Jinsi ya Ku fund brokerage account iliyopo overseas!

NI vigumu kufanya deposit kutokea tanzania

Funds Management - MONEX BOOM

Kwenye hiyo link wameelezea baadhi ya njia zitumikazo.

Inaonyesha inatakiwa uwe na account kwenye moja ya bank JK
OK kaka asante. Je ukiwa na bank account Tanzania wafànyaje transfer? Maana kuna bank nilienda kutoa instruction Kwa ajili ya kufund account yangu wakaniambia BOT hairuhusu watanzania kuwekeza nje ya nchi. Kwa hivyo request yangu ya transfer ikawa declined.
 
OK kaka asante. Je ukiwa na account Tanzania wafànyaje tm transfer
Kaka unapochagua broker angalia;
1. Mwenye njia rahisi ku deposit
2. Njia rahisi kuwithdrawal
3. Spread zao
4. Background ya broker.

Nakushauri utumie Tickmill soon tutaanza kutumia mobile transaction
Na barclays bank.
Tarehe 28/12 kutakuwa na habari njema sana kwa watanzania
 
Mkuu Samahani Nipo Katika Process Za Kuchagua Broker mzuri ambaye atanirahishia Depost and Withdraw ya ela yangu, Kwakua Umezungumzia Tickmill naomba nianzie hapo..
Kma Hutojali naomba Nipe maelezo mafupi Ya Huyu broker Alafu pia Nitashukuru Pia Kma Nitajua Hatua zake yaani Namaanisha Njia Za Kuchukua Hadi Kuweza kueka Ela
Na Je Hivi Nikitaka kutoa Ela ni makato gani hasa Nitkutana nao, Nikimaanisha Kuna Moja Ya Broker nafikili Jp Market Kuna jamaa Aliniambiaa Hadi Uwe member Sijui wa kikundi cha TMT kilicho chin ya Ontario na wenzake SA ndo utaweza Kuescape makato, Ila Pia amabcho sijakipenda Zaidi ni hayo makato yani niliambiwa Karibia Dola 20 cjui 25 kwangu kiasi kingi sana kma ni kweli wanakata..
hvyo naomba niambie Hivi hili ni la kweli na Je Kuhusu makato yani hata TICKMILL Utakutana nalo hili... Na maswali mengine niliyoitaji ufafanuzi
 
Nina mengi ya kueleza kuhusu TICKMILL lakini kwa ufupi huyu ni broker bora kabisa wa kuaminika, hana hila kama wengine.
Mimi nilianza na xm, fxtm, fbs, fxchoice na jpmarket.
Wengi wana hila sana na wengine wanaongeza spread kubwa sana usiku kiasi cha kusababisha AKAUNTI KUUNGUA.
Lakini Tickmill ni broker mwaminifu sana na ni mkweli kama uwajuavyo Waingereza walio wengi***
Kwasasa Tickmill anaikodolea macho Tanzania na Namibia.
Hivyo ameanza kutengeneza mazingira rafiki kwa Watanzania ya kutuma na kupokea.

Kwasasa njia za kutuma na kupokea ni kwa kutumia;
1. Master/visa card** zenye mfumo wa
wa ulinzi wa 3D...nenda Standard
Chatered bank na barclays utazipata

2. Tumia skrill wallet au neteller

HUDUMA MPYA 28/12/2017
WATAANZISHA
DUSPAY...hii ni simbanking mpya.
Zaidi pm au uulize hapa nitarudi.
 
Hii itakuwa na m-pesa maana tickmill huwa na spreads ndogo sana
 
Shukrani Mkuu Umenielezea Vizuri Kweli Ingawa Ni kweli kwa Kifupi kma Vile ulivyosema Hapo Awali..

Anyway Swali langu Jingine mkuu Umesema Umeanza Na Broker hao Ambao Umewataja Hapo Juu akiwemo Jp market na FXchoice, Vip sababu ya Kuwaaama Ilikuwa Ni hiyo janja Janja Zao Na Usumbufu wao kma Nijuavyo Mimi au kulikuwa Na Sababu Nyingne....?
Lakini Pia Vip Mfano Nikafungua Hiyo Account Barclays, Na Naitaji Kufund kwenye Account Yangu Sitopata ule mlolongo kiasi kwamba Hadi nikaona shida, Nasema Hvyo Kwani kuna Rafiki yangu kwa mujibu wa Melezo yake alikuwa anazunguka sana Yani Mara kafungua akaaambia Sijui asubili transfer sijui nini mambo mengi....
Na Hilo sasa Swal La Upokeaji mkuu Jamaa Kaenda Kutoa Kma Dola 2000 Aisee Walimzungusha Karibia Siku tatu Ela hajaipata wakampa karatasi kibao azisaini ila siwezi kuyajaji pengine ilikuwa For the Security ya ela zake....

