sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
666.666.666.666Nimejaribu lakini haikubali, Je unaweza kunipatia Ip Address ya Invisibo?
666.666.666.666Nimejaribu lakini haikubali, Je unaweza kunipatia Ip Address ya Invisibo?
Admin wengi hawatumii user name ya administrator.
Any way, XP inatumika na wanafunzi zaidi. hata kwenye market sidhani kama bado ipo.
666.666.666.666
its for hacking other IP's only...we si unataka ku hack??Tangu nianze kufanya kazi sijawahi kuona Ip Address za aina hiyo inayoanzia 666 labda umetokea dunia nyingine
kweli labisa...XP naamini is the BEST WINDOWS EVER...hizi nyingne mbwembwe tu nyingi na ukiangalia sana unakuta mambo mengi ni kama kuongezea juu yake tu ila msingi ni uleule...hamna jipya!Ipo mkuu inatumika sana kuliko Hizo Win Vista au 7, Labda wewe hujawahi kufanya kazi kwenye Makampuni makubwa, kuna makampuni mengine bado wanatumia Win 98 najua huwezi kuamini. Kampuni ninayofanya Kazi wako wateja wetu wengi wanatumia Win Xp kuliko Win 7 au Vista.
To upgrade from Win Xp to Win 7 its cost a lot kwenye makampuni makubwa kwa hiyo wengi wana-avoid spending cost and its not easy task as you think. XP its still one of the best OS ya Microsoft since Win 98.
Ipo mkuu inatumika sana kuliko Hizo Win Vista au 7, Labda wewe hujawahi kufanya kazi kwenye Makampuni makubwa, kuna makampuni mengine bado wanatumia Win 98 najua huwezi kuamini. Kampuni ninayofanya Kazi wako wateja wetu wengi wanatumia Win Xp kuliko Win 7 au Vista.
To upgrade from Win Xp to Win 7 its cost a lot kwenye makampuni makubwa kwa hiyo wengi wana-avoid spending cost and its not easy task as you think. XP its still one of the best OS ya Microsoft since Win 98.
ebu darasa lako zuri lakini ebu nenda taratibu nimekuwa nataka kujifunza kuwa haka kwa nini kwasababu napendanadhani hiyo ndefu sana.
1.bonyeza 'start'
2. Chagua 'run'
3. Andika 'cmd'
4. Then itatokea dialog box nyeusi (ambayo ndio command prompt).
6. Andika 'net user xxxx'. Kwenye user andika jina la administrator account ( mara nyingi hii huwa inaitwa 'administrator' lakini kuna watu hubadilisha jina na kuipa majina yao).kwenye xxx andika password unayoitaka.
7. Logout au restart.
8. Chagua administrator account halafu andika password uliyoichagua.
8. Umemaliza.
Zingatia: Njia hii siyo nzuri kwa sababu itabidi ubadilishe password ya admininistrator. Hivyo kama akitaka kulogin password yake ikikataa atagundua kuna mtu kabadilisha and that's not a good hacking leaving traces behind. Njia nzuri ni keylogging ambapo unaweza kupata password yoyote kama faceboook, twitter, myspace, jamiiforums (ndio hata jf), yahoo, gmail, zozote! Unachohitaji ni uwe na access na computer ya unayetaka password yake.
ebu darasa lako zuri lakini ebu nenda taratibu nimekuwa nataka kujifunza kuwa haka kwa nini kwasababu napenda
Sasa ukitaka ku-hack password ya mtu kwenye computer yake unafanyaje?,tushushie steps tafadhali itakua njema sana.Umekwama step ya ngapi? 1,2,3?,au ya 4?
Sasa ukitaka ku-hack password ya mtu kwenye computer yake unafanyaje?,tushushie steps tafadhali itakua njema sana.
Labda ni Ipv6. sina uhakikaTangu nianze kufanya kazi sijawahi kuona Ip Address za aina hiyo inayoanzia 666 labda umetokea dunia nyingine