Jinsi changudoa alivyoniibia Tshs 1M nyumbani kwangu!

pole sana, lakini si kila mtu unazama chumvini, usisikitikie pesa tu, kacheki na afya mkuu
 
pia ukome....you are lucky, angewaleta njemba zake wazame chumvini kwako.

:D:D:D:D Teh teh teh Imekaa vizuri hii!
icon_biggrin.gif
 
Wewe umetunga hii changu huwezi hata kula denda iwe kulamba chumvini! Halafu hii staili ya huo wizi ni ya zamani sana ilianza kama miaka 10 nyuma wewe leo ndo unafahamu! sina haja ya kukupa pole kwa hili
 
wat?u pape?demmmmmmmmmmmm,so bad,anwei wat u c is wat u get,u deserve it bro
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii' unaoendelea Dar.
*************************************************
Mimi ni mfanya biashara hapa jijini Dar. siku moja nilipotoka katika mauzo niliamua kwenda kujipongeza na kisha niliamua kupitia 'changudoa' kwani ninaishi mwenyewe nyumbani!

Baada ya kufika nae nyumbani nilimkaribisha vizuri. Niliandaa vinywaji ambavyo nilikuwa navyo katika friji na tukanywa!

Kama unavyojua tena muda wa kula tunda ulipofika tulianza kama desturi ya 'walaji matunda' kwa kuumana midomo n.k

Niliendelea kwa kumnyonya 'manyonyo' yake na wakati zoeti la kunyonya manyonyo likiendelea nilihisi kizunguzungu! Changudoa huyo kuona hivyo akanilazimisha nizame chumvini!!!!!

Nilipokuwa nikielekea huko uvinza nikashindwa hata kufanya kazi husika na hatimaye nilijikuta nipo kitandani peke yangu na ni asubuhi yapata saa tatu hivi.

Baada ya kupata fahamu nikajua tu hapa nimeingizwa 'mjini'....Kweli nilipokimbilia katika droo yangu nikakuta kiasi cha pesa taslimu Tshs 1M zilizokuwa katika droo zimeyeyuka na kuota mbawa! Pia kuna baadhi ya makaratasi yangu ya kibiashara hayaonekani, sasa sijui ni yeye ameyakwapua?

Nilimpigia simu daktari wangu nikamweleza mkasa wote na alikuja akachukua 'sample ya vinywaji' na majibu yaliyotoka maabara ni kwamba havikuwa na dawa yeyote!

Daktari aliniambia kwamba inawezekama changu huyo alijipaka dawa hizo katika mwili wake.....

Je, wadau hivi siku hizi hawa 'viumbe' ndiyo wameamua kutuibia kwa style hii? Na je nini kifanyike kukabiliana nao?

Je, nikaripoti polisi tukio hili? (labda ninaweza kukutana naye huyo changu kwani mpaka sasa simjui anatoka wapi na wala anaishi wapi!).

@mchango wako unahitajika (true story)
 
Huo ni ushamba,unajua mambo mengine tunayaona kama n ujanja kumbe ni ushamba mno. Wewe unachukua changu, then unamoleka kwako, then unaanza kunyonyana, then unazama chumvini, hivi una akili kweli wewe?

Huo ni ushamba umetoka, wapi wewe?

Tuachane na haya mambo ya kizamani jamani, mbona mabinti wako wengi tu hawajiuzi? Au wanaojiuza ndiyo watamu zaidi? Acha hizo bana.
 
imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii' unaoendelea dar.
*************************************************
mimi ni mfanya biashara hapa jijini dar. Siku moja nilipotoka katika mauzo niliamua kwenda kujipongeza na kisha niliamua kupitia 'changudoa' kwani ninaishi mwenyewe nyumbani!

baada ya kufika nae nyumbani nilimkaribisha vizuri. Niliandaa vinywaji ambavyo nilikuwa navyo katika friji na tukanywa!

kama unavyojua tena muda wa kula tunda ulipofika tulianza kama desturi ya 'walaji matunda' kwa kuumana midomo n.k

niliendelea kwa kumnyonya 'manyonyo' yake na wakati zoeti la kunyonya manyonyo likiendelea nilihisi kizunguzungu! Changudoa huyo kuona hivyo akanilazimisha nizame chumvini!!!!!

nilipokuwa nikielekea huko uvinza nikashindwa hata kufanya kazi husika na hatimaye nilijikuta nipo kitandani peke yangu na ni asubuhi yapata saa tatu hivi.

