Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

Kaka nimezipata chanel kadhaa hapa ila nikibadilisha au nikizima zinakata, kwahiyo mpk ni-search upya au? Mwanza
 
Imenifanya nikaangalie kalenda labda ni 1st April ila haikuwa hivyo ....mbona tunadanganyana humu ndani?
 
Wakuu mi chanel ten inakamata na redio, yani magic fm pia inasikika, nifanyaje kuitoa hiyo redio?
 
Nakula channel zangu 13 bila malipo kwa raaaaaaaaha kbs,Abarikuwe aliebuni hii ishu, ila Mungu amjuze zaidi ili tupate channel zaidi ya hizi
 
Nyie mnawaza wizi tu
Nyambafu zenu

Ngoja niwafundishe jinsi ya kuangali dstv bila king'amuzi
Bonyeza menu, serch ikimaliza bonyeza 6666 kwenye remort ya tv
 
jamani mm mbona star tv yangu inaandika ni richarge hata za bure nilisafifi kuludi nawasha inasumbua:disapointed:
 
Back
Top Bottom