Jinsi ya kufuatilia simu iliyoibwa

KISUNZU YP

Senior Member
Jul 30, 2016
114
37
Habarini wapendwa naombeni kujua programme au softaware yoyote ya kuitambua simu iliyoibiwa ilipo kwa kutumia IMEI namba

Tablet yangu imeibiwa sasa nina imei namba moja nataka niitrack ilipo
 
Hakuna mpaka sasa apps za kuitrack imei labda android manager nayo kama uliweka patten, itakuwa amesha hardreset au ameflash Nenda polisi now days wanakitengo cha cyber crimes watakusaidia kuitrack within 24 hours utaipata, nenda na imei risiti na pia wanachaji ela kati ya 50k to 100k Ila hurudishwa mwizi wako anapokamatwa..
 
Mkuu ulifanikiwa kuipata sim yako uliyo ibiwa!!!
 
hakuna app yoyote unayoweza tumia kulocate ur lost phone maana baada ya cmu kuibiwa au hata kuipoteza cmu hufutwa data zote kwa hard reset au total flashing.. Solution ni kwenda polic ukiwa na documents muhimu za kuthibitisha umiliki wa hyo cmu ambapo risiti yenye imei number itahitajika na police watafanya kazi ya kulocate cmu husika.. CHANGAMOTO... wakati unajipanga kumkamata mwizi na yeye baada ya kuiba huenda akajiongeza ili kuepusha kukamatwa, ikitokea mwizi huyo akabadili namba tambulishi za cmu husika bac hakuna tena matumaini ya kupata cmu yako hata ukienda tcra
 
Hakuna mpaka sasa apps za kuitrack imei labda android manager nayo kama uliweka patten, itakuwa amesha hardreset au ameflash Nenda polisi now days wanakitengo cha cyber crimes watakusaidia kuitrack within 24 hours utaipata, nenda na imei risiti na pia wanachaji ela kati ya 50k to 100k Ila hurudishwa mwizi wako anapokamatwa..
Duuuh sasa maana yake nini
 
Polisi watahitaji Email na pasword yake tu. Pia hakuna gharama, ni kazi yao hiyo unavyosema 50k - 100k ni kama biashara vile wakati ile ni taasisi ya ulinzi wa raia na mali zake.
 
hakuna app yoyote unayoweza tumia kulocate ur lost phone maana baada ya cmu kuibiwa au hata kuipoteza cmu hufutwa data zote kwa hard reset au total flashing.. Solution ni kwenda polic ukiwa na documents muhimu za kuthibitisha umiliki wa hyo cmu ambapo risiti yenye imei number itahitajika na police watafanya kazi ya kulocate cmu husika.. CHANGAMOTO... wakati unajipanga kumkamata mwizi na yeye baada ya kuiba huenda akajiongeza ili kuepusha kukamatwa, ikitokea mwizi huyo akabadili namba tambulishi za cmu husika bac hakuna tena matumaini ya kupata cmu yako hata ukienda tcra
Kwani hiyo hard reset au total flushing inafuta IMEI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom