Jinsi Osama alivyokamatwa while Obama watches from The Situation Room

mwee wanajeshi wetu walivyo na vitambi wangeweza kufanya operation kama hii

Hivi unadhani yanayofanyika tanzania ni mageni katika dunia hii. kwa nini unadhana kwamba wanajeshi wanene na wenye vitambi wapo tz tu. kwa taarifa yako ata nchi za nje wapo. wewe mwenyewe umeweka picha ya mwenajeshi kibonge kwenye profile yako una maana hujui. for more information waangalie hawa wanajeshi wamarekani wenye vitambi kama ulidhani wanajeshi wote marekani hawana vitambi. fat-soldier.jpg american_fat_soldier.jpg fat-soldiers.jpg
 
Thamani ya nyumba tsh 1.5bn, kitanda anacholalia mmiliki wa nyumba ya USD 1ml, thamani yake ni kama tsh laki moja (mbao nyeupe) hapo ndiyo nachoka. inawezekana jamaa alishakufa kitambo na hapa tumeonyeshwa mazingaombwe tu ya Hollywood. How did they produced 3D plan so fast? mwanzoni walisema there was exchange of fire na kwamba Osama was armed, now they say he was not armed.....holywood style. Jamaa alishakufa na alipozikwa hawajui. ndiyo maana hata huyu wanayedai wamemuua wanadai kumzika baharini kiislamu. Mazishi ya kiislamu bila contact na udongo?...the whole thing looks like scan kila hatua waliyofanya inazua maswalim

:) Mwandani sijui waliuchimbaje kwenye maji !!
 
Mzee, utaumia kichwa bure. wenzio wanarelate na ya kwetu na balali. wenzetu ni tofauti na hawawezi danganya kwa vitu kama hivyo hata kidogo. ni ukweli kafa na hawakuonyesha picha kwa sababu ingeweza ongeza hasira kwa wapenzi wake na wakizitoa watakuwa wamefanya editing kubwa na pia angezikwa kawaida angeweza kuwa hata mtakatifu bdae na watu kutembelea kaburi lake kama shujaa vile. wenzetu wanaona mbali.

More than Ngo'mbe...
 
120pakistan.jpg

Hitima ya kumwombea Sheikh Osama bin Laden itafanyika katika msikiti mkuu wa mji wa Abbotabad, Pakistan
Wote mnakaribishwa.
 
Thats how u can appreciate modern technology! We never know after twenty years where the world wil be!
 
article-1382859-0BE1616300000578-786_964x721.jpg

mkumbuke kuwa kamera ilikuwa imefungwa kwenye helmet ya mwanajeshi wa kimarekani na white house walikuwa wanaangalia tukio moja kwa moja
article-1382859-0BDFA98D00000578-272_964x470.jpg

The lay-out of Bin Laden's compound in Abbottabad. It was surrounded by walls up to 18 feet high

article-1382859-0BE03DE700000578-150_964x642.jpg

President Obama watches the mission unfold at the White House along with (left) Vice President Joe Biden, (right) Defence Secretary Robert Gates, and (second right) Secretary of State Hillary Clinton, alongside other Security staff, including (back left) Chairman of the Joint Chiefs Admiral Mike Mullen, (back without a tie) National Security Adviser Tom Donilon, and (back right, white shirt) Counter-Terrorism chief John Brennan
article-1382859-0BDF497A00000578-938_964x537.jpg


Pit of evil: A king size bed where Bin Laden may have once slept at the secretive compound in Abbottabad. Blood from a gun battle can be seen at the foot of the mattress


article-1382859-0BDF3C5000000578-524_470x423.jpg
article-1382859-0BDF3DA600000578-10_470x423.jpg

Gun fight: A pool of blood on the floor suggests that one Al Qaeda member was shot close to their bed, while right, a selection of medication which was left in the bathroom
article-1382859-0BDF3C5500000578-605_964x563.jpg


Carnage: Blood can be seen on the floor from where Bin Laden was reportedly surrounded by three men, including his son, and a woman who formed a human shield against U.S. troops
article-1382859-0BDECE7300000578-464_964x554.jpg


Abbottabad: The remote town in northern Pakistan, named after James Abbott, the British major who founded the town in 1853, sits beneath towering hills
article-1382859-0BDF2B6800000578-197_964x491.jpg


Success: Pakistani Army soldiers secure the compound where Al Qaeda leader Osama Bin Laden was killed by the U.S. military forces in an operation, in Abbotabad, Pakistan

Kumbe alilindwa na watu watatu, including mke wake....alikuwa mwaga sana wa kifo ambacho ndicho alikuwa anwaaminisha wafuasi wake kwamba ni haki...
 
Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that
Toa concrete evindence kama alikufa zamani,sio kutoa hadithi za kufikirika,kama huna kaa kimya
 
Toa concrete evindence kama alikufa zamani,sio kutoa hadithi za kufikirika,kama huna kaa kimya

Mkuu kuna watu wana element za ugaidi achana nao hao, dunia inachojuwa Osama AMESHAUWAWA NA MZOGA WAKE UMETUPWA BAHARINI. PERIOD. na wake zake watatu muda si mrefu watakabithiwa kwa wamarekani kwa mahojiano kabla hawajawadeport kwenye nchi zao.
 
Back
Top Bottom