Jinsi ya kuishi na majirani wenye maisha ya chini/ Duni

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,177
2,281
Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni.

Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako?

Mimi binafsi nimekutana na kadhia hii. Majirani tena mmoja ndo aliniuzia uwanja lakini baada kuweka kamjengo ka heshima Sasa wanataka wanizibie njia waliyoniachia pindi wananiuzia.

Nimejaribu kufuatilia nimegundua ni wivu tu ndo unawasumbua maana walitegemea kuona nikijenga kibanda km Chao sasa matokeo yamekuwa tofauti.

Hivi majirani wa namna hii unatakiwa kuishi nao vipi maan ilifikia wakati nikataka kuuza hiyo nyumba kwa bei ya hasara ili niwakimbie maan hata salam imekuwa ngumu kupeana.
 
Mimi binafsi nimekutana na kadhia hii. Majirani tena mmoja ndo aliniuzia uwanja lakini baada kuweka kamjengo ka heshima Sasa wanataka wanizibie njia waliyoniachia pindi wananiuzia. Nimejaribu kufuatilia nimegundua ni wivu tu ndo unawasumbua maana walitegemea kuona nikijenga kibanda km Chao sasa matokeo yamekuwa tofauti.

Hivi majirani wa namna hii unatakiwa kuishi nao vipi maan ilifikia wakati nikataka kuuza hiyo nyumba kwa bei ya hasara ili niwakimbie maan hata salam imekuwa ngumu kupeana.
Mm nlipunguziws kiwanja na majirani 2 wote nikawachia
 
Mchawi ni location na eneo kubwa, sema ni uchache wa maokoto ila ata kama ni mjini ukinunua eneo kubwa walau hekari nzima tena likiwa na bikoni mwisho wa eneo lako

halafu inafuatia fence ndefu wasione ndani ni wewe na ka-ist kako kwenda mtaani kuwakumbuka wana....
 
Kiwanja hiki nakiuza Kiko Arusha burka estate milion 32 20*30
IMG_20231229_102252_2.jpg
 
Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni.

Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako?

Mimi binafsi nimekutana na kadhia hii. Majirani tena mmoja ndo aliniuzia uwanja lakini baada kuweka kamjengo ka heshima Sasa wanataka wanizibie njia waliyoniachia pindi wananiuzia.

Nimejaribu kufuatilia nimegundua ni wivu tu ndo unawasumbua maana walitegemea kuona nikijenga kibanda km Chao sasa matokeo yamekuwa tofauti.

Hivi majirani wa namna hii unatakiwa kuishi nao vipi maan ilifikia wakati nikataka kuuza hiyo nyumba kwa bei ya hasara ili niwakimbie maan hata salam imekuwa ngumu kupeana.
Hata Mimi ningekuzibia njia

Mkuu tafuta viwanja vilivyopimwa acha uswahili unapenda uswahilini kubaliana na mambo ya kiswazi
 
Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni.

Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako?

Mimi binafsi nimekutana na kadhia hii. Majirani tena mmoja ndo aliniuzia uwanja lakini baada kuweka kamjengo ka heshima Sasa wanataka wanizibie njia waliyoniachia pindi wananiuzia.

Nimejaribu kufuatilia nimegundua ni wivu tu ndo unawasumbua maana walitegemea kuona nikijenga kibanda km Chao sasa matokeo yamekuwa tofauti.

Hivi majirani wa namna hii unatakiwa kuishi nao vipi maan ilifikia wakati nikataka kuuza hiyo nyumba kwa bei ya hasara ili niwakimbie maan hata salam imekuwa ngumu kupeana.
Umenikumbusha mbali sana we jamaa!

Nilijenga na kuhamia kwangu 2016 aiseh!ilibidie nimuuzie jamaa yangu sehem ya kiwanja Ili tugawane presha na yeye akaja kuwa mwiba mkali sana!

Nashukuru nilivumilia Hadi Sasa wengi wamenikuta na wao waejenga na mtaa umekua!mimi ndio nilianzisha Sasa Kuna itwa uzunguni!
 
Mpiji au?
 
Back
Top Bottom