Duuh mkuu kwanza pole kwa matatizo yaliyokusibu.
Na pia hili tatizo sio kwa wote kuna ambao hawaotagii ndoto mbaya
Asante mkuu!
Mungu ananipenda sana niko ok kwa sasa lakini bado nalala chali sioti wala sikabwi mie since then!
Duuh mkuu kwanza pole kwa matatizo yaliyokusibu.
Na pia hili tatizo sio kwa wote kuna ambao hawaotagii ndoto mbaya
Hahaha maliza kusoma kwanza nina kutania bibie cute b
wewe ngojea yakukumbe hayo Mashetani mapepo wachafu ndipo utakapo juwa kuwa kuna hao viumbe hapa duniani.Hamna majini wala mashetani bro, ni hisia zetu tu.... kujifahamisha vizuri hebu cheki hapa dreamstudies.org/2010/01/22/sleep-paralysis-treatment-wake-up-cant-move/ utapata maelezo ya utafiti wa kibaiolojia
Ngoja nijaribu leo!!
Shallow explanation: nasikia ukilala chali moyo haufanyi kazi vizuri unakua kama unapata ganzi
ndio maana wengine wanahisi kukabwa, sio kukabwa ni wanashindwa kupumua
i stand to be corrected
Na ile hali waweza hisi ni jinamizi kweli make ikitokea huwezi hata kutingisha mkonoUko sawa kabisa. ( wanasemaga wamekabwa na majinamizi)
Na ile hali waweza hisi ni jinamizi kweli make ikitokea huwezi hata kutingisha mkono
Mi sijawahi ishuhudia hiyo hali japo huwa nalala chali japo sio kila siku