baada ya kupata fahamu nikajua tu hapa nimeingizwa 'mjini'....kweli nilipokimbilia katika droo yangu nikakuta kiasi cha pesa taslimu tshs 1m zilizokuwa katika droo zimeyeyuka na kuota mbawa! Pia kuna baadhi ya makaratasi yangu ya kibiashara hayaonekani, sasa sijui ni yeye ameyakwapua?

nilimpigia simu daktari wangu nikamweleza mkasa wote na alikuja akachukua 'sample ya vinywaji' na majibu yaliyotoka maabara ni kwamba havikuwa na dawa yeyote!

daktari aliniambia kwamba inawezekama changu huyo alijipaka dawa hizo katika mwili wake.....

je, wadau hivi siku hizi hawa 'viumbe' ndiyo wameamua kutuibia kwa style hii? Na je nini kifanyike kukabiliana nao?

je, nikaripoti polisi tukio hili? (labda ninaweza kukutana naye huyo changu kwani mpaka sasa simjui anatoka wapi na wala anaishi wapi!).

@mchango wako unahitajika (true story)



hatari kwelikweli.. Jamaa ananjunji kabla hajaoga,
tena analamba na kunyonya via vya uzazi ambavyo viko kwenye soko huria....
Mungu aje mapema kutunyakua wateule wake.
 
Daaah...aisee kumbe kuna watu humu duniani WAMEJIZIRA hivi....? i cant believe this...
 
Lakini wakuu tuache utani, hii mbinu ya kupaka madawa ya kulevya kwenye manyonyo ni kweli machangu wanayo. Mshkaji wangu mmoja alinisimulia yalimkuta Kigali Rwanda. Ni mwandishi wa habari, alisafiri huko kikazi akafikia hoteli moja nzuri tu inaonekana kama ya kitalii hivi. Akiwa anatizama TV ukumbini jioni, akazoeana na msichana flani ambaye kwa maelezo yake alikuwa ametokea Uganda na alikuwa mpangaji mwenzie pale hotelini. Mazoea yakawapeleka kwenye primus (bia) moja baada ya nyingine, hadi kualikana chumbani na kuanza ka romance flani, demu akadai ye huwa zinampanda zaidi akinyonywa chuchu. Basi jamaa akachangamkia chuchu kama ametumwa vile, yaani alikuwa anazinyonya kama mtoto mchanga. Network ilikatikia hapo, akaja kuzinduka saa nne asubuhi kichwa kinamuuma, kachelewa conference aliyokuwa anayoripotia, na vidola vyake vyote na laptop vimekombwa!
 
Lakini wakuu tuache utani, hii mbinu ya kupaka madawa ya kulevya kwenye manyonyo ni kweli machangu wanayo. Mshkaji wangu mmoja alinisimulia yalimkuta Kigali Rwanda. Ni mwandishi wa habari, alisafiri huko kikazi akafikia hoteli moja nzuri tu inaonekana kama ya kitalii hivi. Akiwa anatizama TV ukumbini jioni, akazoeana na msichana flani ambaye kwa maelezo yake alikuwa ametokea Uganda na alikuwa mpangaji mwenzie pale hotelini. Mazoea yakawapeleka kwenye primus (bia) moja baada ya nyingine, hadi kualikana chumbani na kuanza ka romance flani, demu akadai ye huwa zinampanda zaidi akinyonywa chuchu. Basi jamaa akachangamkia chuchu kama ametumwa vile, yaani alikuwa anazinyonya kama mtoto mchanga. Network ilikatikia hapo, akaja kuzinduka saa nne asubuhi kichwa kinamuuma, kachelewa conference aliyokuwa anayoripotia, na vidola vyake vyote na laptop vimekombwa!
mmmmh hii nayo ki kali ya mwaka...
 
jamani kumbukeni ile ni dunia nyingine...watu wanazililia hizo! ohoooo
 
Aiseee una akili mbovu sanaaaaaaa wewe kijana huogopi UKIMWI??? unajuaje kama hana ukimwii unatishaaa sana, kama hujipendi wewe nani atakupenda??? unatia huruma sana. Lakini ni bora amekuibia UKOME KABISA. Utamnyonya vipi Changudoa?? hata kunyonya maziwa yake ni hatari sanaaaaa.. Ukomee
 
Back
Top Bottom