Jinsi ya kufanya magumashi DSTV

mimi wamenitumia kimail chao leo...eti niarrange payments... Nshaongea na mshikaji fulan kenya/nairobi ananiletea ijumaa decoda kwa box nne tu fully kujiachia...jamaa yangu alifunga mwezi wa tano sasa haijazingua wala nini..bye bye dstv mlizokula zimetosha...

Mwambie alete mbili Baba.
 
Mwenye uwezo wa kuchakachua dstv. Naanza kufilisika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kaka/dada, katika amri za mungu kuna amri inasema "usiibe", kitendo cha kutaka DSTV ya bure bila malipo ni wizi na unachangia kudhoofisha maisha ya watoto na ndugu wa wafanyakazi wa DSTV na wafanyakazi wenyewe. Kumbuka maisha ya watu huathirika kama kuna watu wanaojinufaisha kwa njia za ujanja ujanja katka huduma za IMMa. Jaribu kufikilia hapo unapofanya kazi ukihujumiwa kama unavyotaka kuwafanyia DSTV je, utafurahi. Fikiria mara mbili kabla ya kuwaza vya bure.

Fanya bidii katika kazi zako, panga maisha yako, lipia burudani yako.
Jenga Tanzania isiyo ya wachakachuaji,
kemea uchakachuaji

Mungu atakubariki na kukuzidishia zaidi.
 
Daah, kumbe na internet yangu ya bure daily naiba?? Aah ila siachi...Nashkuru nimesanda leo
 
Back
Top Bottom