LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,121
- 27,128
Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu.
Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their creator. God communicated to them through nature. Walimjua Mungu kupitia nature. Waliamini kuwa U can know the artist by studying his art. Waliamini kwamba the will of God to humans and humanity has been stamped in nature. To understand the nature is to understand God and his will and plans to his creation.
Ndio maana vitu vyao vingi walivifanya kupitia nature. Nature alikuwa ndio mwalimu wako mkuu. Tabia na matendo yao vilikuwa shaped with nature. Kwa mfano waliposoma sifa na tabia za baadhi ya vitu kwenye nature walijifunzia utu , ujamaa na kuwa generous. Kwa mfano jua linatoa mwanga ambao haliuhitaji ila sisi binadamu ndio tuna uhitaji. Jua halipati FAIDA yoyote kwa kutuangazia mwanga wake. Tunda mfano chungwa ni tamu lakini anae faidika na utamu huo ni mlaji na sio chungwa etc.
Ndio maana kila mtu aliishi kwa ajili ya watu wengine. Watu waliishi kwa ujamaa na upendo.
Kujua na kumaster sanaa ya namna ya kucommunicate with nature lilikuwa ni jambo la lazima kwa kila member wa society.
Walijua kusoma lugha ya nature. At was as if they knew what was in the mind of nature. This is because they knew that nature did not belong to them by they belonged to nature . Na kwa sababu hiyo wali iheshimu sana nature. They entire kufe system was commanded by nature. Walijua nature inataka wafanye na wasifanye nini kwa wakati gani. Kwa mfano msimu wa masika kwao ilikuwa ni nature ina waambia huu ndio msimu wa kupanda. Binti akivunja ungo au kijana akibalehe ni nature ina waambia sasa watu hawa wapo tayari kuingia kwenye ndoa. Kama ambavyo waislamu tunafundishwa kwamba mtu akitaka kuoa basi apewe mke haraka sana babu zetu waliamini mtu akibalehe au kuvunja ngoa basi apewe ndoa haraka sana kwa sababu ni nature ndio una detect hivyo.
Msimu wa machungwa babu zetu walikula machungwa sana kwa sababu kwao ilimaanisha ni sauti ya nature inataka ule machungwa kwa wingi sasa hivi kwa sababu ukila machungwa hayo sasa hivi ndio utavuna virutubisho muhimu vya machungwa. Wakifanya vivyo hivyo kwenye maembe Mahanadi na matunda na vyakula vingine.
Kwenye majina waliangalia vitu Vikuu viwili na ndio sababu babu zetu walikuwaga na majina mawili mawili.
Kwanza waliangalia majira na nyakati ambazo mtu amezaliwa na kumpa jina kulingana na majira au nyakati hizo mfano. Masika, Mwamvita, Mwanjaa, Chausiku, Mwamvua etc.
NJIA YA PILI ILIKUWA NDIO JINA HALISI IS MTOTO ALIE ZALIWA AMBALO NDIO ALIAMINI MIMETOKA MOJA KWA MOJA KWA MUNGU NA LILIBEBA TAMKO RAMSI KUHUSU MAISHA YA MTOTO HUYI NA DESTINY YAKE.
Mtoto akishazaliwa baba mzazi alikwenda hadi kwenye chumba alicho hifadhiwa mtoto na kisha alitakiwa kutoka nje ya chumba hicho na ku I observe nature. Kitu cha kwanza kikubwa atakacho kiona kwenye nature ndio jina la mtoto. Akiona Simba mtoto ataitwa Simba. Akiona Jabali mtoto ataitwa Jabali. Akiona mti lets say wa Mkilika mtoto ataitwa Mkilika etc.
Waliamini hiyo ndio ishara kutoka kwa Mungu kuhusu jina la mtoto alie zaliwa.
Waliamini majina ya watu hutoka kwa Mungu.
Hata Jina la Yesu Malaika Gabriel alimwambia Mariam utazaa mtoto utamuita Yesu.
JE KAMA UNGEZALIWA ENZI HIZO UNGEITWA NANI?
# Mimi sijui ningeitwa nani maana kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John