Jinsi Osama alivyokamatwa while Obama watches from The Situation Room

Thamani ya nyumba tsh 1.5bn, kitanda anacholalia mmiliki wa nyumba ya USD 1ml, thamani yake ni kama tsh laki moja (mbao nyeupe) hapo ndiyo nachoka. inawezekana jamaa alishakufa kitambo na hapa tumeonyeshwa mazingaombwe tu ya Hollywood. How did they produced 3D plan so fast? mwanzoni walisema there was exchange of fire na kwamba Osama was armed, now they say he was not armed.....holywood style. Jamaa alishakufa na alipozikwa hawajui. ndiyo maana hata huyu wanayedai wamemuua wanadai kumzika baharini kiislamu. Mazishi ya kiislamu bila contact na udongo?...the whole thing looks like scan kila hatua waliyofanya inazua maswalim
 
itawachukua mda sana watu kama ninyi kuelewa...........wewe unachoongea ni sawa na ile inteligensia ya kova.........haya mambo yako above....
 
waislamu wa zenji bana vichekesho sana....nasikia jana wanamtetea osama kafa kishujaa.....waqna akili wale watu kweli?
 
Thamani ya nyumba tsh 1.5bn, kitanda anacholalia mmiliki wa nyumba ya USD 1ml, thamani yake ni kama tsh laki moja (mbao nyeupe) hapo ndiyo nachoka. inawezekana jamaa alishakufa kitambo na hapa tumeonyeshwa mazingaombwe tu ya Hollywood. How did they produced 3D plan so fast? mwanzoni walisema there was exchange of fire na kwamba Osama was armed, now they say he was not armed.....holywood style. Jamaa alishakufa na alipozikwa hawajui. ndiyo maana hata huyu wanayedai wamemuua wanadai kumzika baharini kiislamu. Mazishi ya kiislamu bila contact na udongo?...the whole thing looks like scan kila hatua waliyofanya inazua maswalim
wewe mbwiga baharini hamna udongo?....wewe muislamu wa wapi? hujawahi kusikia kuna situation mtu anazikwa baharini kiislamu
 
Obama jini kuu la kiislamu halijafa liko hai kabisaaaa................bado sijaanza kuamini km limekufa
 
weka hizo website hapa hatutaki longolongo..sisi tumekuwekea picha , wewe kwa nini unakuwa mbishi?
soma hapo chini

Hiyo sio picha mkuu imechorwa na mtu, nio kipi usichioelewa? Mchoro wako unaonyesha Osama anafyatua bunduki, WAMAREKANI WAMESEMA OSAMA HAKUWA NA SIALAHA YOYOTE!! NI LIPI UNABISHA SASA? kwa hiyo huo mchoro ni fantasy za mchoraji.

Osama bin Laden was unarmed when US commandoes stormed his compound in northern Pakistan and shot him to death on Sunday, according to new details provided by the U.S government.

Osama unarmed when killed: US official - International Business Times
 
AT exactly the time William and Kate kissed on the balcony,Obama gave the command to SEAL commandoes to do the USA proud-he gambled on his political future and it paid off
 
Kosa alilo fanya osama ni kuwa na mwanamke siku hiyo...akifanya uzinzi....sasa ona wamemuuua
 
siamini kirahisi,,huyo jamaa alikuwa na magic power,,na ni ghaidi kilichokuwa karibu kwake ni kujilipua au walimkuta kalala wakamuua,,,angekuwa anashuhudia jamaa walivyomtight kwa fikira zangu angejilipua kuondoka hata na mmoja na si kiini macho nikionacho hapo!
 
Kweli nazidi kuamini mwisho wa ubaya ni aibu na kikongwe hafi kitoto.ogopa mpaka mama clinton haamini.

Ukiangalia vizuri ile picha ya Obama na viongozi wengine wa America kwenye situation room yao, wanaume wote wamekodoa macho makavu lakini mama Clinton ameonesha hisia za mwanamke anapoona binadamu wanafanyiwa unyama!! Hakuamini kile alichokuwa anakiona na ndio maana ikabidi ajishike mndomo; it was a natural feminine reaction towards human cruelty!
 
Yu masti bi giniasi!
 
slide_22847_273024_huge.jpg

slide_22847_273027_huge.jpg

slide_22847_273031_huge.jpg

slide_22847_273035_huge.jpg

Hivi Bilali alikufaje kufaje :happy::happy::happy:

Makomandoo wetu walivamia jengo alilokuwa akiishi na kukuta ameshatangulia mbele ya haki...makomandoo wa vita ya rushwa lakini sio wale wanaofanana na navy seals
 
wewe mbwiga baharini hamna udongo?....wewe muislamu wa wapi? hujawahi kusikia kuna situation mtu anazikwa baharini kiislamu

we mshenzi na mpuuzi kabisa, nani kakwambia mimi mwislamu? toa maelezo wanayosema wamechimba kaburi baharini na kumzika, wanachosema wamemtia kwenye sanda kisha plastic, unadhani kumzika mtu chini ya bahari ni rahisi rahisi? acha upumbavu, read between the lines with reasoning skills.
 
itawachukua mda sana watu kama ninyi kuelewa...........wewe unachoongea ni sawa na ile inteligensia ya kova.........haya mambo yako above....

tatizo kubwa ni uwezo wa kufikiri wa mabolizozo kama ninyi ambao mnaamini kila mnachoona au kusikia without reasoning?
 
Back
Top Bottom