Jinsi wabongo tulivyo na roho mbaya

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Inasemekana kutokana na sie wabongo kuwa na roho za korosho Maulana hatokuwa na haja ya kuweka mlinzi wa kulinda mlango wa motoni,kwa sababu ukitaka kuchomoka tuu,mbongo anakudaka mkono na kukurudisha kundini,si unajua jinsi wabongo tunavyojua kubaniana
 
Mimi nafikiri tatizo letu kubwa ni umaskini.
Mtu yeyeto mwenye maisha magumu au aliyepitia maisha magumu , wengi si wote, huwa na roho mbaya.Iwe mtaani,kwenye familia,ukoo,OFISINI MHH.........
 
Inasemekana kutokana na sie wabongo kuwa na roho za korosho Maulana hatokuwa na haja ya kuweka mlinzi wa kulinda mlango wa motoni,kwa sababu ukitaka kuchomoka tuu,mbongo anakudaka mkono na kukurudisha kundini,si unajua jinsi wabongo tunavyojua kubaniana

Ndugu yangu Baba Watatu "waswahili wanasema umegusa jipu".

Yaana BAADHI ya Wabongo wana roho mbaya sana.

Ikitokea upo ofisi fulani na wewe ni kijana mdogo ukawa unajitahidi kujitafutia maendeleo binafsi ni shida inaanza kwa kuwa wale uliowakuta ofisini ambao wana zaidi ya miaka 20 kazini hawajaweza kufanya unalolifanya.

Na baadhi ya ofisi nyingine Bosi ndiye anayetaka awe na elimu kubwa kuliko wengine.

Yaani: MUNGU ATUSAIDIE WABONGO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom