Ahsante kwa ku-share nasi! Kuna mbadala wa karafuu? Mimi ni mhanga! Nadhani nitapakaa pia.
Ukilala uchi Mbu hakufuati ng'o...
Kichwa cha Uzi kinasema 'Fukuza'Mbona hamna mbu alienasa kwenye hiyo picha?
Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Nakushukuru sana mkuu, nitapokea kwa mikono miwili.Mkuu karafuu naweza kukutumia hata kilo nzima. Tutokomeze malaria kabisa
Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Nakushukuru sana mkuu, nitapokea kwa mikono miwili.
Wazo zuri sana.... tutashare mengi maana wengine hapa ni team no chemicals.Asante Mkuu. Ingewezekana, JF ingeanzisha jukwaa la DIY(Do it yourself) na teknolojia kama hizi zikisha kuwa verified zina wekwa pale. Idadi ya wafuatiliaji wa JF wangeongezeka. Nadhani moderators, wata nisikia. Yaani hiyo page nina uhakika ingepata matangazo ya biashara ya kutosha ili kuingiza kipato kwa JF.