Lakini Pia kma Hutojali naamini wewe unamtumia Broker hyu kwa Mda Mrefu hvyo Utakuwa umeshawahi kupokea Fedha kupitia Visa Card je makato yao Yalikuwaje ilitumia Mda Gani Hadi Ela Yako Kuwa Mkononi Mwako....??
 
Mkuu Samahani Nipo Katika Process Za Kuchagua Broker mzuri ambaye atanirahishia Depost and Withdraw ya ela yangu, Kwakua Umezungumzia Tickmill naomba nianzie hapo..
Kma Hutojali naomba Nipe maelezo mafupi Ya Huyu broker Alafu pia Nitashukuru Pia Kma Nitajua Hatua zake yaani Namaanisha Njia Za Kuchukua Hadi Kuweza kueka Ela
Na Je Hivi Nikitaka kutoa Ela ni makato gani hasa Nitkutana nao, Nikimaanisha Kuna Moja Ya Broker nafikili Jp Market Kuna jamaa Aliniambiaa Hadi Uwe member Sijui wa kikundi cha TMT kilicho chin ya Ontario na wenzake SA ndo utaweza Kuescape makato, Ila Pia amabcho sijakipenda Zaidi ni hayo makato yani niliambiwa Karibia Dola 20 cjui 25 kwangu kiasi kingi sana kma ni kweli wanakata..
hvyo naomba niambie Hivi hili ni la kweli na Je Kuhusu makato yani hata TICKMILL Utakutana nalo hili... Na maswali mengine niliyoitaji ufafanuzi
Shukrani Mkuu Umenielezea Vizuri Kweli Ingawa Ni kweli kwa Kifupi kma Vile ulivyosema Hapo Awali..

Anyway Swali langu Jingine mkuu Umesema Umeanza Na Broker hao Ambao Umewataja Hapo Juu akiwemo Jp market na FXchoice, Vip sababu ya Kuwaaama Ilikuwa Ni hiyo janja Janja Zao Na Usumbufu wao kma Nijuavyo Mimi au kulikuwa Na Sababu Nyingne....?
Lakini Pia Vip Mfano Nikafungua Hiyo Account Barclays, Na Naitaji Kufund kwenye Account Yangu Sitopata ule mlolongo kiasi kwamba Hadi nikaona shida, Nasema Hvyo Kwani kuna Rafiki yangu kwa mujibu wa Melezo yake alikuwa anazunguka sana Yani Mara kafungua akaaambia Sijui asubili transfer sijui nini mambo mengi....
Na Hilo sasa Swal La Upokeaji mkuu Jamaa Kaenda Kutoa Kma Dola 2000 Aisee Walimzungusha Karibia Siku tatu Ela hajaipata wakampa karatasi kibao azisaini ila siwezi kuyajaji pengine ilikuwa For the Security ya ela zake....

Lakini Pia kma Hutojali naamini wewe unamtumia Broker hyu kwa Mda Mrefu hvyo Utakuwa umeshawahi kupokea Fedha kupitia Visa Card je makato yao Yalikuwaje ilitumia Mda Gani Hadi Ela Yako Kuwa Mkononi Mwako....??

Naomba Nijibu Maswal yenu kwa pamoja Ninakupa Broker Mzuri sana Ana Spread Nzuri ni Fatest na pia nina Experience nao zaid ya Miez Mitatu Anahuduma ya Mpesa ambayo ni Fast na Secure With 45 Una Withdraw na within a 1Min Una Deposit kwa Mpesa yako Leaverage mwisho kwako nin 1;1000 ambapo unawezo mzuri wa kutrade Tumia Link hii kama Una Swala na la Nyongeza Nichek Templer FX Trader

Regards

CC12
 
Kimsingi anayesumbua zaidi siyo broker bali mfumo wa MABENKI YETU yana mfumo dhaifu pamoja na masharti ya BOT.
Bado hawajawa familia na malipo ya kimtandao ndio maana kuna usumbufu mkubwa sana wa kukulipa.
Pesa huwa zinaingia saa moja hadi tatu tangu utoe kwa broker.
Kwa kuzingatia hayo nimejaribu kuwashawishi Tickmill kuwa na mfumo wezeshi na rahisi kwetu kutoa pesa zetu.
Jana tarehe 21/12 waliongea na Barvlays tz kuwa watuwezeshe kuchukua na kuweka pesa kwa broker kiurahisi, lkn wameomba wapewe muda wajadili.
Plan B waliyonayo ni kuzindua mfumo wa simu kama m pesa wameuita DUSPAY
wako kwenye maandalizi ya kuuzindua 28/12.
Huu sitauelezea sana hadi wakamilishe.

Kwa kifupi mimi ni mteja wao kwa muda thus why hunipigia na kuniuliza wapi waboreshe.
Kwa kiasi flani kujiunga hadi wakuverify unaweza kusota kiasi kwani hawataniii.
But naweza kukusaidia ku push na kukupa maelekezo muhimu.

