Jinsi Osama alivyokamatwa while Obama watches from The Situation Room

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
article-1382859-0BE1616300000578-786_964x721.jpg

mkumbuke kuwa kamera ilikuwa imefungwa kwenye helmet ya mwanajeshi wa kimarekani na white house walikuwa wanaangalia tukio moja kwa moja
article-1382859-0BDFA98D00000578-272_964x470.jpg

The lay-out of Bin Laden's compound in Abbottabad. It was surrounded by walls up to 18 feet high

article-1382859-0BE03DE700000578-150_964x642.jpg

President Obama watches the mission unfold at the White House along with (left) Vice President Joe Biden, (right) Defence Secretary Robert Gates, and (second right) Secretary of State Hillary Clinton, alongside other Security staff, including (back left) Chairman of the Joint Chiefs Admiral Mike Mullen, (back without a tie) National Security Adviser Tom Donilon, and (back right, white shirt) Counter-Terrorism chief John Brennan
article-1382859-0BDF497A00000578-938_964x537.jpg

Pit of evil: A king size bed where Bin Laden may have once slept at the secretive compound in Abbottabad. Blood from a gun battle can be seen at the foot of the mattress

article-1382859-0BDF3C5000000578-524_470x423.jpg
article-1382859-0BDF3DA600000578-10_470x423.jpg

Gun fight: A pool of blood on the floor suggests that one Al Qaeda member was shot close to their bed, while right, a selection of medication which was left in the bathroom
article-1382859-0BDF3C5500000578-605_964x563.jpg

Carnage: Blood can be seen on the floor from where Bin Laden was reportedly surrounded by three men, including his son, and a woman who formed a human shield against U.S. troops
article-1382859-0BDECE7300000578-464_964x554.jpg

Abbottabad: The remote town in northern Pakistan, named after James Abbott, the British major who founded the town in 1853, sits beneath towering hills
article-1382859-0BDF2B6800000578-197_964x491.jpg

Success: Pakistani Army soldiers secure the compound where Al Qaeda leader Osama Bin Laden was killed by the U.S. military forces in an operation, in Abbotabad, Pakistan
 
Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that
 
mwee wanajeshi wetu walivyo na vitambi wangeweza kufanya operation kama hii
 
Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that
umejuaje?na wewe ni nani hadi ujue kuwa osama alikuwa ashakufa? kila stage si hiyo hapo imeanikwa?au unataka nini zaidi ya hapo muungwana
 
Kweli nazidi kuamini mwisho wa ubaya ni aibu na kikongwe hafi kitoto.ogopa mpaka mama clinton haamini.
 
Tusubiri!!osama ana tabia ya kujitokeza kwenye mtandao na kutoa matamko against marekani.

"You can run but you can not hide"
 
Hizo picha ndo nini Ivuga? aah bwana hebu kuwa serious.
 
Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that

Subiri wataanika kila kitu kwani yale ya Abu Gharib walianika wakati huo huo?
 
TANZANIA ya leo,tulianza na dowans,tumekuja loliondo,sasa tupo na osamo...watanzania tuangalie 2napotakiwa kufika tusitumie muda mwing kushangaaa miti ya barabaran ambayo inapita tu,na tukasahau mambo ya msingi....... eeee mbunge wangu uliyepita kwa kishindo...lin utakuja simama pale jukwaan ulipoombea kura yako....
 
Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that
Any proof? ya kwamba alishakufa siku nyingi kama ujuavyo
 
Ubishi wa nini? Lazima tukubali marekani taifa kubwa pia hawakurupuki kutoa tamko kama hapa kwetu tz. Tumeona obama alivyochelewa kutoa tamko jiulize sababu nini?Alitaka aseme kitu chenye ukweli.
 
Back
Top Bottom