hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 819
Ok GOD bless u,I wish u good work.Sitoi mawasiliano. Sijibu PM. Hapa pekee kwenye huu uzi panatosha.
Ok GOD bless u,I wish u good work.Sitoi mawasiliano. Sijibu PM. Hapa pekee kwenye huu uzi panatosha.
Wewe ni muongo hicho kipaji chako cha kutunga history za uongo kipeleke grobal publisher watakusaidia
Amuka elimika mbona jamaa kafuloo kwa fact na evidence usichoamini nini mbona hayo ni mambo ya kawaida sana ukiamua,acha kulala siku hazigandi
Kaka ONTARIO naomba kuuliza swali dogo sana ila kwangu litanisaidia. So ulipokuwa unampata mteja wakumlimia ekari kama izo 170 mfano ulikuwa unajiridhisha kwaza kuzipima kama kweli ni ekari hizo alizotaja au ulikuwa unachukua jukumu la kulima tu na kumuamini mteja aliposema ni hekari 170? Maana nimeona kama ni changamoto kwangu nikianza kitu kama hicho ukapata mtu akakwambia nna hekari mia tatu nilimie af kumbe ziko zaidi. Naomba nijibu ulikuwa unafanyajeHahahaaa!!
Saa 10 nimejibu huu uzi nikiwa active kabisa. Mimi siku yangu inaanza saa 9 usiku nakuwa active hadi saa 12 ndio nalala upya hadi saa 3 asubuhi
Nenda beforwad kila kitu kipo waziNaombeni kuuliza kuhusu plosija za kuagiza trekta kutoka nje,maushuru yakoje,nimeshakutana nayo kwenye yard za huku ila sababu sikuwa na ishu nayo sikufuatilia hata bei,ila kwa sasa nmepata interest,naomba kujua bei za matrektor used na pia kuhusu ushuru kama ukiamua kuleta kutoka nje (i.e hong kong ).cc ONTARIO na wenye uzoefu.
Mkubwa kwenye suala la vipimo nipo strict sana. Sitaki mchezo kabisa.Kaka ONTARIO naomba kuuliza swali dogo sana ila kwangu litanisaidia. So ulipokuwa unampata mteja wakumlimia ekari kama izo 170 mfano ulikuwa unajiridhisha kwaza kuzipima kama kweli ni ekari hizo alizotaja au ulikuwa unachukua jukumu la kulima tu na kumuamini mteja aliposema ni hekari 170? Maana nimeona kama ni changamoto kwangu nikianza kitu kama hicho ukapata mtu akakwambia nna hekari mia tatu nilimie af kumbe ziko zaidi. Naomba nijibu ulikuwa unafanyaje
Asante, so kuna namna mbili yakujua ,moja ni kuangalia chombo chako kina kula mafuta lita ngapi kwa eka, pili ni kupima mwenyewe tu, nadhani ndio umemaanisha broMkubwa kwenye suala la vipimo nipo strict sana. Sitaki mchezo kabisa.
Kabla trekta haijaanza kazi tunajiridhisha kwa kuhesabiana hatua. Na mara nyingi wateja walikuwa wanadanganya, mtu anakwambia ninazo heka 45, mkianza kupima zinafika 50 na kitu.
Na pia kuna hesabu ya mafuta, heka 1 inakunywa kati ya lita 4 hadi 5, zikizidi hapo basi either kuna tatizo la kiufundi ama shamba hilo lina utata wa vipimo.
Ndivyo hivyo kiongozi. Lakini kipimo reliable zaidi ni kupima kwa hatua. Ukichukua mita imekula kwako. Pia kuna njia nyingine ya kienyeji watu wa pwani wanaita 'Nzera/Nzela', yani kinakatwa kijiti, kisha mtu anapanua mikono (tuseme kama yesu msalabani) kisha hicho kijiti kinapitwa kuanzia mwanzo wa mkono mmoja hadi mwisho. Sasa nzera 35 ni heka 1. Pia ukitumia hii njia inakula kwako, tumia hatua ndio utaona faida.Asante, so kuna namna mbili yakujua ,moja ni kuangalia chombo chako kina kula mafuta lita ngapi kwa eka, pili ni kupima mwenyewe tu, nadhani ndio umemaanisha bro
Sent from my TECNO L6 using JamiiForums mobile app
Dah!!! Kama hata na mie nshaanza kumfahamu huyu jamaa kuna article kuhusu yeye pia nilishawahigi kusoma kwenye gazeti fulani. Inahusiana na issue hiyo hiyo ya Kuku... Hongera sana OntarioKuna mtu alinipa,akanambia mlisoma wote mbagala,katika pics ulizotuma ni mradi wa kuku ndo uliongelewa sana..unless otherwise niwe nimechanganya..lakini kwa descriptions zote na aina hii ya audacity itakua ni wewe tuu.correct me kama siko sawa
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ontario ila kwa level na uelewa wako bana sidhan kama njia ya kupima shamba kwa hatua ni sahihi kwako maana haupati kitu sahihi.Mkubwa kwenye suala la vipimo nipo strict sana. Sitaki mchezo kabisa.
Kabla trekta haijaanza kazi tunajiridhisha kwa kuhesabiana hatua. Na mara nyingi wateja walikuwa wanadanganya, mtu anakwambia ninazo heka 45, mkianza kupima zinafika 50 na kitu.
Na pia kuna hesabu ya mafuta, heka 1 inakunywa kati ya lita 4 hadi 5, zikizidi hapo basi either kuna tatizo la kiufundi ama shamba hilo lina utata wa vipimo.