Kwasasa visacard nzuri zaidi ni ya Standard chartered kwani wana mfumo wa 3D.
Ugumu ni kufungua acc yao kwani kianzio ni 200,000 lakini hizi pesa unaruhusiwa kuzitoa.
Najua kwa trader hiki sio kikwazo.
Kama sijakujibu usisite kuuliza mkuu.

Unapofungua acc tickmill zingatia haya;
1. Andika majina sawa na kitambulisho
2. Jaza namba ya nyumba hata iwe ya kubuni pamoja na jina la mtaa sawa na
Kitambulisho cha kura.
Ikiwa ulijiandikisha mburahati andika hivi;

House no 23/123, mburahati street.
Hii ni muhimu mno na ukipuuzia hawata kuverify.

3. Uta upload banking statement ya bank yoyote lkn ionyeshe anwani yako,
Huwezi kukubaliwa ufungue akaunti mbeya halafu statement isome dar.

4. Kuna sehemu ya kutengeneza neno la siri, hakikisha umechanga herufi kubwa ndogo na namba, mfano:
Dumelakuku2017.
Hii sio neno la siri la email yako bali ya akaunti yako ya tickmill.

Uliza lolote endapo sijakujibu
 
Ikiwa unahitaji tukuunge mkono kweye IB link yako uwe wazi tu.
Ni kweli hayo yote uyasemayo KASORO UPANDE WA GIZA HUJAUSEMA.
Niko Yemlper but sio broker mzuri hata kidogo. Usiku spread zake ni kubwa sana hadi kufikia 100 na zaidi, AMEUNGUZA ACC NYINGI SANA KUSHINDA JPMARKET.
Ni bora mara mia ubaki na jpmarket.
Mkuu inakusaidia nini kuwa na broker mwenye taratibu rahisi kufund na kutoa ilhali hupati faida nzuri?
Bora uchelewe kutoa lkn utengeneze faida.
Ninaongea kwa uzoefu.
Nimetrade nao siku 3 hawafai kabisa.
Kuna jamaa zangu kibao wapo humu niliwaonya kwenye uzi flani hapa, walinibeza lkn wameunguza acc hawana hamu
 
Yah Nashukulu Sana Mkuu Kwa Taarifa Na Maalezo mazuri Sana, Binafsi Nimeyapenda sana Na Nimeanza Kuona Mwangaza..
Kwenye Maelezo yako mkuu Nimeona Umeongelea Laki mbili ambayo Kma Kianzio Chenye uwezo wa Kutoka, Vipi nikiiitaji kuitumia Hiyo Kwa Ajili Ya Kufund Account Yangu kwa ajili ya Kutrade Hope Itakuwa Inawezekana....

Duu mkuu ya Kweli hayo Na Vipi Hiyo Kesi anayosema kiongozi apo ya Spread kuwa Kubwa....???
 
Yap, ndio maana nimekwambia hicho kianzio cha kufungua akaunti waweza kukitumia.
Ni vyema uanze maandalizi mapema
Sababu visacard yao inachukua siku 10 za kazi kuipata, wakati ukijiandaa kutrade Januari kama ujuavyo soko ni hovyo sasa hivi.
 
Yah Na Mimi Target Yangu Ni Kutrade Kuanzia January Maana Soko Kweli Kwa Kipindi hikii mmhm Linaliza Wengi Aiseee Naona Mtu Anatoka Kwenye 2000 USD to 200USD aisee ni Balaaa
 
Ila Mkuu Asante Sana ngoja Nichangamkie Hiyo Elaa Ya Kuanza Na Kufund Apo Alafu Kma Kuna Lolote We ndo Utakuwa Muongozo wangu Kiongozi
 
Duu mkuu ya Kweli hayo Na Vipi Hiyo Kesi anayosema kiongozi apo ya Spread kuwa Kubwa....???
D
Ikiwa unahitaji tukuunge mkono kweye IB link yako uwe wazi tu.
Ni kweli hayo yote uyasemayo KASORO UPANDE WA GIZA HUJAUSEMA.
Niko Yemlper but sio broker mzuri hata kidogo. Usiku spread zake ni kubwa sana hadi kufikia 100 na zaidi, AMEUNGUZA ACC NYINGI SANA KUSHINDA JPMARKET.
Ni bora mara mia ubaki na jpmarket.
Mkuu inakusaidia nini kuwa na broker mwenye taratibu rahisi kufund na kutoa ilhali hupati faida nzuri?
Bora uchelewe kutoa lkn utengeneze faida.
Ninaongea kwa uzoefu.
Nimetrade nao siku 3 hawafai kabisa.
Kuna jamaa zangu kibao wapo humu niliwaonya kwenye uzi flani hapa, walinibeza lkn wameunguza acc hawana hamu
Duuuuh kwahiyo kati ya Jpmarkerts na Templerfx nan anaspread kubwa mkuuu?yan kama na Templer umeunguza basi hi jpmarkets utaunguza kila siku by the way Am Scalper na sio Swing Trade ama Day Trade so sitrade kila saa i tarde where i see the opportunity
 
Back
Top Bottom