Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Hahahaaa Strive Masiyiwa is my personal mentor, hata trh 12 April nitaenda kwake SA kwaajili ya consultation. Kama unamfatilia vzr Dr. Strive basi lazima utakuwa unanifahamu.

Huyu jamaa ni role model wa 'back child' yeyote Africa mwenye ambition ya kuwa successful kwenye biashara.
4e334c6b767e3df46d5af1a5e0f03e1a.jpg
I think you have shared enough photos, I understand you are so excited, just calm down we just don't want you to end up loosing your concealed identity.
 
Pretty impressive and quite inspirational. At 22, I couldn't even stand before my classmates during presentation with a straight face. At 26, I was still living off my old folks' grace, driving around and proudly impressing girls. Chasing the 30's now, what makes me happy is going to work and face the people, log-in my accounts and take a few cracks at Bashite and his uncle.

Different goals, for different folks. Different approaches/paths, toward different goals.

Love your story telling skills, a little bit envious I feel.

a97bac9f16ebe8e82bbb889a633e531beffc2a14.gif
 
mi mwenyewe nimeshangaa hiyo award mbona sijawahi kuisikia? mjasiriamali bora chini ya miaka 22..? halafu mwanachuo..? na asijulikane kabisa? mbona wajasiriamali vijana waliopata award akina Ngowi na MO walitangazwa sana? hahahah..very interesting
Ukisikia mtima nyongo ndio huo.Nina uhakika utakuwa masikini wewe,uzi mzuri kama huu umeacha kuchukua yale yenye faida ukajifunza kwayo umekalia kumjadili aliyeleta mada na maisha yake binafsi.acha roho mbaya mshamba wewe,wenye akili na busara wala hawana haja ya kumjua huyo ontario ni nani personaly wanadurusu uzi tu.This is a damn online forum for christ sake.
 
Pretty impressive and quite inspirational. At 22, I couldn't even stand before my classmates during presentation with a straight face. At 26, I was still living off my old folks' grace, driving around and proudly impressing girls. Chasing the 30's now, what makes me happy is going to work and face the people, log-in my accounts and take a few cracks at ******* and his uncle.

Different goals, for different folks. Different approaches/paths, toward different goals.

Love your story telling skills, a little bit envious I feel.

a97bac9f16ebe8e82bbb889a633e531beffc2a14.gif
Open English classes Mr I'm ready to be your first student.
 
Hey Jamii forums, nahisi huu uzi kuanzia page ya 5 umeunganishwa na uzi mwingine ambao either hauMake sense ama haukoRelated. Do something please!!
 
The thread of the year. Mods, ikiwezekana huu uzi upigwe pin pale juuu usitoke. Natamani niwe nausoma kila wakati kama sla ya baba yetu. This is the life i admire.
 
Hey Jamii forums, nahisi huu uzi kuanzia page ya 5 umeunganishwa na uzi mwingine ambao either hauMake sense ama haukoRelated. Do something please!!

Nikweli kabisa kiongozi wangu.mm pia uzi nilitaka kuendelea nao ule ulioletwa n kuchanganywa hapa.nimeshindwa
 
mwanafunzi wa chuo ukachaguliwa mjasiriamali bora wa Africa chini ya miaka 22....! hahahaha very interesting chuo chenyewe UDSM mnaoshinda pale Mlimani City na vismartphone vyenu ...hongera sana mkuu
Tatizo lako njaa inakugonga ukiamini huko Lumumba watakupa pesa za bure bure na wewe uishi vizuri mjini..

Ulianza kwa Lowassa ukahama nae, baada ya kuona Ukawa hawatoi pesa ukarudi CCM na kuanza kumponda Lowassa na baada ya kuona Magu nae hawapi pesa UVCCM ndio umechanganyikiwa kabisa hasa unavyosikia vijana wenzako wanatengeneza mamillion ya pesa ndani ya mwezi mmoja tu..

We endelea kukata viuno kwa wanasiasa ukifikiri ndio njia nyepesi kutajirika..
 
Back
Top Bottom