Jinsi ya kuacha kugombana na mpenzi wako

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,514
21,996
Hii inawahusu wote walio na wachumba na wanatarajia kuwa wanandoa mbeleni.

Lazima ujue kuwa ukiingia katika ndoa ipo siku utakabana koo na mwenza wako huko mbeleni. Kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha mgombane, ila mambo kama ya - pesa, ngono, simu, mitandao ya kijamii, kazi za nyumbani, wakwe, uvivu, kutofunga kabati, usafi, kuchelewa nyumbani, kulea watoto ni baadhi ya mambo yanayoweza kuwaletea mtifuano huko mbeleni mkiwa tayari ni wanandoa.

Ni vyema ukijipanga mapema kushughulikia masuala yenye miiba huko mbeleni . Hii itawasaidia wote wawili kuwa tayari kisaikolojia kwa ajili ya ufumbuzi na kuzungumza kwa utulivu.

Kubali sheria za uchumba kabla ya kujadili masuala .

Kwa mfano, kubali jinsi ya kushiriki wakati wa kuzungumza kwa usawa. Kubaliana juu ya maneno na sauti ambazo haziwezi kutumika.

Lugha za matusi na mashambulio yanapaswa kuwa eneo la hapana. Siri ya amani ni mawasiliano yenye ufanisi.

Heshimu mtazamo wa mwenzi wako. Msikilize kana kwamba unapokea maagizo kutoka kwa rais wa nchi.

Zingatia suala la wakati huo. Usiingize jambo la zamani kwenye mazungumzo.

Fupisha maneno yako. Uliza maswali kwa uwazi. Kuwa mkweli na hisia zako. Lakini ujiepushe kutafuta makosa, matusi, lawama, kejeli na kutia chumvi.

Ubarikiwe.
 
Nitasoma tena nikikaribia kuoa
 
Penye upendo, uvumilivu na heshima hapana magomvi.
 
ndio afu inakuruhusu kufuta kitu labda umeandika kitu ambacho utajutia, tofauti na kugombana uso kwa uso tusi likitoka halirudi😂
Ni kweli...yani mimi tukigombana na mtu hatakama akatuma texts za matusi siwezi kumjibu labda kimoyomoyo..yani hua nakaa tu kimyaaaa hadi unitafute mwenyewe kuomba msamaha au mimi nije nikuombe msamaha badae sana kama lilikua kosa langu... imenisaidia sana kupunguza madhara ya hasira
 
Hii inawahusu wote walio na wachumba na wanatarajia kuwa wanandoa mbeleni.

Lazima ujue kuwa ukiingia katika ndoa ipo siku utakabana koo na mwenza wako huko mbeleni. Kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha mgombane, ila mambo kama ya - pesa, ngono, simu, mitandao ya kijamii, kazi za nyumbani, wakwe, uvivu, kutofunga kabati, usafi, kuchelewa nyumbani, kulea watoto ni baadhi ya mambo yanayoweza kuwaletea mtifuano huko mbeleni mkiwa tayari ni wanandoa.

Ni vyema ukijipanga mapema kushughulikia masuala yenye miiba huko mbeleni . Hii itawasaidia wote wawili kuwa tayari kisaikolojia kwa ajili ya ufumbuzi na kuzungumza kwa utulivu.

Kubali sheria za uchumba kabla ya kujadili masuala .

Kwa mfano, kubali jinsi ya kushiriki wakati wa kuzungumza kwa usawa. Kubaliana juu ya maneno na sauti ambazo haziwezi kutumika.

Lugha za matusi na mashambulio yanapaswa kuwa eneo la hapana. Siri ya amani ni mawasiliano yenye ufanisi.

Heshimu mtazamo wa mwenzi wako. Msikilize kana kwamba unapokea maagizo kutoka kwa rais wa nchi.

Zingatia suala la wakati huo. Usiingize jambo la zamani kwenye mazungumzo.

Fupisha maneno yako. Uliza maswali kwa uwazi. Kuwa mkweli na hisia zako. Lakini ujiepushe kutafuta makosa, matusi, lawama, kejeli na kutia chumvi.

Ubarikiwe.
Naunga mkono huyo jamaa aliposema hii ilikuwa inafanya kazi hapo zamani za kale...
 
Back
Top Bottom