Jinsi ya kuconfirm allocation kwa wale waliopangwa vyuo wasivyotaka

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Nenda kwenye profile yako, then application for 2nd round, ingiza code ya chuo unachotaka, harafu confirm selection,

utofauti uliopo kwa new applicant na wale 2nd application ni kwamba pale kwenye confirm selection wamewekewa save change.
 
Nimejaribu kumsaidia dogo nimefanya hivyo mara nyingi tangu jana sijafanikiwa napata meseji hii
DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!.
 
Namna ya kuconfirm ni kukaa kimya kwa kuwa wameshatangaza kama hujaridhika na ulichopangiwa unatakiwa ku-apply course moja unayoitaka.

Maelezo kwenye website yako namna hii

ANNOUNCEMENT TO PROSPECTIVE APPLICANTS WHO WERE NOT SELECTED IN ALL OF THEIR PREFERENCES AND ALLOCATED TO OTHER PROGRAMS

TCU informs applicants whose names have been published on TCU website that, they were not selected in all of their choices due to various reasons. TCU considered their qualifications and allocate them accordingly in other programs they qualify other than their preferences.

TCU is hereby inform these applicants that if they are not satisfied with programs they were allocated they are allowed to select other programs of their choice by logging into their profile and enter only one program from a list of slots available on TCU website.

Please click here to view the list ...

Source : TCU Website
 
jana mi mwenyewe ilisumbua kama wewe bt leo mi na jamaa zangu wa5 tume2mia mfumo huo na imekubali, jana ilikuwa na save changes, leo wameweka confrim selection, jaribu kiongozi ,ila ni course ambazo ni available slots tu, ukichagua tofauti na hapo itakwambia nafasi imejaa
 
ukikaa kimya inamaanisha umelidhika na choice yao,
 
jana mi mwenyewe ilisumbua kama wewe bt leo mi na jamaa zangu wa5 tume2mia mfumo huo na imekubali, jana ilikuwa na save changes, leo wameweka confrim selection, jaribu kiongozi ,ila ni course ambazo ni available slots tu, ukichagua tofauti na hapo itakwambia nafasi imejaa

Ahsante kwa kunitia moyo, nimejaribu ya mmoja imefaniwa lakini wa pili imekataa. Bado napata feedback hiyo
 
Back
Top Bottom