Copy na kupaste hii ndani yake: CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"Hello"

3)Save the notepad as "Hello.vbs" (please notes that the execution .vbs is important), you could save it anywhere as you like hata kwenye desktop.

4) Open the file by double clicking the file that you've made. Dont forget to turn on your computer speakers and hear the sound, you'll know the "gender" of your computer by the sound of it

Halafu tuambie hapa computer yako ina jinsia Gani? usiogope na usisahau kuipa jina computer yako. Hatutatangaza posa. Tupeni majibu ili tujue computer ya mkuu flani na flani ni jike au Dume!!

have fun cheers!!!
 
hapo step ya tatu yaani badilisha kutoka hellow.txt na iwe helow.vbs

pia kama unaona process ni ndefu..basi tengeneza new text document, halafu paste ile code, halafu badilisha iwe .vbs badala ya .txt
 
Yangu dume tena sauti inafanana na Gozi langu, nimemsikilizisha kacheka, ananambia nimeshaanza kuwa freak wa JF.

Tena nimeishaipa jina, Gozi!
 
Hahahahahah!Hiyo kitu kumbe ni kweli!Kuna kipindi niliona sehem sema sikuijaribu.Zangu zote midume!Bass la ukweli,Helloooo!
 
hahahaha daaah yangu SHAROBARO bna kitu kimestua HELLO MEEEN!... :biggrin1:.... duuuh! ndo maan ina pozi kishenz mpaka iwake uibebeleze :biggrin1:
 
Script:c:\users\rose\desktop\hello.vbs
Line:1
Char:1
Error:active component cant creat objects "sapi.spvoice"
Code:800a01ad
Source:Microsoft vbscript runtime error
 
What happens ni kwamba Windows inafungua text-to-speech conveter( program inayobadilisha maneno kuwa sauti) halafu inasoma yale maneno "hello". Ukitaka kuhakikisha, pale kwenye "hello" andika neno lolote la kingereza halafu save kwa jina lolote (ila umalizie na .vbs) kwa mfano Givenality.vbs halafu fungua hilo file. Kama ina jinsia does it mean INAZAA? I'm just joking Sharo. Try it!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom