Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Time heals everything thing don't force kumsahau, delete pictures and block number yake with time uta forget na usimchukie rohoni, hyo experience ni mbaya Sana ila ukipona utajiona mjinga kumpenda mtu wa hivo,pia sali Sana na wewe mtoe moyoni usiwe na kinyongo ili u attract mwanaume atakayekupenda, ukiendelea kumweka kichwani utaendelea ku attract wanaume ma player tu, pia pumzika mahusiano loh. Na Bora imekupata Sasa kabla hujaingia kwenye ndoa ndo ingekuwa pain maradufu sometimes we tend to love people who do not love us aisee. Pole wish you quick recovery and no situation is permanent in life.
Ahsante kwa ushauri mzuri! Thank you for wishing me a quick recovery, I'm so sure i will be fine.
 
Pole mkuu ila inawezekana mbona. Simply angalia upepo mwingine and find your true source of happiness. Dont invest your happiness in your spouse utakuja ufe. Tafuta kile kikupacho furaha from your life then explore it. Mahusiano ni nyongeza ambazo Mungu hutupatia lakini first and foremost its you and only you. #mamaamina#
Nimekuelewa mkuu, nataka nirudi shule tu😪
 
Kama its complicated hamuwezi kukaa sawa paka muachane, na mkiachana never go back, it's over hata iweje mwanaume usirudi nyuma km huyu msela wa financial.
Kwahiyo mkuu umefurahia alichokifanya jamaa? Ulishawahi kupitia situation hii pia?
 
Pole sweetheart. If you slept together, that's a grave mistake. Don't repeat this. Cha kufanya, go to school (such as further studies as the case may be) or professional certifications. At the same time, find at least two part time jobs or business. Wiki moja tu inakutosha kumsahau na kumuona he was a wrong choice
Duh grave mistake 😔 i have a plan to get back to school just to keep me busy. I hope it's gonna work out 🙏
 
fanya kitu kipya ambacho hujawahi kukifanya. kama haujui kuendesha gari then go to driving school kama hujui karate go to a karate school.

njia nyingine, tafuta demu mwingine mkali ingia nae katika mahusiano. Kinacho kufanya uendelee kumuwaza huyo ni kwa sababu kwenye mind yako bado kuna idle space.
Ahsante mkuu nimekuelewa hapo kwenye kutafuta kitu kipya cha kufanya👍

Ila am a lady!
 
Back
Top Bottom