Jinsi ya kufukuza mbu: Rahisi sana

Hii ya kukoroga mchanganyiko kwa siku nne si inakuwa issue?siku nne nzima umekaa sehemu unakoroga huo mchanganyiko? Ndugu hapa ndo pamenishinda maana nadhan hata mkono utakufa ganzi
 
Naona hiyo ni solution ya kufukuza mmbu waliotelekeza wake zao sio mmbu tulionao mtaani Dar, Moro, Moshi etc Just simply like that? No way!
 
Asante Mkuu. Ingewezekana, JF ingeanzisha jukwaa la DIY(Do it yourself) na teknolojia kama hizi zikisha kuwa verified zina wekwa pale. Idadi ya wafuatiliaji wa JF wangeongezeka. Nadhani moderators, wata nisikia. Yaani hiyo page nina uhakika ingepata matangazo ya biashara ya kutosha ili kuingiza kipato kwa JF.
Wazo zuri sana.... tutashare mengi maana wengine hapa ni team no chemicals.
 
Malimao mangapi mkuu au vipande vingapi vinatosha kwa chumba
 
Mjomba hilo jina lako la bob lee swagger linanikumbusha muvi moja matata sanaaa inaitwa shooter ya nyota akiwa Mack waberg kama lee swagger. Pia yumo mtu mzima Danny Glover..ambaye hajaiona hii movie aitafute.
 
Back
Top Bottom