Jinsi ya Kujiunga na CCJ kwa njia ya Simu

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Inawezekana unasubiri uone vigogo watoke CCM ndio na wewe ufanye uamuzi na inawezekana unasubiri wengine waanze kuleta mabadiliko ili na wewe udandie mbele ya safari; lakini wengine wangependa kuwa sehemu ya mabadiliko wanayoyataka.. hivyo..

Ni namna rahisi yakujiunga na CCJ kwa haraka na kwa wepesi... Kwa kutumia simu yako:

Ingia kwenye "Message"

Andika neno "Sajili" weka nyota (*)
Andika Jina lako kamili kisha weka (*)
Andika Mkoa unaotoka kisha weka (*)
Andika mtaa unaotoka kisha weka (*)

Halafu tuma kwenda namba
15337

Mara moja utapata namba yako ya kadi, na maelekezo jinsi ya kupata kadi yako..
 
Attachments

  • KATIBAyaCCJ.doc
    238 KB · Views: 170
Walio nje ya nchi wanaweza kujisajili? Na ni wapi watu walio interested wataweza kufahamu zaidi kuhusu CCJ? Kuna tovuti?
 
Wooow...rahisi hivyo?
Nadhani kuna utaratibu wa kulipia ada ya uanachama..je inakatwa katika SMS hiyo, au inakuja kulipwa separate?..na ni kiasi gani?
 
Walio nje ya nchi wanaweza kujisajili? Na ni wapi watu walio interested wataweza kufahamu zaidi kuhusu CCJ? Kuna tovuti?

hata walio nje wataweza kujiunga.. lakini kwa ajili ya kupata usajiri wa kudumu wanahitajika wanachama walio ndani ya nchi.. once wakitoa usajili wa kudumu mambo mengi yatakuwa rahisi.
 
Hadi hivi sasa wanachama wanazidi kutiririka kuanzia South Korea, South Africa,.. muda si mrefu mlioko UK na US mtaweza kuwa wanachama.. this is the movement for change.. Tea Party style!
 
Katiba yao mkuu inaweza kupatikana? Nilisikia waliweka kitu gazetini lakini sikubahatika kukiona
 
Hadi hivi sasa wanachama wanazidi kutiririka kuanzia South Korea, South Africa,.. muda si mrefu mlioko UK na US mtaweza kuwa wanachama.. this is the movement for change.. Tea Party style!

Wewe ni kiongozi ndani ya CCJ? je ni kweli CCJ ni chama mbadala na sio yaleyale ya Mrema type? Nasikia kiongozi mmoja ni kutoka pale Makumbusho ktk kitengo chetu kileee alichokuwa Mzee wa Kiraracha sasa hapo kweli sio mkenge?..inabidi mtu kufikiria kidogo lakini kwa umakini
 
Katiba yao mkuu inaweza kupatikana? Nilisikia waliweka kitu gazetini lakini sikubahatika kukiona

Katiba ya muda ipo tayari na nadhani it is somewhere here.. sasa hivi kinachofanyiwa kazi ni katiba ya kudumu.. mfumo na muundo wake hautakuwa kama wa chama chochote nchini kilichopo sasa hivi. Utakuwa ni wa kidemokrasia zaidi, wa ushiriki zaidi na wa ubunifu wa hali ya juu..
 
Kwa siasa za Afrika chama chenye nafasi ni kile kitakachokuwa na uwezo wa kuwafikia wanyonge kule vijijini. Hata chama kije na ubunifu kiasi gani, lakini kama ubunifu huo hauwafikishi kule kwa wananchi vijijini, watakuwa wanajisumbua bure.

Hilo ndilo tatizo linaloikumba CHADEMA pia, wanaenda kwenye mji na kuuteka, wanaondoka bila kuacha uongozi wa kuduma. Baada ya wiki wananchi wanarudi kule kule kwa mama yao CCM hata kama ni mlevi maana mama wa kambo kapotea.
 
Mkuu, mimi nadhani huu ni mwanzo mzuri; kwa sasa CCJ inabidi ipate usajili wa kudumu, ndo sababu nadhani priority kwa sasa ni kupata permanent status. Na njia ya kujiunga kwa simu is the best kwa muda mfupi uliopo kwa maana ya kuzunguka nchi nzima kupata wanachama ili ku-qualify for permanent registration.

Hata mtu wa kijijini ataelewa kirahisi kujiunga kwa simu, ndahani ndo sababu kadi watapeleka wao.
 
Inawezekana unasubiri uone vigogo watoke CCM ndio na wewe ufanye uamuzi na inawezekana unasubiri wengine waanze kuleta mabadiliko ili na wewe udandie mbele ya safari; lakini wengine wangependa kuwa sehemu ya mabadiliko wanayoyataka.. hivyo..

Ni namna rahisi yakujiunga na CCJ kwa haraka na kwa wepesi... Kwa kutumia simu yako:

Ingia kwenye "Message"

Andika neno "Sajili" weka nyota (*)
Andika Jina lako kamili kisha weka (*)
Andika Mkoa unaotoka kisha weka (*)
Andika mtaa unaotoka kisha weka (*)

Halafu tuma kwenda namba
15337

Mara moja utapata namba yako ya kadi, na maelekezo jinsi ya kupata kadi yako..

Asnate mkuu,

Nashauri matangazo ya redio na TV kuhamasisha wengi kwenye hili.
Au kuna tatizo?
 
Katiba ya muda ipo tayari na nadhani it is somewhere here.. sasa hivi kinachofanyiwa kazi ni katiba ya kudumu.. mfumo na muundo wake hautakuwa kama wa chama chochote nchini kilichopo sasa hivi. Utakuwa ni wa kidemokrasia zaidi, wa ushiriki zaidi na wa ubunifu wa hali ya juu..

Ngoja nipekue mkuu ni muhimu kujua wana uelekeo gani
 
Hadi hivi sasa wanachama wanazidi kutiririka kuanzia South Korea, South Africa,.. muda si mrefu mlioko UK na US mtaweza kuwa wanachama.. this is the movement for change.. Tea Party style!

Wajamaa Bwana! Tea part style, yaan ni kukopi na kupaste tu bila ya kuchukua maana nzima. jamaa wakisikia kuwa socialist wamekopi style yao hawatakuwa happy!
 
Huu ni mwanzo mzuri kwa CCJ. Ila mi nawashauri wale wapambanaji wenzake na mpendazoe wamuunge mkono yaani wamfate ili wananchi wawe na imani kamili. Maana ni kweli watanzania wamekata tamaa na viongozi waliopo . Pia kama wapambanaji wengine wanashaka maana CCJ imekua ikifanyiwa mizengwe Basi waje CHADEMA yetu. JAMANI LET BE SERIOUS TUNATAKA KUKOMBOA NCHI YETU!
 
CCJ kazaneni kama hamjapewa usajili wa kudumu bado shikeni bango maana siku zinakwenda zinapita . Ili mueze kushiriki uchaguzi
 
Nadhani huu ni mwanzo mzuri kwa CCJ na mabadiliko yataanzia hapa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom