BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,184
- 2,290
Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni.
Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako?
Mimi binafsi nimekutana na kadhia hii. Majirani tena mmoja ndo aliniuzia uwanja lakini baada kuweka kamjengo ka heshima Sasa wanataka wanizibie njia waliyoniachia pindi wananiuzia.
Nimejaribu kufuatilia nimegundua ni wivu tu ndo unawasumbua maana walitegemea kuona nikijenga kibanda km Chao sasa matokeo yamekuwa tofauti.
Hivi majirani wa namna hii unatakiwa kuishi nao vipi maan ilifikia wakati nikataka kuuza hiyo nyumba kwa bei ya hasara ili niwakimbie maan hata salam imekuwa ngumu kupeana.