Jinsi ya kuangalia channel za ving'amuzi vyote Tz

Hiyo sijawahi kujaribu
Wala usijaribu kbs. Wamiliki wa masafa si wajinga kiasi kiasi hicho kwamba unaweza kuchezea mifumo yao ya ulinzi unavyotaka. Mie ni fundi wa masuala hayq, nakuambia kwamba mfumo huo ni wa uongo. Possibility kubwa ya kuangalia channels zilizofungwa ni aidha ufanye card sharing (internet key sharing) ama kuingilia mfumo husika (hacking the keys). Mengine ni uzushi
 
Toka nimeanza kufuatilia uzi huu hakuna aliyesema kuwa amefanikiwa, ili niutumie ujuzi wa mafanikio yake, so nimekata tamaa nahis hii ni impossible
Acha kusumbua akili na muda wako. Hakuna kitu cha namna hiyo kama mleta mada anavyodai!
 
For Education Purpose.
Zima King'amuzi.
Bonyeza OK botton katika King'amuzi
Kisha washaa kwa kutumia remote.
subiri iwake....
kisha zima kwa power botton iliyopo katika king'amuzi.
baada ya kuzima
bonyeza botton power katika remote mara 5
ita andika OTA kisha menu
sellect Modulations
chagua dvb-s kisha click enter
chagua channel unlocking
change 506 to 671
then save by click ok
do it untill us see channel unlocking successuffuly



Note: wakati unafanya haya ondoa smartcard.baadhi haita kubali kutokana na code number jaribu bahati yako kwa kupiga hesabu hili mf 506 (506/3)=168-3=165+506=671-(last 3 decorder serial numbe)+(last 2 smartcard number)

for education purpose.
Ahaaa
 
Back
Top Bottom