Jinsi gani nizuie usingizi na kuongeza concentration katika Masomo yangu

Nikhil

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
361
116
Habari za Asubuhi Wadau "Please nahitaji msaada wenu madaktari kwani nataka kufaulu mitihani yangu ya chuo lakini mambo ni mengi ya kusoma " Nahitaji kuongeza uwezo wa kuelewa na Cremming ability! NISAIDIENI kama ni jamii ya chakula chochote au else great thinkers niko level ya diploma nasoma Law.
 
well, usingizi ni muhimu katika kufanya ubongo ufanye kazi inavyostahili, kwa hiyo dont skip a sleep isipokuwa avoid unnecessary nap when u study na waweza kufanikiwa kwa kufanya yafuatayo,

fanya mazoezi jioni walau kwa dk 40 kama jioni una vipindi basi fanya asubuhi, jitahidi kuwa na evening walk walk ya kuclear ur mind, pia look at what u eat, usile misosi mizito jioni then ukaenda kusoma ur brain will be busy digesting, jiwekee to do list stickers zenye rangi mbalimbali kwenye meza yako ya kusomea and make sure hufanyi kitu nje ya timetable zako,no surprise dinner wala out kama haipo kwenye ratiba i mean usiperekwe perekwe, jiwekee winning awards like kama nikimaliza hii topic najizawadia kutazama movie moja. pia ingia youtube na udownload different motivation videos im telling u they help a lot. but at last kuwa sorounded with the positive people, positive relationship and stay away from drugs.
 
Kama Hujawahi Nyetuka...Jitahidi Kula Karoti, Viazi Mbatata, Ndizi Mbivu Na Kunywa Maji Ya Kutosha
Ni Vizuri kunywa Maji Baada Ya Nusu Saa ...Mara Tu Unapokula
-Fanya Mazoezi Ya Yoga
-Lala Mda Wa Kutosha
Ahsante Jigo
 
Njia nzuri ni kufikiria ugumu na msoto wa maisha kama ukikosa elimu huku ukichukua mifano ya nduguzo au rafiki zako waliopo maskani ambao hawana nyuma wala mbele....hakika ukiyawaza hayo usingizi utakata automatic....MAISHA BILA ELIMU NI SAWA NA KUNGOJA GARI STAND BILA NAULI.....
 
well, usingizi ni muhimu katika kufanya ubongo ufanye kazi inavyostahili, kwa hiyo dont skip a sleep isipokuwa avoid unnecessary nap when u study na waweza kufanikiwa kwa kufanya yafuatayo,

fanya mazoezi jioni walau kwa dk 40 kama jioni una vipindi basi fanya asubuhi, jitahidi kuwa na evening walk walk ya kuclear ur mind, pia look at what u eat, usile misosi mizito jioni then ukaenda kusoma ur brain will be busy digesting, jiwekee to do list stickers zenye rangi mbalimbali kwenye meza yako ya kusomea and make sure hufanyi kitu nje ya timetable zako,no surprise dinner wala out kama haipo kwenye ratiba i mean usiperekwe perekwe, jiwekee winning awards like kama nikimaliza hii topic najizawadia kutazama movie moja. pia ingia youtube na udownload different motivation videos im telling u they help a lot. but at last kuwa sorounded with the positive people, positive relationship and stay away from drugs.

hio ndo njia sahihi mkuu...aseme thanx..
 
umetisha kiongozi ushauri morua sana
 
Back
Top Bottom