Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

ingia kwenye serching kisha ingiza code number 531 chanel zitaonekana usicheze na wabongo ukianza tu tunamaliza

umerudia nlicho wai kukiandika katika jukwa laa Technologia nadhani miezi minne imepita kama sio mitano
 
Daa! Wabongo noma nimemuagiza dogo kaniambia kitu kimejipa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom