jinsi ya ku download

Khalifab

Member
Jul 6, 2012
38
2
msaada jinsi ya ku download,software,driverz,program,muviez,videoz...naomba msaada
 
Well kuna njia kama tatu hivi (ninazojua mimi),
1. NI direct download, hapa unasearch unachokita kwenye wensite husika na kama wanaruhusu kudownload unadownload directly, mfano hulkshare,com, 4shared.com, mediafire.com, pdfdatabase.com, filestube.com na nyinginezo
2. unatumia download softwares kama vile Internet Download Manager, hapa utahitaji program husika kama hiyo niliyotaja apo juu, ni nzuri in grabber yaani inaweza kudaka vitu vyote downloadable kama muziki, video na vinginevyo
3. Kwa kutumia torrent, hapa utahitaji torrent program (Peer to Peer application) kama vile bittorrent,utorrent au vuze. Utasearch unachotakiwa kufanya ni kusearch torrent (kafaili kadogo, hakazidi kb100) kutoka google au torrent index kama piratebay.se, mininove.com, isohunt.com na zininezo, hichi kitorrent kitafungukia hiyo p2p progama and there you go,
good lucky
 
THIRD EYE! NI vipi naweza pata new videoz za kibongo kaka

mbona easy? mi huwa natembelea mara kwa mara blog ya djchoka, millard ayo, bongo celebrity wanakuwa wameupdoad, kama una IDM inacapture, kama huna nipm email yako nijue nakutumiaje?
 
Mkuu Third Eye Tafadhali naomba utudondoshee sites za torrents za kutosha. samahani kwa usumbufu
 
Last edited by a moderator:

Pirate Bay <--link
nina mpango wa kuandika tutorial ya torrentz, pirates bay na mambo mengine yanayohusu torrentz. ukiniahidi like nitajitahidi niweke leo NingaR
 
Last edited by a moderator:
mbona easy? mi huwa natembelea mara kwa mara blog ya djchoka, millard ayo, bongo celebrity wanakuwa wameupdoad, kama una IDM inacapture, kama huna nipm email yako nijue nakutumiaje?

mkuu naomba na mimi nitumie IDM ludovic652@gmail.com
 
Pirate Bay <--link
nina mpango wa kuandika tutorial ya torrentz, pirates bay na mambo mengine yanayohusu torrentz. ukiniahidi like nitajitahidi niweke leo NingaR

Mkuu leh LIKE utapata za kutosha tu tena nyingi zaidi kwasababu sio nilio pekeyangu mwemye shida na hizi mbo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom