Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu
Tatizo lako unashinda sana jamii face the reality and move the fuk away from that toxic so called relationship.
 
I wish ungejua my situation huenda ungesema chochote ili nipone hadi nafikia kuandika humu ujue nipo serious mkuu sipo sawa.
Naelewa situation unayopitia mkuu Pole sana unajua watu hawaelewi kuna soulmate akikukaa amekukaa hatoki moyoni hata udate na wengine wangapi bado hawawezi replace hiyo nafasi yake though unakuta ni mtu wa kawaida sana mapenzi huwa hayaoni
 
Daaaah sitaki kuamini wee cc ndo unateseka na mapenzi kiasi hicho, nwei poleeeh saana.
JAH atakusaidia utapona.
 
Daaaah sitaki kuamini wee cc ndo unateseka na mapenzi kiasi hicho, nwei poleeeh saana.
JAH atakusaidia utapona.

Mapenzi chombo cha moto, yanahitaji lesseni kama kwenye udereva wa magari, pikipiki, ndege n.k

Sometimes, love is a loaded gun.
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu
Inaonekana alikukamata kwelikweli

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom